haki

  1. Msanii

    China ndio ya kwanza duniani kwa ukiukwaji wa haki za binadamu na ndio marafiki wakubwa wa CCM. Unatarajia nini kutoka CCM?

    Urafiki wa nchi ya China kupitia chama tawala cha nchi hiyo na serikali yetu kupitia CCM ni kiashiria tosha cha mfanano wa vyama hivyo viwili. Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa! China inasifika...
  2. Allen Kilewella

    PreGE2025 Mtu kama huyu anawezaje kusimamia uchaguzi CHADEMA wakapata haki yao?

    Sijui mahakama yetu huwa inashindwaje kuelewa hoja rahisi kama hii? Au kuwa msomi maana yake ni kuwa mtu usiyefuata mantiki? Unaikumbuka ile kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Na si unakumbuka kuwa hoja ilikuwa wengi wa wakurugenzi hao ni CCM hivyo hawawezi kutenda haki Kwa vyama...
  3. E

    Azam tv haiwatendei haki wateja wake kwa kupandisha vifurushi vyake bei kubwa Mno

    Azam tv kwema, Hamtutendei haki watumiaji wa visimbuzi vya antena tunalipa gharama sawa na watumiaji wa dish lkn channel za antena nichache embu ziongezeni na pia hamtutendei haki wateja wenu kwa kuongeza gharama za vifurushi vyenu tunaomba mfanyie kazi maoni ya wateja wenu mfano startime ligi...
  4. Lady Whistledown

    Ukatili wa Mtandaoni dhidi ya Wanawake ni Tishio kwa Usalama na Haki zao

    Wanawake wanakabiliwa na aina mbalimbali za ukatili mtandaoni, ikiwemo: Kudhihakiwa na Kudhalilishwa; Maneno ya kejeli na matusi yanayolenga kudunisha utu wa mwanamke. Kutishwa na Kutishwa kwa Maisha:** Vitisho vya moja kwa moja dhidi ya maisha na usalama wa mwanamke. Kuvujishwa kwa Taarifa...
  5. JEJUTz

    Haki ya mtu

    Elewa tu sisi wengine hatuna maisha mazuri ila mioyo yetu ipo tayali kukosa kuliko kuzulumu haki ya mtu.
  6. trojan92

    Ulishawahi fanya interview ukaona kabisa hutoboi?

    Wakuu niaje.... Ni mimi hapa kijana wenu Trojan, leo nimeona nishare na nyie kuhusu interview hasa oral. Ofcourse nimefanya oral interview nyingi sana ila kuna zingine niliboronga kabisa. Kuna wakati uoga unakuingia from no where, kuna wakati maswali ni magumu mno nk. Je ushawahi fanya...
  7. LESIRIAMU

    Tetesi: Makada wa CCM waondolewe kwenye vyombo vya kutoa haki

    Inasikitisha unapo ona vyombo vya kutoa haki vinacheza na maisha ya Watanzania kwa sababu za maamuzi ya makada. Hii kesi ya Soka na wenzake ni mfano ambao una onyesha jinsi haki zinavyozidi kupindishwa kwa maslahi ya kundi fulani Hivi ni kweli Jaji anaweza kusema hakuna ushahidi wa kwamba hawa...
  8. Zanzibar-ASP

    PreGE2025 Mtangazaji wa ITV na Tundu Lissu hakika mmetutendea haki sisi watanzania kwenye kipindi cha dakika 45

    Tuache ushabiki pembeni, mtangazaji wa ITV alijipanga vyema sana katika kufyatua maswali ya msingi yenye kumuweka kwenye kona Lissu, na Lissu aliweza vizuri sana kukabiliana nayo moja kwa moja bila kukwepa, kuzunguka mbuyu au kulipua lipua. Hakika ulikuwa mjadala mzuri wenye kusisimua na...
  9. K

    Tunatakiwa kusimama kwenye maandiko ya dini ili kutenda haki kwa kila mtu

    HATUWEZI KUHUBIRI HAKI NA USAWA HUKU TUKIWA WENYEWE HATUFANYI HAKI NA USAWA WENYEWE TUKILAZIMISHA MUONEKANO TUSIO NAO TUTAKUWA WANAFIKI Nilisikika katika Ulimwengu wa kiroho huko Ndotoni nikitoa somo ili kubadilisha mentality za Uchawa na upigaji. Nikaanza Mwenyezi Mungu ametupatia Akili ili...
  10. Hismastersvoice

    Tume ya haki jinai waliomo hawajui majukumu yao.

    Juzi nilimsikiliza mwenyekiti wa tume ya haki jinai akijibu mapigo baada ya tume hiyo kulalamikiwa, pamoja na kumsikiliza mpaka mwisho alichokuwa anakisoma kwa kubabaika, hakuna mahali alisoma mafafanikio waliyoyapata zaidi ya kutujulisha majukumu ya tume! Hii inamaana wako ofisini wanekaa...
  11. Damaso

    Ngorongoro ni haki ya wamaasai, serikali msijitoe akili.

    Wamasai ni watu! Wamasai ni watanzania, wamasai ni waafrika na wamasai ni ndugu zetu! Nilipokuwa mdogo miaka ya 80 nilipata bahati kubwa ya kuzunguka na mzee haswa nyakati za likizo tukitembelea maeneo mbali, nilipata uzoefu wa kuona Maisha ya watanzania wenzangu, na hii ilinifanya kujifunza...
  12. Cute Wife

    Makonda: Moja ya sifa niliyonayo ni kusimamia haki na ukweli, sitashiriki kukandamiza haki ya mtu

    Pia soma: Makonda, Lukuvi pamoja na Kabudi walekea ziarani Ngorongoro Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesisitiza kuwa hatashiriki kukandamiza haki ya mtu mahala popote pale atakapokuwa, huku akikumbusha kuwa nafasi wanazopata viongozi ni upendeleo wa Mungu. Pia soma: Rais Samia Aagiza...
  13. G

    Kuna kelele nyingi za haki sawa kwenye kugawana majukumu ya Mwanamke, kwanini majukumu ya Mwanaume yapo vile vile hayapewi usawa ?

    Kwa tuliobahatika kuoa wanawake wanaojua majukumu yao ya asili tunasema asante ila tunasikitika kwa wanaume wenzetu waliooa wanawake pro haki sawa, tunahofia pia watoto wetu kusombwa na hili gharika. Wanawake wa kisasa wengi wameona majukumu yafuatayo wasaidiane na waume zao Kufua nguo - Kuna...
  14. GENTAMYCINE

    Kipaumbele cha sasa na muhimu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Simba na Yanga na kamwe si Ustawi wa Watanzania, Haki na Amani yao

    "Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo litakapokamilika tutaitana vilabu tuambizane" - Rais @SuluhuSamia akizungumza katika uwekaji wa...
  15. and 998 others

    Ukikaidi amri halali, kupigwa ni haki yako

    Nawasihi sana ndugu zetu huko bara. Tuelekee Msomera Kwa furaha maana mkizidi kukaidi. Haki mnayodai ni kupigwa tu. Hamna haki zaidi ya hiyo. Asanteni
  16. Black Butterfly

    Chombo Huru kichunguze tukio la Binti kubakwa na kulawitiwa, Kauli za Polisi zinatia shaka kupatikana Haki yake

    Kwa takriban mwezi sasa Polisi bado wanahangaika na uchunguzi wa tukio la Binti aliyeonekana katika Video akifanyiwa vitendo vya Ukatili na Wanaume Watano na bado kumekuwa na kauli za kutia shaka kuhusu haki ya huyo binti. Baadhi ya Askari wamekuwa wakitoa kauli zinazoonesha wazi kumkandamiza...
  17. Stuxnet

    Kwa Yanayoendelea Jeshi la Polisi, “Tume ya Haki Jinai” Ilikuwa ni Matumizi Mabaya ya Fedha Zetu

    Ni wazi pesa za wananchi zimetumika kwenye Tume hii ya Mh Jaji Mkuu mstaafu Othman Chande hivyo wananchi tungetamani kuona matokeo chanya ya utekelezaji. Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makamanda wa Polisi Mikoa na Wilaya na Taasisi zote zinapaswa kuzingatia maelekezo ya Rais ambaye ni Mkuu wa Nchi...
  18. K

    Mbinu waliyoitumia Wamasai Kuandamana ili Kudai haki yao ni Effective kwa Hakika

    Hiyo Mbinu ya Wamasai wa Ngorongoro waliyotumia Leo itaisumbua mno Serikali. SERIKALI italazimika kuangalia upya sera yake ya kuwahamisha hao Wamasai vinginevyo utalii kwa maeneo ya Serengeti na Ngorongoro utaathirika sana. Na watalii watasaidia sana kusambaza taarifa za kilio cha Wamasai hao...
  19. M

    Je, kuna siku Tanzania itafanyika uchaguzi wa huru na haki?

    Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na maelewano kwa wanasiasa Tanzania. Je, hiyo ni dalili ya uchaguzi wa huru na haki?
  20. Brain Kingdom

    Mungu wa Haki sio wa Kucheza nae Awadhi H Aulize alipo Jecha Jecha yule Unguja kwa Sasa

    Ukimdhihaki Mungu kawaida majibu yake ni baya kwa baya na ubaya kwa Ubaya hainaga Ubwela. Awadhi ajutie makosa yake mbingu hufunguka kwenye maombi na toba. Chadema na vyama vingine ni watanzania wenzetu, sisi wana CCM hatuna hati miliki ya uhai wala haki ya kuishi ndani ya Tanzania...
Back
Top Bottom