haki

  1. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Ni bora nife nikifukuzana na ndoto zangu kuliko kufa njaa kwenye dunia isio na haki

    Kipi special sanaa katika hii dunia kinachoweza kunijali kwa dhati eti nikionee huruma??? Eti kinifanye nicheze kwa standards zilizo fair, hakipo, so ni muda wa kuwa ruthless. Anaekuhubiria uache pombe, anatembea na mke wako Anaekukamata haujalipa kodi, anapita na pesa zote za mradi wa mtaani...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: IGP Camillus Wambura apiga Kura, awahimiza Wananchi kutimiza Haki ya Kikatiba

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Novemba 27,2024 amepiga kura kuwachagua viongozi wa serikali za Mitaa. IGP Wambura amepiga kura Jijini Dar es salaam ambapo amewasisitiza wananchi pamoja na askari kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba.
  3. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Uchaguzi ni mchakato, kama kujiandikisha, kuteuliwa, na kuapishwa kumekuwa na "madudu" sahau kuwa kesho kuna haki yoyote itatendeka kwa wapinzani

    Tumeona ukiukwaji mkubwa katika kujiandikisha, kuenguliwa wapinzani, /kuteuliwa. kuwekewa mapingamizi ya uongo na kweli, kuapishwa wamekataliwa, sasa UPINZANI mnadhani kesho ndiyo CCM watatenda haki?
  4. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Amka mpira unakuibia haki yako ya msingi

    Kuna Mambo mengi ya ajabu na ya hovyo Yana fanywa na viongozi wetu lakini wanainchi wapo kimya Kuna mikataba ya hovyo Ina fanyika lakini wanainchi wapo kimya Kuna billions zinaibwa zinafichwa na mafisadi lakini wanainchi wapo kimya Watu wanauwawa watu wanatekwa nakutupwa wakiwa mahututi...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usikurupuke kutetea haki za Watanzania. Jiulize na ujiridhishe wanastahili kutetewa?

    Kwema Wakuu! Usije ukakurupuka huko baada ya kula zako Ugali matole, au mkande yako ya kisamvu ukaanza kujifanya mtetezi wa HAKI za Watanzania. Kabla hujafanya hivyo ni muhimu kujiuliza, je ninaoenda kuwatetea HAKI zao wanahaki ya kutetewa? Yaani wanastahili kutetewa? Mtu yeyote ambaye...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Uraia Pacha, Wanadiaspora Mshukuruni Rais, sasa mnatambuliwa rasmi kwa Special Status ya Diaspora Tanzanite Card, una enjoy baadhi ya Haki za Uraia!

    Wanabodi Ni juzi Ijumaa niliuliza humu Kigugumizi cha nini kwenye Uraia Pacha? Shuhudia unavyowakwamisha Watanzania kuwekeza nyumbani. Miradi, mijengo ya maana ingeota kama uyoga, leo nakutana na hii hoja, uraia pacha wetu jameni ndio huu!. Haya sasa ndugu zetu wana Diaspora, mliopoteza uraia...
  7. Idd Ninga

    JamiiForums Tanzania Ukatili:Mtoto wa Kimasai Achapwa Viboko Hadi Kurukwa na AKili.

    Siku ya Tarehe kumi na tano ya wiki iliyopita, katika eneo la Engaruka wilaya Monduli mkoani Arusha,palitokea tukio la Kinyama la mtoto wa Miaka kumi na Tano ajulikanae kwa JIna la Namasi kufungwa katika Mti na kuadhibiwa kwa fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake na kusababisha kupata majeraha...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mungu akikuuliza umefanya nini kupigamia haki za binadamu utasema nini?

    Kwa sisi waumini wa Mungu tunaamini kutenda mema kwa vitendo na kupinga uonevu kwa mtu yeyote. Kwa wale wa umini tujiulize je leo ukienda mbele ya haki na kuilizwa na Mungu maswali haya utajibu nini 1. Kwa muda na nafasi niliyokupa duniani je umetumia akili yako na nguvu zako zote kupigania...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Khamis Mbeto Khamis hana haki ya kutupangia njia ya kutumia kupinga Sheria mbovu

    MBETO HANA HAKI YA KUTUPANGIA, NJIA YA KUTUMIA KUPINGA SHERIA MBOVU. Ndugu Wanahabari, awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu, kwa kutujaalia uhai na uzima, na ukimya katika nchi hii, pia kuwashukuru nyinyi wanahabari, kwa kuitikia wito wetu, kila pale ambapo tumewaita kuja...
  10. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Binti afanyiwa uonevu na anyimwa haki ya kuitwa kwenye usaili

    Ni jambo la ajabu lakini la kweli. Mojawapo ya tangazo lililowekwa katika tovuti ya ajira portal na mara zote kabla hujaweza ku apply system inakuambia ama kukukumbusha uhakikishe ume attach barua ya maombi ya kazi. Binti huyu alikua na sifa zote kama kazi ilivotaka na pia system ilimuwezesha...
  11. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Imekuwaje wagombea wa CCM hawajakosea kujaza fomu za uchaguzi Serikali za Mitaa?

    Hili wala halina ubishi kubali ukatae wanaccm walio wengi wana upeo mdogo na elimu yao ni ya kuunga unga. Mifano ni mingi kuanzia juu kabisa pale makao makuu yao kwenye like jengo lenye bendera ya chuma mpaka huku chini kwa wanazengo. Lakini Cha kushangaza watu wao wote wako perfect kwenye...
  12. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania CAF hawajaitendea haki yanga kinda Mzize hayupo kwenye list

    Caf hawajafanya fair kabisa kwa kumuacha kinda wa yanga kwenye orodha ya mchezaji chupikizi au kinda Clement Mzize mchango wake ni mkubwa alistahili kuwepo kinda hilo cha kushangaza hata jina lake halionekani au huko hakuna rushwa!
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mfano wa Mr. Manguruwe; Ni kweli Makonda hana uelewa wa maana ya haki za binadamu?

    Nimesikiliza sehemu ya mahojiano kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha Makonda na waandishi wa habari. Jambo mojawapo aliloulizwa ni tuhuma dhidi yake za ukiukwaji wa haki za binadamu, majibu yake yameniacha hoi kwa mshangao. Makonda anasema yeye ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu, mifano aliyoitoa...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wananchi Dodoma: Tunataka kupita katika uchaguzi wa haki na huru

    Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Dodoma wameviasa vyama vya siasa nchini kudumisha amani wakati wa kukamilisha michakato ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 Pia, Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma 2024 Kadhalika, wameishukuru...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa wapinzani: Namuomba Mungu anaetoa maagizo atangulie mbele za haki atuachie nchi yetu

    JF simameni katikati, hapa hajatajwa mtu.. Nikirudi kwenye mada, Kama kuna mtu wa ngazi yoyote anatoa maagizo wagombea wa upinzani wanyanyaswe kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa, ombi langu kwa Mungu ni amchukute huyo mtu ili nchi yetu iendelee kuwa salama. Na kama ni mfumo, Mungu...
  16. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Niko Uganda, timu yao imefuzu AFCON ila sijasikia Mseveni akisifiwa wala kuongelewa

    Uganda wamekuwa wa kwanza kwa EAC kufuzu Afcon Ila cha kunishangaza huku Uganda sioni Mseveni akitajwa polote pale. Na raia wako kimya kana kwamba hakuna kilicho tokea. Nikajisemea sasa ingekuwa kule kwetu, nahisi mida hii tusingelala kungekuwa kuna Jam kwenye TV na radio za kuabudu na kusifia...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Nenda rudi ya Baraza la Ardhi Karagwe inarudisha nyuma maendeleo ya Wananchi

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuboresha utoaji huduma wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya liweze kutenda haki kwa wakati katika usuluhishi wa migogoro na kupunguza malalamiko ya Wananchi ili kukomesha...
  18. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Serikali lazima itambue BAKWATA ni dhehebu moja tu miongoni mwa madhehebu ya Kiislamu, wala BAKWATA haina haki wala sifa ya chombo cha Waislamu

    Kupitia jukwaa hili naomba, kuifahamisha Serikali...na isijifanye hailioni hili... BAKWATA ni dhehebu la TWARIQA, miongoni mwa madhehebu tu kama vile lilivyo, HIZB TAHRIIR, TABLIIGH, SALAFY, SHIA... Ndio maana hata namna yao ya kuendesha mambo yao na uteuzi wa watu wao kuanzia Mufti mpaka...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Wagombea wetu wote warejeshwe, tuendeshe mambo kwa misingi ya haki

    Tumepokea taarifa ya Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuongeza muda wa rufani za wagombea na kuelekeza wagombea wetu walioondolewa kwa sababu ya ngazi ya udhamini warejeshwe. Ikumbukwe kuwa mnamo tarehe 09 Novemba, 2024 Kiongozi wa Chama chetu alitoa rai kwa Rais wa Jamhuri ya...
  20. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Ustawi wa kweli, haki, na furaha.

    Falsafa kuhusu binadamu mroho na mwenye husuda inachunguza asili ya tabia hizi hasi, na jinsi zinavyoathiri mahusiano, jamii, na maendeleo ya kiroho na kimaadili ya mtu. kuna tabia ambazo mara nyingi husababisha madhara kwa mtu mwenyewe na kwa wengine, na kuzua maswali kuhusu maana halisi ya...
Back
Top Bottom