haki

  1. CCM na Ukatili wa Kimfumo: Taifa Linalozama Katika Giza la Haki Kukanyagwa, Raia Kudhalilishwa na Demokrasia Kugeuzwa Kichekesho

    TUMECHOKA! Kwa herufi kubwa kabisa. Tumechoka kunyanyaswa, tumechoka kuonewa, tumechoka kuishi kama watumwa kwenye nchi yetu wenyewe ilhali tunaambiwa tuna Uhuru wa kuishi, kuongea, na kuamua. Kwani ninyi wa CCM, mko made of what? Si ni binadamu kama sisi? Au damu yenu ni dhahabu na yetu ni...
  2. R

    Raia wa Liberia waandamana wakidai Haki, Ajira na uwajibikaji kutoka kwa Serikali yao ya Rais Joseph Boakai

    Mamia ya raia wa Liberia waliandamana jijini Monrovia wakiongozwa na kiongozi wa upinzani Mulbah Morlu, Wakitaka serikali ya Rais Joseph Boakai kuwajibika kwa ahadi za kampeni na maisha bora waliyohahidiwa tangu alipoingia madarakani mwaka jana Waandamanaji walilalamikia kupoteza ajira...
  3. PreGE2025 ACT yalalamikia utaratibu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar unawakosesha Wananchi wengi haki ya kupiga kura

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ACT-Wazalendo, tumeshangazwa na kushtushwa na Ujumbe mfupi wa SMS, kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ambao wanatumiwa wananchi, kufika katika Ofisi za Uchaguzi za Wilaya kuchukua Vitambulisho vyao vya kupiga kura (Vote I'd), kuanzia tarehe 17/07/2025, katika Siku na...
  4. Watibeli tunaapa kwa Mungu pekee na haki; hatunaga kiapo kingine. Ukifuata Haki tutakulinda na kukutetea.

    Habari za Ijumaa! Moja ya vitu vinavyotutofautisha Watibeli na watu wengine ni pamoja na hili. Sisi hatunaga cha mzazi. Hatunaga cha Mke/mume Hakunaga cha Mtoto Hatunaga cha Sijui Boss, sijui Mkurugenzi. Hatunaga cha sijui Rais, sijui Rais, sijui Waziri. Hatunaga cha Sijui kamanda wa jeshi...
  5. M

    Dira 2050 na demokrasia, haki na uhuru

    Hii ni moja ya Misingi Mitano inayoongoza kwenye Dira 2025. Kila mtu afurahie uhuru, ulinzi wa Maisha yake na haki zote za msingi zilizowekwa kikatiba, zinazosimamiwa na mahakama zilizo huru, zinazozingatia makundi yote ya Jamii wakiwemo wanawake, vijana, watu wenye ulemavu na wazee.
  6. Dira ya taifa ya maendeleo 2050 bila Haki, Demokrasia na Katiba mpya ni uchafu mtupu

    Haijarishi tutakuwa na mipango ya namna gani au dira ya namna gani, kama mifumo ya nchi yetu itaendelea kuminya haki za watu, kuua Demokrasia na kuwepo kwa katiba hii ya sasa ambayo ni mbovu kupita maelezo, dira ya maendeleo ya taifa ya 2050 itabakia kuwa ni UCHAFU mtupu. Watanzania wa sasa...
  7. Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia

    Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia kujiuzulu kwake hivi karibuni. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo Julai 16, 2025 , Kombo alieleza kushangazwa na kauli za Polepole...
  8. R

    Polepole popote ulipo nikuulize swali: Ukiteuliwa say, kuwa Waziri Mkuu, uta decline uteuzi kuwa huwezi kuwa sehemu ya mfumo wa kutotenda haki?

    Tunakujua toka ukiwa katika Tume ya Katiba na kabla ya hapo kuwa MTETEZI MKUBWA WA HAKI. Baadaye ukaja kwa Magufuli ukawa sehemu ya KUZIMA HAKI /DHULUMA YA HAKI...... Magufuli kafa, ukakosa CHEO ULICHOKITEGEMEA, UKAANZISHA DARASA LA SIASA. Ukateuliwa kuwa balozi....ukaenda, ukabadilishwa...
  9. Rostam: Kisutu, viongozi wakipiga simu hupati haki

    Leo nawiwa kutoa ushauri kwa watanzania wenzangu kuhusu hali ya utoaji haki nchini. Kwakuwa jambo lenyewe ni nyeti na lina uzito wa kipekee nitajenga maoni yangu kupitia kauli ya Ndugu Rostam Aziz, Mbunge wa Igunga 1994-2011, Katibu uchumi na fedha CCM 2005-2007, na Mjumbe wa kamati kuu CCM...
  10. GE2025 Kumbukizi: Balozi pole pole; "uchaguzi ukiwa huru na haki CCM ijiandae kukabidhi ikulu"

    Wasalaam. Kujiuzulu ubalozi kwa aliekua balozi wa Tanzania nchini Cuba hakujaja kwa bahati mbaya, kwani ni mara kadhaa hapo nyuma mzalendo huyu amekua akikionya chama chake ccm juu ya kuheshimu misingi ya democrasia na utawala bora. Lakini CCM ni kama sikio la kufa halisikii dawa kiasi wenye...
  11. Matendo ya ukiukwaji wa haki za binadamu yanafanya watu wawachukie sana watu wanaojipendekeza kwa watu dhalimu. Mrisho Mpoto kapatwa na ujumbe mzito

    Ona alichojibiwa CHAWA kindakindaki Mrisho Mpoto
  12. Waziri Kombo akutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika, Mhe. Janet Sallah-Njie (kulia).....

    Pembezoni mwa Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kikanda jijini Malabo, Equatorial Guinea Julai 13, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za...
  13. GE2025 Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama: Hakikisha Uchaguzi wa mwaka huu unakuacha bila ngeu. Usibaki na ulemavu au kesi mahakamani kisa Uchaguzi

    Wakuu, Akizungumza jana Julai 12, 2025 kwenye kongamano kubwa la vijana lililofanyika Viwanja vya Kanisa Kuu la KKKT Usa River Arusha, Mchungaji Kimaro amesema kuwa vijana wahakikishe kwamba Uchaguzi wa mwaka huu hauwaachi wakiwa walemavu au wakiwa na kesi mahakamani Hakikisha Uchaguzi wa...
  14. Mfumo wa Uteuzi wa Wabunge ndani ya CCM unatoa changamoto kubwa, Rushwa na hauna haki katika kujenga demokrasia ya kweli nchini Tanzania

    Katika mfumo wa siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina nafasi muhimu katika mchakato wa uteuzi wa wabunge. Mfumo huu unatoa picha ya jinsi siasa za nchi zinavyoweza kuathiriwa na muundo wa chama, hasa katika muktadha wa uwakilishi wa wananchi. Katika mchakato huu, kamati za siasa za...
  15. PreGE2025 Vyombo vya Dola, Mna uhakika Samia hatoendelea kuwaingiza kwenye mtego wa matumizi ya Nguvu na Uvunjifu wa Haki za Raia?

    Hili Swali nililiuliza Punde tu Samia alipojiteua kua Mgombea !!. ( Unajua Mtego anaowaingiza Samia, utawafanya Vyombo Dola mnuke Damu za watu, matokeo yake mtajikuta mko Blackmailed, in turn mtajikuta nanyinyi mmeamua kutumia Mbinu za Uovu ili kuendelea kubakia Madarakani, mkiogopa kuchukuliwa...
  16. R

    Kutenda haki kwa Mahakama: Ni kuifumua Mahakama Kuu na mahakaka za chini na kuweka utaratibu usio mhusisha Rais kabisa katika kuwasaili/kuwaajili.

    Kwa kufanya hivyo watakuwa independent kutenda haki! AS long as wanateuliwa na Rais, basi lazima wampendelee incumbent president katika kila kitu. Tunaona wa sasa wanavyofanya katika kesi za Lisu! shida ni hawa majaji wa HIGH COURT.....Universal High Court Judges (UHICOJU).........TAKE NOTE...
  17. GE2025 Wenyeji wa Mikoa ya Kaskazini Wana Haki ya Kuongoza Majimbo Yao

    Majimbo ya uchaguzi katika mikoa ya Kaskazini yanapaswa kuongozwa na watu waliowazaliwa au waliokulia katika maeneo hayo. Itakuwa ni dharau kwa wananchi wa mikoa hii iwapo watu wa nje – wasiokuwa na mizizi wala historia ya eneo – watateuliwa au kupitishwa kugombea nafasi za uongozi kwa kigezo...
  18. M

    No reforms no election, Tanzania simama kwanza, haki za watumishi wa umma na taasisi zote za kiraia zinahitaji REFORMS!

    Hata kama hatukubaliani sana juu ya kwa nini kunahitajika REFORMS hasa kwenye nyanja za kisiasa Lakini leo embu yatufikirishe haya yafuatayo Wabunge wetu wakikaa bungeni miaka mitano tu, Kiinua mgongo chao ni 400M, hapo hakuna cha aliye na shule na asiye na shule wote watalipwa mkwanja sawa...
  19. EU yaisifu TANZANIA kuwa kielelezo cha amani na kuitakia uchaguzi huru na wa Haki

    Hayo yamesemwa na Mjumbe wa EU na makamu wa Rais wa EU na muwakilishi mkuu wa Sera za kigeni na masuala ya Usalama aliyekuwa na ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) umeisifu Tanzania kwa kudumisha hadhi yake kama kielelezo cha amani katika eneo la Afrika Mashariki...
  20. M

    Haki itacheleweshwa tu lakini itapatikana

    Zimebaki siku kadhaa kuelekea kutafuta HAKI. Bila shaka muda huu upande wa mashtaka wanapanga namna ya kupeleka maombi ya kupeleka mbele kesi. Wanafanya hivyo kwa sababu waendesha mashtaka hawana ubavu wa kukataa maombi yao, isipokuwa wana ubavu wa kukataa maombi yote ya mshtakiwa. Rai yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…