Nimesikia watu wanasema Rais amechafukwa hebu acheni kuleta masihara anataka tutimize haki zetu kupiga kura afanye mabadiliko ya kiuchaguzi hakuna haki za mdomo pekee hayuko serious.
Hatuwezi kutimiza haki zetu kwa uchaguzi huu unaofanyika vile mtu mmoja anataka ufanyike hivi na sio watanzania...
Mama Samia anatakiwa kujiuliza kwanini 2021-2022 hali ilikuwa swari. Tatizo ni sera za ufisaji, ruhswa kuongezeka , utekaji kuongezeka na wizi wa kura 2024. Chadema ni wawakilishi tu lakini kuna mamilioni ya watu nyuma yao. Lakini sio chadema tu tena watu wote wanaona sasa viongozi wa dini...
Kenya inapaswa kuiwekea vikwazo mamlaka za Tanzania kutoingia nchini humo ili kushinikiza haki za kusafiri za wakenya nchini zinafatwa.
Kuna idadi kubwa sana ya wakenya wamezuiliwa kuingia nchini kwa sababu zisizo za kisheria ikiwemo viongozi wa juu kwa kenya hili haikubaliki hata kidogo.
Wewe ambao si muislamu fanya hima haraka sana ya kuingia kwenye dini ya kiislamu kwani ndiyo dini itakufanya upate kuiona pepo shime shime ndugu zangu tufanye haraka tuingie kwenye dini hii ya haki,dini ya kweli na dini isiyokuwa na ubabaishaji ili uje kuienjoy maisha baada ya kifo ndugu zangu...
Tutalazimisha mabadiliko yafanyike kwani huu uchaguzi sio wa samia wala wa nani, uchaguzi ni wa watanzania wote lazima tuongee lugha moja ndio uchaguzi ufanyike kwa haki hakuna haki kama mtu mmoja hajiamulie vitu kutoka chumbani kwamba uchaguzi uwe hivi au uwe vile bila wengine kutaka.
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amesema kuwa Chama hicho kinaamini katika kuonesha demokrasia kwa vitendo hivyo hakuna mtu yeyote ambaye ana hatimiliki ya kugombea ndani ya Chama.
Ndugu Ado amesema hayo kwenye tukio la Songwe Day lililowakutanisha watia nia wanaogombea nafasi za...
Kutekwa kwa Mdude: Kwa Nini Watanzania Tumesahau?
Wanajamii, ni aibu kubwa kwa taifa letu kuona jinsi suala la kutekwa kwa Kijana Mdude linavyofifia katika mioyo na akili za Watanzania! Hili si suala la mtu mmoja, wala la chama kimoja, bali ni pigo la moja kwa moja kwa haki, demokrasia, na utu...
Samia asitulazimishe uchaguzi wowote kama utakuwa wa haki basi tufanye mabadiliko kama hataki ni wazi uchaguzi ni wakitapeli.
Hatuwezi kushiriki uchaguzi ukawa wa haki ikiwa hata maamuzi ya uchaguzi ufanyike vipi umeegemea tu upande mmoja, kama ni haki na huru twende tukafanye mabadiliko kwa...
Msameheni msajiri wa vyama ya siasa hajafanya kwa kumaanisha kwa sasa hakuna usalama tena nchini.
Kama kungekuwa na utawala wa sheria na haki msajiri angekuwa huru kufanya maamuzi lakini kwa kuunganisha matukio ni wazi kuenguliwa kwa viongozi wa chama kama ilivyo kwenye kuwapa kesi za uhalifu...
Sasa!
Imeshakuwa kawaida, polisi wa kawaida tu Cheo Cha chini, utasikia amemkamata na kumweka ndani Makamo mwenyekiti wa chama Cha upinzani CDM,kwa sababu sizoeleweka,
Leo imeripotiwa kiongozi mkubwa wa chama CHADEMA ,Amani Golugwa kakamatwa na polisi airport, na imedaiwa kapigwa pia ,ukiuliza...
Tanzania Visiwani au Zanzibar ina ukubwa wa 2,462 km za maraba ikilinganishwa na Bara yenye ukubwa wa kilometa za mraba 944,841 ni sawa na 1/383.
Je ni haki kwa sehemu hizi kuwa na haki sawa? Je nani anamnyonya au kumtumia nani? Je nini kifanyike kutenda haki kulingana na ukubwa na mchango wa...
Soon naenda kubadilisha mawazo yangu aisee nimeamini uislamu ndiyo dini ya haki kuliko hizo imani zingine hizo na nimemtaarifu mke wangu,watoto wangu,ukoo wangu wote leo ndiyo mwisho wa kuwa na hii imani ya uongo na uzushi so jumatatu watu wote wa nyumbani na ukoo wangu tunaenda msikitini na...
Issue ya kutekwa kwa Mdude , Inaacha Alama katika vichwa vya watu wenye maono .
Ni kuwa Mbeya ni sehemu ya watu wenye uwezo mzuri wa kupigania haki.
Mpango mkakati wa mabadiliko. unabidi kulenga na kuwekeza sehemu zenye watu wanaojielewa na kujua nini wanataka
Issue ya Mdude haitopita hivi hivi.
Chadema chini ya Lisu wanatete maskini na kura zao kuheshimiwa pindi wanapopiga kura na mshindi aliyeshinda ndo atangazwe tofauti na sasa ambapo kura huwa zunapinduliwa aliyeshindwa na anatangazwa mshindi mfano Nape, gwajima, majaliwa nk walitangazwa bila kushinda
Kwahiyo hao wanaohama wanataka...
Hivi kuna mbunge huko amewahusisha JWTZ kwenye azimio lililotolewa na watu wa ulaya kuhamasisha mabadiliko ya haki nchini hebu naomba JamiiCheck mnisadie kupata majibu.
Yani mtu amekushauri wewe jambo zuri na jema halafu wewe unaanza sijui JWTZ hivi unakuwa na akili timamu kweli ?
Nimesikia...
Kumekuwa na madai ya ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar es Salaam. Madai haya yanahusu hatua za DDC kudai umiliki wa maeneo ambayo tayari yameendelezwa na wananchi kwa miaka mingi...
Kwamba kwa ajili ya haki tunabidi kuchagizwa kweli kweli na sasa kutokea nje ili Lissu awe huru, kina Mdude, Soka, Kipanya na wengine mlio nao kinyume cha ubinadamu wapatikane wakiwa hai?
Kwamba wenye kuhusika na kuyaridhia hayo ni ninyi, na mwaona mko sahihi, maisha yanaendelea ali mradi...
Mahakama ya Wilaya ya Lushoto, imemhukumu mwalimu wa Madrasa Abuubakar Hamis, mkazi wa eneo la Dule B lililopo Jimbo la Bumbuli wilayani humo, baada ya kukutwa na hatia ya Kumlawiti mara kwa mara Mtoto wa kaka yake wa kiume, ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la pili na kumsababishia athari kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.