haki

  1. Msela Wa Kitaa

    Je, jeshi linalolinda mfumo usio wa haki bado ni la wananchi? (mtazamo kutoka Afrika Mashariki hadi Sahel)

    Katika siasa za Afrika, kuna tofauti kubwa kati ya majeshi ya baadhi ya nchi. Wengine hujiona kama watumishi wa dola, wengine kama watumishi wa watawala, na wachache kama wakombozi wa kweli. Nimekuwa nikifuatilia mifano mbalimbali, na hii ndiyo taswira niliyoona: 1. Madikteta wengi huweka watu...
  2. kipara kipya

    Makamanda wamemuingiza chaka Lissu leo hii wanaomba kesi ipelekwe haraka kwenye hizo hizo mahakama zisizo na haki wanazolalamika miaka nenda!

    Akili ni nywele kusema sio kutenda na uoga ni adui mkubwa...kila mara ukiwaambia makamanda jambo la kimahakama watakwambia mahakama zetu hazifuati sheria maagizo yanatoka juu bora tukinukishe...leo hii badala ya kukinukisha kumchomoa mwenyekiti waliye muingiza chaka kwa kumdanganya tupo pamoja...
  3. Ojuolegbha

    Waziri Dkt. Gwajima azindua Mahabusu ya Watoto Mtwara, atoa rai kwa viongozi na Mahakama kulinda Haki za Watoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amezindua Mahabusu ya Watoto Mkoani Mtwara, na kueleza kwamba dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kulinda haki za watoto na kuimarisha mfumo wa haki jinai...
  4. UHURUWANGU

    PreGE2025 Watanzania, Haki haiombwi kwa kunyamaza – No Reforms, No Election! Hatutakubali tena kuishi kwa hofu, kukosoa siyo Uasi, ni Uzalendo wa kweli!"

    Katika kila kona ya nchi yetu—kutoka mijini hadi vijijini, kutoka kwa masikini hadi matajiri—Watanzania tumekuwa tukilalamika, tukilia kimya kimya, tukibeba maumivu ya mfumo kandamizi usiowajali wananchi. Mfumo huu hauwaheshimu wapiga kura, hauzingatii Katiba, na huwahukumu wanaodai mabadiliko...
  5. Idugunde

    Mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea Tanzania kupitia Chadema ya Lissu. Mbowe alitumika kuwanyima haki Watanzania.

    Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema. Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao. Kama viongozi waandamizi wa CCM kama Diallo , Nape na yule Disii aliyetimuliwa walitamka wazi kuwa CCM...
  6. kipara kipya

    Mtu mmoja mwenye tamaa za tumbo anapoamua kuzuia haki za walio wengi kushiriki haki ya kuchagua!

    Dikteta ucharwa msimamo wake wa kutaka kuzuia uchaguzi unapelekea kuwanyima haki au kuzia haki ya wapenda haki katika kushiriki katika zoezi zima la uchaguzi dikteta uchwara..ameweka msimamo huo kwa kuwatisha wasaidizi wake wote hata mteule wake katibu mkuu mnyika ametishwa jana asishiriki kikao...
  7. The Palm Beach

    Video interview: Huyu ndiye Tundu Lissu wa machozi, damu na jasho na misimamo ya haki

    https://www.youtube.com/live/vLdO-z31bOY?si=DxKCHlFGEDmG6wWD In brief: ➡NO REFORMS, NO ELECTION is there na CHADEMA is a proper channel to carry it forward... ➡Katika chaguzi za 2015 kurudi nyuma tuliweza kugombea na kushinda kwa sababu ingalau kulikuwa na competition japo mazingira yalikuwa...
  8. Metronidazole 400mg

    Siku wananchi wakiamua kutoka barabarani na kudai haki yao, ndiyo siku mambo mengi yatabadilika

    Tofauti na hapo mtaendelea kutukana/ kutukanana hapa JF na mitandao yote ya kijamii . Narudia tena, siku wa Tanzania wakiamua kusimamia haki ndio siku mapinduzi yatapatikana. Tofauti na hapo, CCM itashinda sana na kuna la kufanya
  9. K

    Mlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!

    Mlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!. Tuliwaambia wakati wa Magufuli na tunarudia tena. Kama kweli mnapenda viongozi na Tanzania wekeni mifumo ya haki bila hivyo Mungu atasafisha mwenyewe na kuondoa wale wote wasiopenda kutoa haki. Yule...
  10. S

    Kampeni ya No Reform No Elections iendane na kuyasihi mataifa yaliyoendela kuwawekea vikwazo viongozi wa Tanzania kwa ukiukwaji wa haki za wapinzani

    Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini. Kama ambavyo...
  11. DodomaTZ

    Jenista Mhagama: Dkt Mollel ni msaada mkubwa kwangu, anaitendea haki Sekta ya Afya

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amempongeza Naibu Waziri wake, Dkt. Godwin Mollel na kueleza kuwa anaitendea haki nafasi yake hiyo na amekuwa msaada mkubwa kwake. Amesema hayo Aprili 8, 2025 ambapo amekabidhi zawadi kwa mikoa, wilaya, vijiji na shule za msingi, sekondari na vyuo vikuu katika...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

    Wakuu Je, Mbowe yupo nyuma ya yanayoendelea kati ya wagombea na watiania wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa 2020 na 2025 maarufu G55 wanaowakilisha zaidi ya watiania 200, wakiwemo viongozi wa juu wa chama hicho dhidi ya uongozi wa sasa chini ya mwenyekiti wao Tundu...
  13. Jamiitrailer

    Iko hivi; no reform,no election ni hitaji la sisi wapiga kura wa vyama vyote kwa muda mrefu,tunashangaa watu wasiotaka usawa,uhuru na haki

    Habari wakuu Watu wengi wameandika kuhusu ajenda ya Chadema ya kutaka uwepo wa mabadiliko katika taratibu na sheria zinazosimamia chaguzi zetu kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Wengine wanaunga mkono ajenda ya Chadema,na wengine wanaunga mkono lakini wakisema hakuna muda wa kutosha kati ya sasa na...
  14. L

    China yaitikia vita ya ushuru ya Marekani ili kutetea haki

    Katika kipindi muhimu cha ufufuaji wa uchumi wa dunia, Marekani imetumia tena rungu la ushuru, ikiamua kutoza ushuru ambao inauita "sambamba" kwa washirika wake wote wa biashara duniani, ambapo ushuru wa bidhaa kutoka China utafika hadi 34%. Ikikabiliana na hatua hii ya kimabavu ya wazi, China...
  15. Yoda

    Haki za mteja wa chakula hotelini au mgahawani zikoje?

    Ikitokea umeagiza chakula hotelini au mgahawani halafu wakati ukiwa unakula hiko chakula ukakutana na nzi, mende au nywele kwenye hicho chakula ukikataa kulipia utakuwa sahihi?
  16. Knock life

    Mimi ningekuwa G55 maamuzi ambayo ningefanya ni haya ili kuhakikisha haki na ustawi wa Chadema na nchi unapatikana.

    Ningeanza na kurudisha hela nilizokula hata Kama zimebaki chache . Baada ya hapo ningekimbilia nje ya nchi. Ahsante
  17. Roving Journalist

    LHRC: Tukio la Emmanuel Lucas kuuawa kwa kupigwa risasi na Askari Magereza (Mara), uchunguzi ufanyike na Haki ipatikane

    Dar es Salaam, 02 Aprili 2025. Jana tarehe 01 Aprili 2025, LHRC ilipokea taarifa za kuuawa kwa mwananchi mmoja aitwae Emmanuel Lucas Mwenye umri wa miaka 18 mkazi wa Kijiji cha Kisangura Wilaya ya Serengeti mkoa wa Mara kilichosababishwa na askari wa Jeshi la Magereza Sijali William Hence na...
  18. H

    Nitasimama daima na "Waasisi wa Afrika waliotangulia mbele ya haki kwaajili ya Waafrika" na siyo kwaajili ya wakoloni

    Naanza kwa sara ya UAFRIKA: Ee Mungu, Mikononi mwako naweka Roho za WAAFRIKA WOTE. Nakushuru Mungu kwa baraka zote ulizotujalia WAFRIKA. Ee Mungu wa majeshi,nakushuru kwa wema wako umetulinda mpaka kufikia sasa WAAFRIKA tunaanza KUJITAMBUA ,tunasema Asante sana. Ee Mungu Baba nakuja tena...
  19. Just Pray

    Askofu Bagonza: Kupoteza mtu ni kutunza amani lakini kulalamika kuwa mtu amepotea ni kuvuruga amani

    Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) KUNA MAMBO HAYAKO SAWA Kuna mambo yanayotuunganisha wote bila kujali itikadi, dini, jinsia, kabila, hali ya mtu kiuchumi, ufupi au urefu wa mtu kama mimi. Haya yote yanaunganishwa na neno HAKI au kwa Kijaluo JUSTICE. Kuna mambo 10 hayako sawa...
  20. M

    MUFTI umeongea sana kuhusu Amani nchini lakini Bila kuzungumzia Haki usia wako unapwelea

    Ndugu Mufti Zubeir Kwa muda mrefu umezungumzia sana suala la amani nchini lakini huwa huzungumzii Haki, Pamoja na ujumbe wako wa amani hata hivyo kutokuzungumzia haki kunaufanya ujumbe wako upwelee. Dini ya Kiislamu inataka amani lakini inakataza dhulma. Mafundisho ya kiislamu yanasema kuwa...
Back
Top Bottom