haki

  1. Bra-joe

    Ujumbe wa Eid ni Amani, Amani, Amani Mbona hawazungumzii HAKI?

    Habari Wananchi? Hivi Hawa watu wanaohubiri kuitunza amani yetu hawaoni kwamba ni Serikali na ccm ndiyo wanaohatarisha Amani yetu kwa kung'ang'ania kukumbatia mifumo mibovu ya chagizi zetu? Ujumbe huu wa amani Kila Kona kwa siku ya Leo nadhani ni mpango maalumu ili watu watakapokuwa wanadai...
  2. technically

    Hakuna nchi yeyote Duniani yenye Amani bila haki

    Siasa ni kuwajibika Siasa ni sayansi Siasa sio biashara Siasa sio kusifiwa Kuna kukosolewa Hata kutukanwa pia Kama Yesu alisemwa mtume Mohammad alitukanwa wewe ni Nani usisemwe na kukosolewa? Kama hautaki kukosolewa, sikiliza umma tenda umma wanachokitaka!! Wengi wape hiyo ndio democracy...
  3. S

    HESLB hawafanyi haki kwa hili

    Je, Mfumo wa Mikopo ya HESLB kwa Postgraduate ni wa Haki? Mwandishi: Mr. Makizube Hakunaki Ndugu wanajukwaa, Baada ya kupitia kwa kina miongozo ya utoaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wa shahada za uzamili (Master’s) na uzamivu (PhD) kwa mwaka wa masomo 2024/2025, nimeona kuna...
  4. PendoLyimo

    PreGE2025 Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

    Katika kile kinachoonekana kama mgawanyiko unaokua ndani ya CHADEMA, taarifa za kuaminika zinaeleza kuwa Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Siglad, alipigwa na walinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche. Tukio hilo lilitokea usiku wa jana mkoani Njombe, katika...
  5. MwananchiOG

    Mchezo wa derby kurudiwa sio suluhisho la haki

    Mchezo wa derby kurudiwa haimaanishi ndiyo haki inayotakiwa au ndiyo suluhisho kwa pande zote zinazohusika. Kanuni na taratibu ndizo zinapaswa kuamua mchezo urudiwe au la. Kama timu moja ilivunja kanuni kwa kukataa kuhudhuria mchezo husika, ipokonywe alama 3 na magoli matatu. Kama Bodi ya Ligi...
  6. Bams

    Serikali na CCM Iviaibishe Vyama Vya Upinzani Kwa Kufanya Mabadiliko Ya Msingi Kwenye Sheria Za Uchaguzi, Kama Huwa Inashinda Kwa Haki.

    CHADEMA katika kampeni yake ya NO REFORM NO ELECTION, haitafuti upendeleo bali inatafuta haki na ulinzi wa thamani ya kura. Hivi CCM kama huwa inashinda kwa haki, si ndiyo ungekuwa muda sahihi kukubali mapendekezo yote yatakayoufanya mchakato wa uchaguzi kuwa huru, wa haki na wa uwazi ili...
  7. KakaKiiza

    Kuna hii habari imekuwa ikiwachanganya watu katika mahusiano hasa wadada kudhani ni haki yao!

    Wadada wa mjini wengi wamekuwa wakijikuta katika mivutano mikubwa ya mahusiano bila wao kujua na kubaki wakilia mjini! Unakuta binti kaingia katika mahusiano na mtu wanaamua kusogezana pika pakua wakati akienda kwa mwanaume amemkuta na kiwanja na kibanda au nyumba kabisa! lakini baada ya miezi...
  8. Roving Journalist

    PreGE2025 Rita Paulsen (Madam Rita): Kupiga Kura ni Haki yako wewe mwenye sifa, sasa jiandikishe ili uipate haki hiyo

    Unapofikisha Umri wa Miaka 18 au unapoelekea kutimiza ni jukumu lako kuhakikisha unakuwa na Kadi ya Kupiga Kura, Watu wanatakiwa kutambua unapokuwa na kadi hiyo siyo lazima uwe Mwanachama wa chama fulani, hiyo ni haki yako na una haki ya kupiga Kura Rita Paulsen maarufu Madam Rita Mwanzilishi...
  9. Genius Man

    Mimi sitambui tume huru kama tume itakayoenda kufanya haki au kama tume iliyopo kihalali hivyo kushiriki uchaguzi ni usaliti wa taifa

    Unajua watanzania Katika uhalisia watanzania tuliomba tume huru tukapewa jina la tume pekee na kuitwa "huru" wakati jina haliwezi kuifanya tume iwe huru, hii ni kama wenye mamlaka wamekwepa uwajibikaji, demokrasia na haki ili kusalia zaidi madarakani kwasababu jina haliwezi kuleta demokrasia...
  10. Mwanongwa

    Mbeya: TFF tendeni haki uchaguzi wa Mbeya

    UCHAGUZI MREFA (MBEYA) Habari ndugu zangu Wanamichezo. Leo ni siku ya usaili kwa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Chama cha Mpira Mkoa wa Mbeya (MREFA). Taarifa zilizipo ni kwamba Kamati ya Uchaguzi ya TFF inayoongozwa na Benjamin Kalume wamepanga kumkata Sadick Jumbe kwenye nafasi ya...
  11. ELI COHEN

    Haya ni baadhi ya matukio ambayo wapenda haki #FreePalestine wameyakalia kimya. Concern yao ni pale unagusa taifa lolote la mashariki isipokuwa Israel

    Wakristu na Washia kuuliwa Syria march 2025 Vita ilioletwa na wahuthi kusababisha njaa na utapia mlo hapo yemen Waturuki kuwaua wakurdi kwa mashambulio ya ndege huko syria Itikadi kali kuvamia kanisa na kuua waumini congo 2025 Magenge kutoka pakistan na nchi za kiarabu nyingine kufanya...
  12. W

    Wadau waisihi serikali kuridhia itifaki ya haki za watu wenye ulemavu

    Katika juhudi za kukabiliana na mila potofu, imani zisizo sahihi na ushirikina unaodhuru watu wenye ulemavu, wadau wametoa wito kwa serikali kuhakikisha inakamilisha mchakato wa kuridhia Itifaki ya Haki za Watu Wenye Ulemavu Afrika kabla ya kuvunjwa kwa Bunge la 12, ili kulinda haki za kundi...
  13. Johnson Alex Otieno

    C.W.T BUKOMBE ,uchaguzi sio maagizo toka Juu ni mchakato huru,wazi na wa haki.

    Salaam kwenu wana wa nchi. Nimepita hapa jimbo la Bukombe na nimekutana na mambo ya ajabu sana. Moja ya mambo haya ni Uchaguzi wa Chama Cha Walimu Tanzania. Katika mchakato wa kuwapata viongozi mbalimbali wa chama hiki cha wasomi wa Tanzania na walezi wa watoto wa Watanzania nimeambiwa na...
  14. Trainee

    NHIF wananyima watu haki za msingi kwa sababu zisizo na mashiko

    Naomba niaze na maswali chokozi haya yafuatayo kabla ya kwenda kwenye hoja yangu; 1. Hivi mtu anaweza akafoji mzazi, mtoto, mwenza, mkwe nk 2. Ikiwa ni kweli mtu anaweza akafoji hao watu, je kwenye mfuko wa bima ya afya kunakuwa na hasara gani? 3. Hivi mtu anaweza kusajiliwa mara mbili kwenye...
  15. Ojuolegbha

    Rais Samia ameitendea Haki Elimu nchini

    Tangu kuingia madarakani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mwaka 2021, shule za msingi mpya zaidi ya 468 zimejengwa huku vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000 vipya vya msingi na Sekondari vimejengwa, lakini kama haitoshi kumejengwa shule za awali 1,600 ambazo...
  16. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    THBUB yafanya ukaguzi kiwanda cha KEDS Tanzania Company LTD kujiridhisha na uzingatiwaji wa Haki za Binadamu

    Katika utekelezaji wa majukumu yake ya Kikatiba na Sheria, Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ukiongozwa na Kamishna Mhe. Nyanda Shuli umetembelea kiwanda cha KEDS TANZANIA COMPANY LYD na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wafanyakazi wa kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya...
  17. S

    Walimu Busega wachachamaa,wampa notisi ya siku 90 Maiko Kachoma (Mkurugenzi,Busega) wasema lazima Haki ipatikane

    Walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega wameamua kugeukia Mahakama ili kudai haki yao baada ya Mkurugenzi wao, Ndugu Maiko Kachoma, kukaidi matakwa ya sheria na kupuuza maombi yao. Walimu hao, zaidi ya 150, wamempa notisi ya siku tisini kuhakikisha kuwa amekamilisha mchakato wa kuwatoa katika...
  18. Lupweko

    Mwanasheria wa Yanga asema waliinyima Simba haki ya kufanya mazoezi kwa kuwa nao walinyimwa mechi ya kwanza

    Ataka busara itumike, kanuni zikae kando kwanza Adhihirisha kuwa mabaunsa walitumwa na uongozi Tuendelee kuhifadhi post walizoweka mwanzo mwanzo, zitasaidia kujua kilichopangwa na kilichofanywa.
  19. F

    Lissu hamtendei haki Aidan

    Akiwa Mgeni wa Heshima katika sherehe za Bawacha jana, Lissu hakuweza kujizuia kumtaja Aida. Alirudia tena madai yake kuwa Aida alipewa ubunge na CCM. Huo ni upotoshaji mkubwa kwa sababu una maanisha kuwa Aida hakushinda uchaguzi bali CCM walifanya figisu figisu na kumpa kura za ushindi...
  20. Southern Highland

    Nawaza tu, kama mwenye haki ya matangazo angekua DSTV!

    Tunachukuliana poa kwakua mmiliki wa haki ya matangazo ni MTanzania mwenzetu. Lakini proffessionally, financially hata socially anaenda kulilia chooni kwa hasara anayoingia na anafanya hivyo asiwakere waliompa tender. Pole sana Azam, nia yako ni njema ila waliokupa kazi hawathamini jasho lako.
Back
Top Bottom