haki

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Sheria za Tanzania zinalenga zaidi kulinda uovu badala ya kutetea Haki?

    Nchi yetu kadiri siku zinavyoenda mbele, imeshuhudia zikitungwa sheria nyingi za kuirudisha nchi nyuma, yaani sheria nyingi zimekuwa za kuwatesa na kuwaonea wananchi. Ni sheria za kuhalalisha uovu dhidi ya wananchi: 1. Tulikuwa na sheria ya vyama vya siasa, lakini baadaye ikabadilishwa hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu uko wapi siku hizi? Ni nini kimekupata mpigania haki?

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema kabisa! Namuulizia jenersli ulimwengu yuko wapi sasa , ni mda mrefu Sijamsikia katika kupaza sauti juu ya uvunjifu wa haki za binadamu pamoja na uchaguzi wa serikali za mitaa. Awamu hii ya sita upo kimya sana ndugu yangu ni nini kimekupata? Njoo ungana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la haki za binadamu la Amnesty International latoa ripoti kuwa Israel inafanya Genocide huko Gaza

    Katika ripoti waliyoitoa juzi, shirika la haki za binadamu la Amnesty International limeeleza kuwa kuna ushahidi mwingi wa kuwa Inachokifanya Israel huko Gaza ni mauaji ya Kimbari (Genocide). Wakieleza kuwa kwa mujibu wa makubaliano ya kimataifa, kosa la genocide linahusisha, mauji, kutenda...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 POTOSHI Jaji warioba ametoa pongezi, asema haki na uhuru umefanikisha uchaguzi

    Salaaam wakuu, tafadhali naomba kujua uhalisia wa hii taarifa iliyowekwa kwenye gazeti hili la Mwananchi khusu Mzee warioba kuwa ametoa pongezi, haki na uhuru umefanikisha uchaguzi.
  5. JamiiForums Tanzania Je Vyombo vya Habari Viliwatendea Haki Watanzania Kuwaelimisha Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?. Mimi na PPR Yangu, Tulijitolea Vipindi 6 vya TV.

    Wanabodi, Makala yangu Gazeti la Nipashe la 24/11/2024 Vipindi 6 vya TV vya PPR Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. 1. Prog. 1 - Ufunguzi wa Waziri wa Habari, Jerry William Slaa - https://youtu.be/bTs3S76UuoY 2. Prog. 2 - Mada Kuu-1 -Wajibu wa Media kwenye Uchaguzi wa Serikali za...
  6. JamiiForums Tanzania Nani amelitendea haki Jukwaa la Michezo kwa Mwaka 2024?

    Leo ni Desemba Mosi 2024, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri:CHADEMA na wanaharakati mbalimbali, wakati umefika Mdude apewe tuzo ya ushujaa katika siasa za mapambano na harakati za kupigania haki za watu

    Wadau, kwa sasa, huyu bwana bila shaka ndio anaeongoza kwa kupata misukosuko kutoka na harakati za kisiasa pampja na kupinga uovu wanaofanyiwa watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wasio wanasiasa. Kwa ujasiri aliona na utayari mkubwa alinao wa kubeba gharama ya hii kazi hata ikibidi kwa...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Lindi: Viongozi wa Dini na Kimila wasema uchaguzi umefanyika kwa Uhuru na Haki, Uchaguzi ujao amani itawale kama sasa

    Wakuu, Kumbe Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa ni wa huru na wa haki? Mbona hamkusema? HIivi kweli unajitokezaje kusema kuwa Uchaguzi ni huru na wa haki baada ya kuona mabomu ya machozi, kuenguliwa kwa wapinzani, polisi kukamata wapinzani kwenye kampeni na wizi wa kura ambao ushahid wake...
  9. JamiiForums Tanzania Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

    wapendwa mwenye kujua haki za watoto wa nje ya ndoa tupeane madodosoo hapa kwa dini zotee maana watoto wa nje ya ndoa wanaongezeka kila iitwapo leo vyema nao wakajua wazazi wakifa nn maslahi yao kufwatana na dini za wazazi wao kazi kwenu wapendwa... Operation okoa mtoto wa nje ya ndoa
  10. JamiiForums Tanzania Ikiwa mtu anakutawala, anakuibia anakunyima haki yako anakuwa amekuzidi akili na maarifa

    Vyama vya upinzani vinakosa visionary people and great thinkers. CCM hawana mbinu za kutawala, kuongoza wala kutoa mwelekeo sahihi wa nchi . Ila unfortunately vyama vya upinzani vinakwama sehemu moja. Wanashindwa kuelewa watu wanahitaji nini na ni aina gani ya akili za wananchi. Natoa...
  11. JamiiForums Tanzania Yaani kijana miaka 39 unamiliki gorofa Kariakoo kweli jamani hii ni haki sisi wazee tupo tu

    Kweli nimeamini umri sio kitu chochote cha maana katika maisha yaani hapa nimeona wamiliki wa lile gorofa Kariakoo aisee mmoja tu ndio mkubwa nimemzidi miaka 15 wengine ni vijana wadogo kabisa aiseee Yaani miaka midogo hivi unamiliki nyumba kko daaah aya maisha ayako fear kabisa nimelia sana
  12. JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Wanawake watetezi wa Haki za Binadamu

    Siku ya Kimataifa ya Watetezi wa Haki za Binadamu Wanawake huadhimishwa kila mwaka tarehe 29 Novemba. Siku hii inatambua juhudi za wanawake wote wanaofanya kazi kwa bidii kutetea haki za binadamu, pamoja na watetezi wa haki za binadamu wanaopambana na ubaguzi dhidi ya wanawake. Mwanzo wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ajira ni haki ya kila kijana msomi, lakini kwasababu ya upumbavu wao hawatakuja kuitambua hii haki yao ya msingi mpaka watazeeka.

    Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani. Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad? Kama ungetaka kuwa muuza matunda ungeishia DARASA la kwanza tu au la pili. Hesabu za darasa la pili zinatosha kwa mfanyabiashara wa matunda...
  14. JamiiForums Tanzania Pengine watu wengi hukosa haki zao kwasababu ya changamoto za majina ya NIDA

    📖Mhadhara (68)✍️ Katika mizunguko yangu ya leo tarehe 27/11/2024, majira ya saa 14:20 nilifika kwenye duka la nguo la dada mmoja mwenye umri kati ya miaka 30 - 40. Wakati nachagua nguo dada huyo akiwa na mwenzake walikuwa wanazungumza jambo. Kwenye mazungumzo yao dada mwenye duka anamshauri...
  15. JamiiForums Tanzania Ni bora nife nikifukuzana na ndoto zangu kuliko kufa njaa kwenye dunia isio na haki

    Kipi special sanaa katika hii dunia kinachoweza kunijali kwa dhati eti nikionee huruma??? Eti kinifanye nicheze kwa standards zilizo fair, hakipo, so ni muda wa kuwa ruthless. Anaekuhubiria uache pombe, anatembea na mke wako Anaekukamata haujalipa kodi, anapita na pesa zote za mradi wa mtaani...
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: IGP Camillus Wambura apiga Kura, awahimiza Wananchi kutimiza Haki ya Kikatiba

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Novemba 27,2024 amepiga kura kuwachagua viongozi wa serikali za Mitaa. IGP Wambura amepiga kura Jijini Dar es salaam ambapo amewasisitiza wananchi pamoja na askari kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba.
  17. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Uchaguzi ni mchakato, kama kujiandikisha, kuteuliwa, na kuapishwa kumekuwa na "madudu" sahau kuwa kesho kuna haki yoyote itatendeka kwa wapinzani

    Tumeona ukiukwaji mkubwa katika kujiandikisha, kuenguliwa wapinzani, /kuteuliwa. kuwekewa mapingamizi ya uongo na kweli, kuapishwa wamekataliwa, sasa UPINZANI mnadhani kesho ndiyo CCM watatenda haki?
  18. JamiiForums Tanzania Amka mpira unakuibia haki yako ya msingi

    Kuna Mambo mengi ya ajabu na ya hovyo Yana fanywa na viongozi wetu lakini wanainchi wapo kimya Kuna mikataba ya hovyo Ina fanyika lakini wanainchi wapo kimya Kuna billions zinaibwa zinafichwa na mafisadi lakini wanainchi wapo kimya Watu wanauwawa watu wanatekwa nakutupwa wakiwa mahututi...
  19. JamiiForums Tanzania Usikurupuke kutetea haki za Watanzania. Jiulize na ujiridhishe wanastahili kutetewa?

    Kwema Wakuu! Usije ukakurupuka huko baada ya kula zako Ugali matole, au mkande yako ya kisamvu ukaanza kujifanya mtetezi wa HAKI za Watanzania. Kabla hujafanya hivyo ni muhimu kujiuliza, je ninaoenda kuwatetea HAKI zao wanahaki ya kutetewa? Yaani wanastahili kutetewa? Mtu yeyote ambaye...
  20. JamiiForums Tanzania Uraia Pacha, Wanadiaspora Mshukuruni Rais, sasa mnatambuliwa rasmi kwa Special Status ya Diaspora Tanzanite Card, una enjoy baadhi ya Haki za Uraia!

    Wanabodi Ni juzi Ijumaa niliuliza humu Kigugumizi cha nini kwenye Uraia Pacha? Shuhudia unavyowakwamisha Watanzania kuwekeza nyumbani. Miradi, mijengo ya maana ingeota kama uyoga, leo nakutana na hii hoja, uraia pacha wetu jameni ndio huu!. Haya sasa ndugu zetu wana Diaspora, mliopoteza uraia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…