haki

  1. Binti afanyiwa uonevu na anyimwa haki ya kuitwa kwenye usaili

    Ni jambo la ajabu lakini la kweli. Mojawapo ya tangazo lililowekwa katika tovuti ya ajira portal na mara zote kabla hujaweza ku apply system inakuambia ama kukukumbusha uhakikishe ume attach barua ya maombi ya kazi. Binti huyu alikua na sifa zote kama kazi ilivotaka na pia system ilimuwezesha...
  2. LGE2024 Imekuwaje wagombea wa CCM hawajakosea kujaza fomu za uchaguzi Serikali za Mitaa?

    Hili wala halina ubishi kubali ukatae wanaccm walio wengi wana upeo mdogo na elimu yao ni ya kuunga unga. Mifano ni mingi kuanzia juu kabisa pale makao makuu yao kwenye like jengo lenye bendera ya chuma mpaka huku chini kwa wanazengo. Lakini Cha kushangaza watu wao wote wako perfect kwenye...
  3. CAF hawajaitendea haki yanga kinda Mzize hayupo kwenye list

    Caf hawajafanya fair kabisa kwa kumuacha kinda wa yanga kwenye orodha ya mchezaji chupikizi au kinda Clement Mzize mchango wake ni mkubwa alistahili kuwepo kinda hilo cha kushangaza hata jina lake halionekani au huko hakuna rushwa!
  4. Mfano wa Mr. Manguruwe; Ni kweli Makonda hana uelewa wa maana ya haki za binadamu?

    Nimesikiliza sehemu ya mahojiano kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha Makonda na waandishi wa habari. Jambo mojawapo aliloulizwa ni tuhuma dhidi yake za ukiukwaji wa haki za binadamu, majibu yake yameniacha hoi kwa mshangao. Makonda anasema yeye ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu, mifano aliyoitoa...
  5. LGE2024 Wananchi Dodoma: Tunataka kupita katika uchaguzi wa haki na huru

    Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Dodoma wameviasa vyama vya siasa nchini kudumisha amani wakati wa kukamilisha michakato ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 Pia, Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma 2024 Kadhalika, wameishukuru...
  6. S

    Unyanyasaji wa wapinzani: Namuomba Mungu anaetoa maagizo atangulie mbele za haki atuachie nchi yetu

    JF simameni katikati, hapa hajatajwa mtu.. Nikirudi kwenye mada, Kama kuna mtu wa ngazi yoyote anatoa maagizo wagombea wa upinzani wanyanyaswe kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa, ombi langu kwa Mungu ni amchukute huyo mtu ili nchi yetu iendelee kuwa salama. Na kama ni mfumo, Mungu...
  7. Niko Uganda, timu yao imefuzu AFCON ila sijasikia Mseveni akisifiwa wala kuongelewa

    Uganda wamekuwa wa kwanza kwa EAC kufuzu Afcon Ila cha kunishangaza huku Uganda sioni Mseveni akitajwa polote pale. Na raia wako kimya kana kwamba hakuna kilicho tokea. Nikajisemea sasa ingekuwa kule kwetu, nahisi mida hii tusingelala kungekuwa kuna Jam kwenye TV na radio za kuabudu na kusifia...
  8. Bashungwa: Nenda rudi ya Baraza la Ardhi Karagwe inarudisha nyuma maendeleo ya Wananchi

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuboresha utoaji huduma wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya liweze kutenda haki kwa wakati katika usuluhishi wa migogoro na kupunguza malalamiko ya Wananchi ili kukomesha...
  9. Serikali lazima itambue BAKWATA ni dhehebu moja tu miongoni mwa madhehebu ya Kiislamu, wala BAKWATA haina haki wala sifa ya chombo cha Waislamu

    Kupitia jukwaa hili naomba, kuifahamisha Serikali...na isijifanye hailioni hili... BAKWATA ni dhehebu la TWARIQA, miongoni mwa madhehebu tu kama vile lilivyo, HIZB TAHRIIR, TABLIIGH, SALAFY, SHIA... Ndio maana hata namna yao ya kuendesha mambo yao na uteuzi wa watu wao kuanzia Mufti mpaka...
  10. LGE2024 ACT Wazalendo: Wagombea wetu wote warejeshwe, tuendeshe mambo kwa misingi ya haki

    Tumepokea taarifa ya Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuongeza muda wa rufani za wagombea na kuelekeza wagombea wetu walioondolewa kwa sababu ya ngazi ya udhamini warejeshwe. Ikumbukwe kuwa mnamo tarehe 09 Novemba, 2024 Kiongozi wa Chama chetu alitoa rai kwa Rais wa Jamhuri ya...
  11. Ustawi wa kweli, haki, na furaha.

    Falsafa kuhusu binadamu mroho na mwenye husuda inachunguza asili ya tabia hizi hasi, na jinsi zinavyoathiri mahusiano, jamii, na maendeleo ya kiroho na kimaadili ya mtu. kuna tabia ambazo mara nyingi husababisha madhara kwa mtu mwenyewe na kwa wengine, na kuzua maswali kuhusu maana halisi ya...
  12. N

    LGE2024 Padri Kitima ashukia serikali kwa kuengua wagombea kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Asema uonevu ulianza rasmi mwaka 2016!

    Katibu Mkuu wa TEC Padri ametoa rai kwa mamlaka za juu kuacha kuigilia mamlaka za chini hususani katika mchakato wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji. Amesema katika Chaguzi za hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuwanyima haki baadhi ya wagombea hasa wa upinzani kutokana na...
  13. Naona dhahiri vyama vingine vya upinzani vimetendewa haki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Tanzania tuna vyama vya siasa takribani 18 kama sijakosea. Vyama ambavyo vimekua vikilalamika tangu wakati wa uandikishaji wapiga kura nawaona CHADEMA, CUF NA ACT. Hii inadhihirisha kwamba wale wala ubwabwa na wenzake wamesimamisha wagombea na hawajakutana na changamoto yoyote. Na inasemekana...
  14. Mahakama ya Tanzania ni mhimili unaosimamia uvunjwaji wa Haki za Binadamu nchini....

    Tusome kwa pamoja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 12 (6) Kwa madhumuni ya kuhakikisha usawa mbele ya sheria, Mamlaka ya Nchi itaweka taratibu zinazofaa au zinazozingatia misingi kwamba: (a) wakati haki na wajibu wa mtu yeyote vinahitaji kufanyiwa uamuzi wa mahakama au...
  15. K

    Masudi: Haki ya nani Nimekoma Mimi!?

    Story kutoka mtandaoni Facebook 👇👇 Masudi anaelezea "Siku moja mida ya usiku nipo maskani tumepaki bodaboda zetu na washkaji zangu ikaja gari ikapaki pembeni ya bodaboda zetu. Ndani kulikuwa na jamaa. Sisi tuliendelea na story zetu. Ghafla akaja binti mmoja wa pale kitaani kwetu akaingia...
  16. G

    Ni jambo la hekima sana kumweka wazi bajeti yako kwenye mtoko wa date lasvyo umempa tiketi ya kuagiza vinywaji ghali na kuleta marafiki zake, n.k.

    Hii ni muhimu zaidi kwetu wenye vipato vya kawaida. Sio jambo la aibu hata kidogo wala sio urijali wala ujanja kwenda date bila kumpanga mapema kuhusana na bajeti. Ukishindwa kujipanga jiandae kupata aibu, kuharibu bajeti yako, n.k. Kumjuza bajeti yako itakusaidia mapema kujua kama yupo nje ya...
  17. Marefa wanawalea sana Khalid Aucho na Mudathiri yahya mechi ya leo haki itendeke!

    Tunashudia kila mechi khalidi aucha na Mudathiri huingia kwa lengo la kucheza rafu kupiga mateke wachezaji wa timu pinzani marefa huishia kuwapa onyo la mdomo na mwisho hutoa kadi ya manjano baada ya hapo huwaacha wakiendeleza uhuni wao uwanjani badala ya kupiga soka, Naiona tabia hiyo ikizidi...
  18. Makamu wa Kwanza wa Rais Othman Masoud atoa rai kwa ZLS kusimamia haki za wananchi

    Makamu wa kwanza wa rais Othman masoud amekitaka chama cha wanasheria Zanzibar (ZLS) kusimama imara kutetea haki za wananchi zinapovunjwa hasa katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Tamko hilo amelitoa wakati akifunguwa mkutano mkuu wa mwaka chama hicho uliofanyika visiwani Zanzibar na...
  19. R

    Kwa KATIBA hii ya sasa, hakuna Jaji anayeweza kutoa maamuzi ya haki hasa pale "anapopigiwa simu" na EXECUTIVE

    1. Ujaji ni "fadhilia" ya Executive arm 2. Bado kwa nyakati za KATIBA hii, hakuna jaji anyeweza kutoa maamuzi dhidi ya Bunge. Lazima apigiwe simu kama alivyosema Rostam. 3. Kuna kesi nyingi duniani from common law jurisdiction, ambazo mahakama iliingilia bunge ilipothibitika kuwa Spika...
  20. KERO Ukosefu wa Namba ya NIDA unaninyima haki zangu za msingi na inanitia umasikini

    Ndugu zangu wanaJF, huu ni mwaka wa sita sasa mtanzania mimi nahangaika kupata huduma hii muhimu lakini mpaka sasa nahisi kukata tamaa kwa maana kila nikiuliza naambiwa bado mfumo mpya haujatangazwa hivyo tuendelee kusubiri kwa wale tusiokuwa na namba ya nida na kibaya zaidi huku mtaani mfumo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…