Kumtukana rais aisaidii, kuna kijana sasa hivi anapigana hatima anandoto ya kuwa mtu wa maana halafu sasa hivi anaenda mtandaoni, akiona tu picha ya Rais Samia anamtukana akiwa tu kwenye simu yake, yeye akiamini kwamba kwenye simu yupo salama, hajui kwenye ulimwengu wa roho unarekodi kila kitu...