haki

  1. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Wagner yuko Afrika kupigania "haki" za Waafrika

    Hili lizee ni fulu komedi..... YEVGENY PRIGOZHIN IN AFRICA. SCREENSHOT FROM THE VIDEO Yevgeny Prigozhin, the founder of the Russian Wagner Private Military Company (PMC), has recorded a video message allegedly from Africa, where he is fighting "for justice and happiness" of African peoples...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kama wao wanavyoungana kwenye batili, na sie tuungane kwenye haki

    Shime wote wapenda haki, kama mnavyoona wao wameungana kwenye batili na dhulma na wizi wa mali ya serikali, basi ni wajibu wetu na sie tuungane kutetea na kulinda mali ya serikali yetu, waliiba sana miaka na miaka sasa, sasa mirija inazibwa wanadai kuwa tayari hata inchi isitawalike? Karibu...
  3. JamiiForums Tanzania Kama kweli ndivyo ilivyo; basi si haki hata kidogo!

    Suala la upandishaji madaraja lilisitishwa kwa miaka kadhaa. Watumishi wengi waliathiriwa na suala hilo. Kutowapa nyongeza ya mshahara kwa kigezo cha kanuni, ni uonevu!
  4. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika ya Haki za Binaadamu yapinga Adhabu ya Kifo kuendelea kutolewa Tanzania

    Kwa mara nyingine Tena, Mahakama ya Africa ya Haki za Binaadamu (African Union Court of Human and People's Rights) imetoa tamko juu ya adhabu ya kifo iliyopo kwenye sheria za makosa ya jinai ya Tanzania. Tamko hili limetolewa June 2023 wakati wakifanya mapitio ya kesi ya Bwana Thomas Mwingira...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa watetezi wa haki za Binadamu waomba kukutana na Rais Samia kuhusu suala la watuhumiwa wa "Uhaini" wa Mwabukusi et al

    Hayo yamesemwa na Kiongozi wa jopo la watetezi wa haki za Binadamu Anna Hega wakati walipokutana na waandishi wa habari jana. My take: 1. Jambo kubwa kama hili la Uhaini haliwezi kupelekwa mahakamani bila prior approval/ or the President to be informed. Anna Hega, sahau hilo. Lazima Samia...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Huduma ya "Afya kwa Wote" ilivyo kitanzi haki ya mtoto

    MALENGO ya Maendeleo Endelevu 2030 (SDGs), hususan lengo la tatu ni kuhakikisha uwapo wa Afya Bora na Ustawi. Umoja wa Mataifa (UN), unahimiza uwekezaji kwenye huduma za afya. Ajenda ya Shirika la Afya Duniani (WHO), mwaka 2018 katika maadhimisho ya Siku ya Afya Duniani, yalilenga kuhamasisha...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba tufunge kuwaombea wanaoteswa wakipambania haki zetu wasikate tamaa

    Habari ndugu zanguni, Tafadhari nawaomba sana tufunge na kuwaombea wanaoteswa wakipambania haki zetu sote kwa namna yoyote ile pasipo kutaja majina yao bayana kila mmoja awaandike kwenye karatasi au hata kuwatamka Kwa kinywa tuwaombee Mungu wa kweli asimamie mioyo yao ya kweli na ya haki...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Naipenda Solidarity ya CHADEMA kupigania haki; Wanampigania Dr. Slaa bila kujali itikadi yake

    Ni CHADEMA pekee ndicho chama ambacho hadi sasa kwa miaka mingi hakijawahi kuwa ana adui wa kudumu; leo wapo na Dr. Slaa zaidi ya unavyoweza kudhania. Wamekuwa wakipigania haki bila kujali itikadi; wamewapigania akina Nape na Kinana wakati wa Magu. Hizi solidarity uwezi kuzipata CCM...
  9. JamiiForums Tanzania Kudai haki mahakamani ni Uhaini?

    Kwa wanaoijua sheria naomba watusaidie, je kwenda mahakamani kudai mwongozp wa kimahakama ni kosa la jinai? Nailiza hivyokwa sababu hapa nchini yanaiyo endelea ni kama vile mtu akiikosoa serikali au akiwa na mawazo kinyume na serikali iliyopo madarakani aiaonekana kama muhaini. Hapa naona...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo ninaloliona si kushitakiwa Mwabukusi na Mdude bali uhuru wa vyombo vya kutoa haki

    Hii si kesi ya maana ni ya kubumba. Kama tungelikuwa na mahakama huru, wangeliachiwa siku ya kwanza ya mention! Tatizo ni majaji kama wale watatu wa Mbeya! Ndio mwendo wa dictators wa Afrika.
  11. JamiiForums Tanzania Dini ya kweli ni haki, kinyume chake ni ushetani

    Nimefuatilia mijadala mingi ya kisiasa hapa. Kuna wanaopinga au kuunga mkono tu kwa kigezo cha dini ya kiongozi mkuu. Mijdala ilianzia mbali sana Miaka ya tisini mbuga zetu ziliuzwa Loliondo upinzani na uungaji mkono ukalalia udini. Miaka ya 2005 hadi 2010 ufisadi mkubwa ukajitokeza na...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Angalia mkataba wa Sweden na UAE ulivyotoa haki na wajibu kwa pande zote mbili. Ulinganishe na wa kwetu

    Ukiusoma, kila upande umelinda maslahi yake. Arbitration, wanaanza wao wanaohusika, then wakishindwa wanamtafuta msuluhishi kwa kila upande kuleta mtu wao wakisimamiwa na third party ambaye watamchagua wao wawili. Ikishindikana hapo wanakwenda ICSDI...unaona kabisa hakuna aliye dictate terms kwa...
  13. JamiiForums Tanzania ''Mikataba Imeisha'' ya Clouds Tv ni program ya kidhalilishaji inayokiuka haki ya usiri mfanyakazi anapomaliza muda wake

    Clouds Media Group wamiliki wa Clouds TV, wameanza kupunguza wafanyakazi kwa namna ya kidhalikishaji na ukiukaji mkubwa wa haki ya Usiri na faragha. Tumeona watangazaji kadhaa wakianikwa mitandaoni kwamba mikataba yao imeisha na wameachwa. Tunaomba uongozi wa Clouds Media kuacha mara moja...
  14. J

    JamiiForums Tanzania LHRC, Hakielimu zaridhishwa na utekelezaji wa mapendekezo ya haki za binadamu unaofanywa na Serikali

    Asasi zisizo za kiserikali nchini zimeeleza kuridhishwa na utekelezaji wa mapendekezo ya utekelezaji wa Haki za binadamu yaliyotokana na baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu. Mkurugenzi wa utetezi na Haki kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Fulgence Massawe na Meneja...
  15. JamiiForums Tanzania Kila mfanyakazi anayo haki ya kugoma. Hata hivyo, sio kila mgomo unatambuliwa na Sheria

    Mgomo ni usimamishaji wa kazi, unaofanywa na Wafanyakazi kwa lengo la kumlazimisha au kumshurutisha Mwajiri wao au Mwajiri mwingine au Jumuiya ya Waajiri ambayo Mwajiri wao ni mwanachama, kukubali madai ya Wafanyakazi, au Mwajiri kubadili au kuacha madai yake dhidi ya Wafanyakazi, madai ambayo...
  16. JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

    Wiki iliyoisha kulikuwa na kifo cha DJ Steve B ambaye alikuwa na jina kubwa sana katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya (bongo fleva) mwanzoni mwa miaka ya 2000. Leo nimeona tuwakumbuke wanamuziki wa bongo fleva ambao wamefariki. Hii itasaidia pia kujua baadhi ya wana muziki wa bongo fleva...
  17. JamiiForums Tanzania Kiukweli, Mandonga hakutendewa haki

    Jana nilifuatilia, kwa kutazama runingani, pambano la ndondi kati ya bondia Karim Mandonga wa Tanzania na Golola Moses wa Uganda. Lilifanyika kule Mwanza. Pambano lilimalizika kwa Mandonga kupigwa kwa TKO raundi ya tatu ya pambano. Hii TKO ndiyo niliyoiona ina walakini na kutotendewa haki kwa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji wa Utawala Bora na kuimarisha utawala wa sheria kwa usawa na haki

    UWAJIBIKAJI WA UTAWALA BORA NA KUIMARISHA UTAWALA WA SHERIA KWA USAWA NA HAKI Utangulizi Uwajibikaji wa utawala bora na kuimarisha utawala wa sheria ni msingi wa maendeleo endelevu katika jamii. Makala hii ina lengo la kuchunguza jinsi uwajibikaji na utawala bora vinavyoweza kuleta mabadiliko...
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Kupambana na Ufisadi: Kichocheo cha Mabadiliko

    Utawala bora ni lengo linalotamaniwa na kila jamii inayotamani maendeleo na ustawi. Ni msingi wa uongozi unaojali haki, uwajibikaji, na ushirikishwaji wa wananchi katika mchakato wa maamuzi. Kuleta mabadiliko katika nyanja zote za utawala bora ni changamoto kubwa, lakini pia ni fursa adhimu kwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania BASATA hana HAKI wala WAJIBU wa kuzuia haki ya katiba ya kutoa maoni kupitia sanaa

    Miaka ya hivi karibuni Baraza la Sanaa la Tanzania limekosa kazi ya kufanya isipokuwa kusubiri wasanii watoe nyimbo ndo likae vikao kuzifungia. Hata Rais Magufuli amewahi kutishia kulifuta Baraza hili kwa sababu aliona halina kitu chochote cha maana kinalofanya isipokuwa tu kugeuka na kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…