haki

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania Inazingatia Misingi ya Haki, Demokrasia, Usawa na Mafanikio

    "Sisi hapa Tanzania tumeamua kuizingatia misingi hiyo (haki) na nataka niwahakikishie kwamba tutajitahidi kuijenga Tanzania yenye Haki, Demokrasia , Usawa na Mafanikio. Na ndio maana katika kipindi hiki tumekuja na idea ya zile 4R's". - Rais Samia Suluhu Rais Samia ameyasema hayo katika mkutano...
  2. JamiiForums Tanzania Haki ya Kusahaulika ni nini? Kwanini ni muhimu?

    Mnamo Novemba 21, 2022, The Chanzo ilifanya mahojiano maalum na Mkurugenzi wa JamiiForums Maxence Melo kuhusiana na haki ya msingi ya binadamu ambayo watu wengi hawaifahamu: haki ya kusahaulika. Melo, ambaye ni moja kati ya wadau wakubwa wa haki za kidijitali nchini Tanzania, amesema haki hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Hayati Magufuli, walisifiwa, walikosolewa! Haki ya kusifu/kupongeza iende sambamba na haki ya kukosoa!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya leo ni kuhusu moja ya haki muhimu sana ndani ya katiba, kwenye Ibara ya 18, iitwayo haki ya uhuru wa kutoa maoni, "freedom of expression" ni haki inayotolewa na katiba yetu lakini...
  4. JamiiForums Tanzania Mmiliki wa PSG asema Dunia haitendi haki kwa Qatar

    Nasser Al-Khelafi amesema kuwa vyombo vya habari haitendi haki kwa jinsi vinavyotoa taarifa hasi kuhusu Qatar ambao ni wenyeji wa michuano ya Kombe la Dunia 2022. Qatar imekosolewa na vyombo vya habari hasa vya Magharibi kuhusu masuala ya haki za binadamu, kupinga mapenzi ya jinsia moja na...
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni halali na haki kwa baadhi ya Watumishi wa Mungu kujimilikisha kazi Mungu?

    Natumai wadau nyote mu wazima, tafadhalini naombeni mrejee kichwa cha habari hapo juu. Je ni halali na haki watumishi baadhi wa Mungu nyakati hizi kujimilikisha kazi ya Mungu ikiwa ni kweli wanaifanya hiyo kazi kwaajili ya Mungu na siyo kujinufaisha wao? Na kama ni halali je, huo uhalali...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu anasimamia haki za wananchi

    Maneno ya Rais Samia Suluhu ili kuhakikisha haki inatendeka “Naomba mkae na wadau wengine mwangalie uwezekano wa kurekebisha sheria za kuweka mtu mahabusu. Kwenye nchi nyingine, mtu hakamatwi mpaka upelelezi umetimia".
  7. R

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kufeli kwa awamu ya sita kuendesha Serikali kwa manufaa ya walalahoi , sijutii kufa kwa Magufuli kwa vile alikiuka haki za msingi za watu!

    Kuna mambo mengi Magufuli aliyacontain na kuwa na matokea chanya. But as long as alipoteza uhai wa watu, ALIKIUKA KWA KIWANGO CHA KUTISHA HAKI ZA BINADAMU WA TANZANIA katika kuyatekeleza hayo, IN CAPITAL LETTERS, I DO NOT REGRET HIS DEATH! LET HIM GO!
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kulinda haki za waajiriwa walio kwenye kipindi cha majaribio: Kesi ya Agness B. Buhere versus UTT Microfinance Plc ya 2015

    Hukumu katika kesi ya Agness Buhere vs UTT Microfinance Plc ya mwaka 2015 ni mwongozo tosha wa kulinda haki za waajiriwa walio kwenye kipindi cha majaribio (probationary employees). Naambatanisha.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Afanye nini apate haki zake?

    Nina ndugu yangu alipata kazi kwa mkataba wa mwaka mmoja na kampuni x, mkataba ukaisha, lakini hakuwahi kupewa namba ya uanachama ya mfuko wa jamii pamoja na kuwa akikatwa mchango kila mwezi. Hawakupewa notice wala cheti cha kumaliza mkataba na hata alipoenda NSSF wakamwambia lete barua ya...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake hiyo haki yakusema mmetuvumilia sisi wanaume na hali zetu ngumu mnaitoaga wapi?

    Hi Mwanamke how unawezaje basi sema hata tumevumiliana maana hata na wewe pia nilikukuta una hali ngumu ya kiuchumi
  11. JamiiForums Tanzania NIni maana ya kugawa mikopo ya wanafunzi kwa haki?

    Serikali imeamua kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa kutumia chombo kinachoitwa Bodi ya mkopo (Higher education students' loans board, (HESLB)) kwa malengo gani? Je, ni kuongeza idadi ya wanafunzi wanaomudu kupata elimu ya chuo kikuu? Je, ni kuongeza idadi ya watumishi nchini wenye...
  12. JamiiForums Tanzania Anjella wa Harmonize naye aenda BASATA kudai haki zake

    Bundi bado ametua kwenye lebo ya Konde Music, ndivyo unavyoweza kusema baada ya msanii kutoka lebo hiyo, Angelina Samson, maarufu Angela naye kuwasilisha malalamiko Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), akidai waachane naye rasmi. Madai ya Anjela kuachana na lebo hiyo rasmi badala ya ilivyo sasa...
  13. JamiiForums Tanzania Ni haki kwa aliyesoma shule za kata kupewa mkopo kiasi hiki?

    Hebu fikiria vijana kama Hawa wengine hawana Wazazi, wamesoma shule za kata since primary na bado Ada ni 1.3milion mpaka 2.5milioni lakini bodi inampa asilimia 49 tu kwa mwaka mtoto akafie mbele, je wadau wa elimu wako wapi, viongoz wako wapi?
  14. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge ya Miundombinu yataka kuwepo kwa haki ya kusahaulika

    Akiwasilisha mapendekezo Juu ya Muswada wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso amesema baada ya kufanya mapitia ya muswada huo na kusikiliza maoni ya wadau mbalimbali wakiwemo JamiiForums amesema ni muhimu kwa sehria hiyo kutambua haki ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

    Kuna sakata linaendelea chinichini juu ya baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoendelea na masomo (continuous) kuongezewa Ada,ama kupunguziwa MA(Boom) ,Sasa bodi ya mikopo iweke wazi kuondoa mianya ya rushwa na upigaji wa Ela za wanafunzi!!
  16. I

    JamiiForums Tanzania Hivi inampasa mtoto kumtumia fedha mzazi wake hata kama mzazi hana shida ya pesa?

    Nipo na ajira nashkuru mungu inayofanya nisogeze maisha. Nina mshahara mdogo tu lkn kwa ubachela wangu unanitosha. Mdingi wangu (mzazi pekee nliyebaki nae kwa sasa) ana kipato cha uhakika na hana shida ya pesa ndogondogo. Kipato chake ni mara 5 zaidi ya changu kwa mwezi. Nimekuwa nikiumiza...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Simba SC haimtendei haki beki wa kimataifa, Mohammed Ouatara

    Inashangaza sana mara baada ya beki aliyeisha makali yake, Joash Onyango kupeleka ombi la uhamisho kwa uongozi wa Klabu ya Simba, mambo yakaanza kubadilika kwa beki gwiji raia wa Ivory Coast Mohammed Ouatara, akaanza kusugulishwa benchi mfululizo. Yaani toka kocha "Mzawa" Juma Mgunda atue...
  18. JamiiForums Tanzania Tunamlinda Mzee. Mali ya Baba yako ni Haki yako ya Msingi

    Hakuna haja ya kuuma uma maneno. Watu wana ujinga eti usitegemee urithi au usipigie hesabu Urithi. Ukiona hivyo ujue hawana cha kurithi Mzee aliamua yeye na mama kunizaa. Sikumwomba. So alikuwa amejipanga. Na hakupaswa anizae nije pata shida. Sasa amepata mali eti nisipigie hesabu. Nyie mna...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Mzee Shamte umenyamazishwa lakini haki ni asili, itadaiwa tu

    Haki daima huwa ni ya asili ni vigumu kuzuia isidaiwe. Sheria ya maisha ya binadamu huonesha ukweli huo. Marekani walidhani kuwa kumuua Martin Luther King na Malcolm X watakuwa wamefanikiwa kunyamazisha ujumbe wao. Likawa ni kosa lililofanywa na CIA, wakaibuka wapigania haki wengine wa miaka ya...
  20. JamiiForums Tanzania Haki sawa kwa jinsia ya kike kama ilivyo ya kiume haimaanishi kwamba tupo sawa kijinsia

    Wanawake tushtuke, kwa asili ya mwanadamu kiimani, kisayansi na kwa desturi mwanaume ni msingi na nguzo ya familia. Wanawake tuendelee kupambana kuwa bora kama wanawake ila tusitamani kuwa wanaume, bali tuwasaidie wanaume kuwa bora zaidi na imara katika nafasi zao. Tukibeba vibaya maana ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…