haki

  1. H

    JamiiForums Tanzania Apostle Mtalemwa: Tuna vijana foolish wasioweza kudai hata haki zao

    Mchungaji amesema kuwa hana neno na wazee, ana shida na vijana. Asema vijana wa nchi hii ni foolish, hawawezi hata kusoma katiba na kudai haki zao, vijana wanahongwa elfu 5, tshirt, nyama na wali, baiskeli, eti ndiyo wakapige kura. Vijana hawa ni foolish. Anasema neno la Mungu linasema vijana...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Madeleka: Uchaguzi unafanyika kwa haki, amani, uhuru na kuaminika

    Wakili Peter Madeleka amesema uchaguzi mkuu ni takwa la kikatiba linalofanyika kila baada ya miaka mitano, ambapo wananchi hupata nafasi ya kutumia mamlaka yao chini ya Ibara ya 8 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwaweka madarakani viongozi wanaowataka na kuwaondoa wasiowataka...
  3. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama uchaguzi ungekuwa Dec2021 Ulikuwa na uwezo wa kupata hata zaidi ya kura 60% za haki kabisa, leo ndani ya chama chako bila ya kujiteua usingetoboa

    Unatafuta nani wa kumlaumu ni wewe mwenyewe. Ni moja ya kiongozi uliingia madarakani ukiwa unapendwa na sifa kedekede, ila baadae ukituona mafala na kutuzunguka. Imekucost wewe,legacy yako, chama chako, familia yako na kila kitu chako. Wewe ni mmama na umezaa ila serikali yako ilivyohandle...
  4. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Nampenda Haki, Uhuru, Usawa na Uzalendo kusema ukweli ni mabinti wazuri. Nimewaza nimchague nani kati yao, Wazazi wanasema ninaweza kuoa wote

    Nimekuwa namuvitiwa na hawa mabinti wanne huku ughaibuni na nina mpango wa kurudi nyumbani na kuoa. Hao mabinti ni Haki, USawa, Uzalendo na Uhuru, nyie mnaita sijui pisi kali ni kweli ni mabinti wazuri na naamini watazalisha kizazi bora. Ila imekuwa ngumu sana kwangu nikiwaza inabidi nichague...
  5. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Dkt. Slaa amethibitisha kuwa CHADEMA Haikufanya uchaguzi huru na wa haki

  6. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Wife kaniomba anataka naye ashiriki kupania UHURU wa nchi, nimetoka kumwambia hiyo ni haki yake

    Nimefurahi mke wangu kachoma vitenge anaunga juhudi jambo la kiungwana na utu.
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakati unafikiria kupigania haki yako kwa wanasiasa wasiotutakia mema usiseme naogopa polisi kwanini polisi wasikuogope wewe

    Wakati unafikiria kupigania haki yako kwa wanasaiasa wasio tutakia mema usiseme naogopa polisi kwanini polisi wasikuogope wewe. Au polisi sio watu kama wewe, kama ni kupagania haki yako dhidi ya utawala mbovu haina majadala na haiwezi kuwa kosa la jinai. Watu mtakao andamana msifanye vurugu...
  8. Noel france

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lolote litakalonikuta Oktoba 29, 2025 waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta haki na uhuru

    Mimi 29/10/2025. Naomba mnizike pamoja na bendera ya Tanganyika. Kisha waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta HAKI na UHURU. Mimi Noel naahidi mbele yenu na pia nitakuwa tayari kufa ili mradi haki na uhuru inakuwa ni sehemu yetu salama. Ewe mwenyezi Mungu nisaidie. Amina
  9. S

    JamiiForums Tanzania Majaji wa Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu, wanatosha? Wanatenda haki?

    Kwa kusiliiza hoja za mawakili wa serikali na hoja za Lissu, majaji wa hii kesi kweli wanatenda haki kwa hii kesi kuendelea kuwepo mpaka muda huu? Kwa maneno mengine, majaji hawa wanatosha,? Labda niulize: Je, maamuzi ya Mahakama ya Rufaa kwa kesi za aina hii zilizotangulia, hayatoshi kufuta...
  10. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kwenye Kudai kwetu Haki Zetu tusiwaangalie USA kama mfano; Case in Point: The capitulation of the US media is not an aberration

    Mara nyingi tumekuwa tukiweka mifano ya USA kama ndio Target, lakini kwa wakati husika inabidi tupatumie kama what not to became; na upuuzi unaofanyika sasa unaweza kupelekea ionekane kama ni the norm, hivyo hata kama tumepotea sasa hivi kama target ni Current USA basi huenda ndio tutadumbukia...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Afrika wapongeza nafasi ya China katika kuendeleza haki ya maendeleo ya Afrika

    Wataalamu wa Afrika wamepongeza nafasi ya China katika kuendeleza haki ya maendeleo katika bara zima la Afrika, wakisisitiza namna inavyoheshimu njia ya kipekee ya maendeleo ya kila nchi. Hayo yameejiri wakati Semina ya Kwanza ya Haki za Binadamu kati ya China na Afrika ilifanyika Ijumaa huko...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Lissu yupo Gerezani kwa sababu anapigania haki

    Kada wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina amedai kuwa miongoni mwa sababu zilizopelekea 'misukosuko ya kisheria' kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ni kwakuwa anapigania haki, demokrasia na ulinzi wa raslimali za Taifa Akizungumza na wanahabari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi akemea vurugu za polisi mahakamani, asema ni shambulio dhidi ya haki

    Rais wa Chama cha Wanasheria nchini Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, ametoa tamko kali akilaani kitendo cha polisi kuwashambulia raia na Wakili Mahinyila ndani ya viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam. Amesema, “Shambulio lolote dhidi ya wanasheria ndani ya eneo la Mahakama ni...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mi ni mnyonge? Sielewi. Ninyonge ninyongeni haki yangu nipeni

    Nachanganyikiwa mnyonge ni mtu wa aina gani? Mgonjwa ama maskini? Kama mnyonge ni mgonjwa sasa hawa wagombea wanaojiita wanyonge tunachaguaje wagonjwa wasio na nguvu watutumikie? Watapata wapi nguvu ya kututumikia? na Taifa litaendeleaje? Kama mnyonge ni maskini kama mimi niambiwe maana...
  15. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Hatua ya Kusitishwa kwa JamiiForums: Uchambuzi wa Kisheria na Haki za Wananchi

    Disclaimer: Uzi huu umeandaliwa kwa madhumuni ya kutoa elimu na kuibua mjadala wa kitaalamu na kiraia kuhusu uamuzi wa TCRA dhidi ya JamiiForums. Yalichopishwa hapa hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri rasmi wa kisheria, bali ni uchambuzi wa kisheria na kikatiba kwa lengo la kuelimisha na kujadili...
  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kati ya haki na amani kipi ni muhimu zaidi na kipi hutangulia kingine?

    Naomba niwaulize hasa viongozi wa dini wa kiislamu na kikristo kati ya hayo mawili kipi huanza ili kingine kifwate. Mfano. Mtu anaiba kura ukikemea unaitwa mchochezi Yani mwizi wa kura anakuwa na haki kuliko yule anayefichua wizi. Ndani ya jamii kuna utekaji na mauwaji ya raia holela...
  17. hmaloh

    JamiiForums Tanzania Oktoba tunatiki challenge target 5k replies

    Haya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa watu mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie
  18. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba heshimu mashabiki, kutoa maoni ni haki ya kikatiba

    Kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 18, Freedom of expession is an absolute right.Absolute right maana yake kwa wanasheria ni kuwa ni haki ambayo huwezi kuipoka kwa namna yoyote ile, you cannot abrogate freedom of expression.Hii haki ya kikatiba...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kinabo: Kuna dalili za uchaguzi kuwa na haki

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, leo Septemba 2, 2025, akiwa kwenye mkutano wa kampeni katika Kata ya Saranga, amewahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura akibainisha kuwa dalili za uchaguzi huru na wa haki zinaonekana...
  20. chamilo nicolous

    JamiiForums Tanzania CCM mkubali tu:- Ukweli, Haki na Uhuru lazima vitafutwe

    Kwa sasa nchi ipo kwenye sitofahamu, Kila kiongozi anajinasibu yuko sahihi, swali wanataka kutupeleka wapi, tuko wapi na tunaelekea wapi? 1; Nikimuuliza comrade Kikwete nani ametufikisha hapa atajibu nini?? 2: Nikimuuliza Mh Samia tuko wapi na unataka kutupeleka wapi je utakuwa na jibu!! 3: Hoja...
Back
Top Bottom