haki

  1. T

    Kama iko haki ya mtu kuamua kujitenga na Tanzania na kuundwa nchi ya watu wa Jamhuri ya JPM, Mimi namba moja

    Hili ni kutoka moyoni kabisa! Nchi ya watu wa jamhuri ya JPM, haifumbii macho upandaji wa mazao kiholela na kuishi kwa tozo zisizo na kichwa wala mkia, Haina uhusiano kabisa na rushwa, wazembe kule hawatakiwi, mafisadi hawaweki pua zao kule, kule ni HAPA KAZI TU Na kuishi kwa kumtegemea MUNGU...
  2. Interview kwa watoto wanaoingia Nusery School ni haki kweli?

    Mimi nina mwanangu ana miaka 4 alikuwa hajaanza shule kwa kweli maana nilikuwa namuona kama ni mdogo sana bado. Sasa, sasahivi ndo naona angalau kamekua kidogo, hivo nimeona ni busara aanze rasmi shule. Ila juzi kati hapa kuna shule ya Nusery ipo karibu na ninapoishi, so nilienda kwa lengo la...
  3. Waajiri kazi za viwandani jitahidini kuwaongezea kiwango hawa vibarua, sio haki kuwalipa 3000-4000

    👤 Sawa wanasema ukiona baa uielewi hamia baa nyingine, ila hili sio sahihi kabisa mtu anafanya kazi toka saa moja mpaka sa 12 afu unampa elfu 4000 - sio pouwa. 👤 KIJANA UNAYEPAMBANA NA VIWANDANI KAMA UKO NA IDEA YA BIASHARA YA NGUO NITAKUPA MSINGI WA BIASHARA ACHANA NA VIWANDA. 👤 UWE NA...
  4. K

    THRDC: Ujio wa Kamala Harris ni matokeo ya kuimarika kwa Haki za Kibinadamu na Utawala Bora

    Mratibu wa mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa anasema ziara zozote za viongozi wakubwa zinakuwa na manufaa ya kuboresha uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo na kwamba Tanzania imekua kwenye nafasi nzuri. "Viongozi hawa wakuu wanapopanga ziara zao...
  5. Wanachokifanya Raja ni kinyume na haki za binadamu

    Yaani wao wanakuwa na magoli ya kufunga 13, wakati wenzao woote wana magoli mawili mawili dah hii siyo haki.
  6. L

    Wachina ndio wana mamlaka ya kutatua suala la Taiwan na hakuna nchi yoyote yenye haki ya kuliingilia kati

    Ni muda mrefu sasa nchi za Magharibi hasa Marekani zimekuwa zikiichokoza China ama hata kufikia kuirushia maneno makali kwa sababu tu ya suala la kisiwa cha Taiwan. Uchokozi huu mara nyingi huwa wanafanya kwa kuichochea ama kuihamasisha Taiwan ijitenge na China huku nchi hizo zikisahau kwamba...
  7. Mahakama ya Rufaa inaenda kupitia upya usahihi wa haki ya raia wa kigeni kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi

    Unakumbuka ile kesi ambayo Mahakama Kuu ya Tanzania iliamua kwamba Raia wa Kigeni wanaweza kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi (where High Court ruled that non-citizen heirs could own land by way of inheritance)? Uamuzi ambao ulitolewa na Mahakama Kuu mwaka 2011. Lakini serikali...
  8. Kenya kukubali haki za mashoga ni jambo la aibu sana

    Kenya kukubali haki za mashoga ni jambo la aibu sana kwa vizazi vijavyo, labda wanaharakati wa mashoga ni wale wanaume ambao hawazai au hawatazaa, kwasababu kitendo cha kuona mtoto uliyemzaa anakuwa shoga ni kitendo cha aibu sana, inafikia mahali nchi hiyo mashoga wanafungua forum yao inayoitwa...
  9. Tuisaidie Tume ya kuboresha taasisi za haki jinai kwa kuweka maoni yatu hapa

    Wadau kama tunavyofahamu Mh Rais Samia Suluhu Hassan aliteua wajumbe tisa wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Othman Chande na Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Balozi Ombeni Sefue. Lengo kuu ni kuangalia kwa...
  10. Ruto, Raila waungana kutupilia mbali uamuzi wa Mahakama ya Juu kutetea Haki za Wapenzi wa Jinsia Moja

    Rais William Ruto na kiongozi wa Azimio Raila Odinga wote wamejitokeza leo kukosoa uamuzi wa Mahakama ya Juu kuruhusu usajili wa vikundi vya ushawishi vya LGBTQ. Pamoja na Naibu Rais Rigathi Gachagua, wamepaza sauti ya kisiasa kutupilia mbali uamuzi uliotolewa na mahakama kuu Februari 24 wa...
  11. H

    Mama mzazi wa Feisal aitaka TFF itende haki

    Akihojiwa na chombo kimoja cha habari Mama mzazi wa Mchezaji Feisal Salum Fei Toto amelitaka shirikisho la Mpira wa Miguu kutenda haki hapo kesho.
  12. R

    Watanzania kwa sasa hawajali Rais anamteua nani mwenye nini kama atasimamia Haki, amani na Maendeleo ya Taifa

    Kwanza nimpongeze Mh Rais Samia Suluhu Hassan na Mwenyezi Mungu azidi kumpa nguvu na hekima ktk utendaji wake. Kwamba ameteua Mpagani, Mwislam, mkristo au Myahudi hiyo sio issue wala kesi. Cha muhimu ni kuwa huyo anayeteuliwa anaamini katika misingi ya Utu, Haki, umoja na utamaduni wa kukataa...
  13. Ipo sheria inayomnyima haki mtumishi wa umma kumiliki kampuni na biashara inayofanana na ile anayoitumikia?

    Kama ipo sheria inayomnyima haki mtumishi wa umma kumiliki kampuni na biashara inayofanana na ile anayoitumikia umma ifutwe mara moja. Katika ulimwengu wa sasa huwezi kumnyima binadamu kujiendeleza kiuchumi kwasababu tu ya mgongano wa kimaslahi. Sheria zinazotakiwa kuwepo ni za kulinda mgongano...
  14. Kenya imetoa ruhusa ya wapenzi wa jinsia moja kujumuika

    BBC Swahili wanalipoti kuwa mahakama ya juu nchini Kenya imeanza vyema kuruhusu wapenzi wa jinsia moja kuwa na haki ya kujumuika, hii ni ishara sasa kenya inaelekea kule walipo waliokaaga mwanzo kisha wakakubaliana na hali. Hili ni tukio baya sana kwa ukanda wetu ambapo ile nguvu moja ya...
  15. Kuna mda wanawake kwa tamaa zao wanafanya watoto wanakosa haki kwa baba zao

    Nilikuwa na mahusiano ya mda mrefu na binti mmoja tangu tukiwa masomoni kiasi kwamba mpaka ndugu na wazazi wa pande zote wakayafahamu mahusiano yetu. Tuliendelea kuwa pamoja hata wakati ambapo tulikuwa tumemaliza masomo yetu ya elimu ya juu. Tuliishi wote nikiwa nimepanga baada ya kupata kidogo...
  16. Waajiriwa mkishastaafu mnasumbua sana

    Mnakuwa kama baba mwenye nyumba ambaye hana chanzo chochote cha kumuingizia kipato tofauti na nyumba kila muda anafokea wapangaji. 📌 Mnapostaafu mnaanza kutusumbua kuanza kutafuta watu wakuwashauri et ufanye biashara gani? Mbona ukufanya hivo mapema ? Me nawakumbusha tu. 📌 Watumishi mnajishau...
  17. Ridhiwani Kikwete: Tukisimamia haki na sheria, tutaondoa uvamizi

    TUKISIMAMIA HAKI NA SHERIA,TUTAONDOA UVAMIZI - RIDHIWANI KIKWETE Maneno hayo ameyasema Mh. Mbunge na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi alipofanya Ziara ya siku moja katika kata ya Lugoba ambapo migogoro ya Uvamizi wa Ardhi za Vijiji inaonekana kuanza kushamiri. Katika ziara...
  18. Maoni na mapendekezo kwa tume/kamati ya kuangalia mfumo wa haki jinai

    Habari za jioni mabibi na mabwana. Ni maoni kwamba nia hii njema ya RJMT ipate muda wa kutosha katika mitandao ya kijamii na media kuu za nchi yetu. Ikiwezekana hata na media za kimataifa kama BBC Swahili, BBC Focus on Africa, VOA Swahili, DW Kiswahili na za kikanda kama media za nchi jirani...
  19. K

    Hakuna sababu ya msingi ya Diaspora wa Kenya kuwa na haki tofauti na wa Tanzania!

    Tukiacha ushabiki na kulishwa maneno kama majibu ya maswali yote mawili kwako ni "Ndiyo" basi unatakiwa kuunga mkono dual citizenship kwa wazawa wa Tanzania 1. Je unataka Watanzania wazawa ambao wako nje (Disapora) wapate haki sawa kwenye jumuia ya Africa mashariki kama wenzao wa Kenya na nchi...
  20. Siku ya Haki za Kijamii Duniani 2023

    Inaadhimishwa Februari 20 kila mwaka ikiwa na lengo la kupaza sauti dhidi ya dhuluma katka jamii, Umoja wa Mataifa (UN) unaeleza Kaulimbiu ya Mwaka 2023 ni ‘Kushinda Vikwazo na Kufungua Fursa za Haki ya Kijamii’. Umasikini na kukosekana usawa vimeongezeka kutokana na migogoro ya kiuchumi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…