Watanzania wanalia. Uchungu umefika kilele. Wale waliotoka majumbani kwao kwa amani, wakiwa na matumaini ya kutumia haki yao ya kikatiba ya kukusanyika na kutoa maoni, leo wametoweka katika kaburi la ukimya. Wameuawa kwa risasi, kwa mabavu, kwa amri za dola iliyopaswa kuwalinda.
Ni aibu ya...
Nashangaa watu wanalamika mbona vyombo vya habari na watu wengine wapo kimya na wakati kitendo kilichofanyika ni uhalifu.
1. Kuchoma vituo na mabasi ya mwendokasi ambayo hata wewe unayatumia shame on you.
2. Kuchoma sheli za mafuta wakati wewe binafsi unazitumia shame
3. Kuvunja na kuiba...
Wanabodi,
Tanzania tuna changamoto kubwa sana ya kutafsiri sheria, kuna tofauti kubwa kati ya uhalali wa kisheria na haki ni vitu viwili tofauti.
Mimi japo ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, ila sio wakili wa...
Maandamano ya tarehe 29/10/2025 yalienda kinyume cha matarajio ila kuna upande yamefanikiwa. Sitaenda ndani sana kwenye uchambuzi huo kwa sasa ili naomba nielezee nini kifanyike kuanzia sasa ili nafasi nyingine ikipatikana iwe bora zaidi.
1. Ni muhimu kuwa na viongozi on the ground. Hawa...
Godbless Lema anaandika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X,
Mlisali, mkafunga na mkamwomba Mungu kwa dua na machozi. Maombi yenu yamefika mbinguni. Mnafikiri haya mauaji na mateso ya watoto wenu ndiyo majibu kutoka kwa Mungu? Hapana. Msihofu. Mungu yupo, na bado anafanya kazi yake kwa...
Huyu rais wa Zambia aliyeingia madarakani kama mwanademokrasia wa mfano kwa nini sasa hivi amebadilika sana na kuwa mtu asiyejali tena demokrasia wala haki?!
Kuna wakati alikataa hata kwenda kwenye uapisho wa Mugabe kwa sababu uchaguzi uliibwa na haukuwa wa demokrasia ila kwa sasa anawaona...
Oktoba 31, 2025
Tumeshtushwa na vifo na majeraha yaliyotokea katika maandamano yanayoendelea yanayohusu uchaguzi nchini Tanzania.
Ripoti za kuaminika tulizopokea zinaonyesha kuwa angalau watu 10 waliuawa Dar es Salaam, Shinyanga na Morogoro wakati vikosi vya usalama vilitumia silaha za moto na...
Elections in Tanzania were neither free nor fair
October 30, 2025
In a joint statement on general elections held on 29 October in Tanzania, leading MEPs urge all democratic partners to stand firm in defence of democracy and human rights.
“As Tanzanians went to the polls today, the...
Hii ndiyo inapaswa kuwa way-foward itakayowatuliza wananchi:
1. Jeshi linapaswa lifute uchaguzi huu usio na relevance.
2. INEC ivunjwe na iundwe tume mpya shirikishi kutoka vyma vyote vya siasa.
3. Wanasiasa wote walioko mahabusu waachiwe hasa wa CHADEMA.
4. Uchaguzi mpya utangazwe ndani ya...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda ameshiriki zoezi la kupiga kura leo tarehe 29.10.2025 jijini Dar es Salaam.
Baada ya kumaliza zoezi hilo amesema "Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania katika...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo (video clip) inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikisema "Wamasai waanza maandamano kudai haki zao Arusha".
Ukweli ni kwamba picha hiyo mjongeo ilikuwa ni wakati wa sherehe za jando/tohara mwezi Juni 2025...
Ndugu Raia wa Afrika Mashariki,
Tunasimama hapa tukiwa na wasifu wa utambulisho halali kama Raia wa Afrika Mashariki, tukiwa tunasukumwa na ukweli kwamba Jumuiya ni yetu sote.
Tunaendelea kushuhudia ukiukwaji wa haki za binadamu na uharibifu wa demokrasia katika eneo lote, na kama raia wa...
WATIBELI TUPO UPANDE WA HAKI. KAMA UNAPIGANIA HAKI SISI TUPO UPANDE WAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Hatuwi upande wako kwa sababu wewe ni mchungaji, au sheikhe, au Rais, au Mkuu wa majeshi, au waziri, au mbunge,au kaka au dada au Mzazi au mtoto. Hapana!
2. Kama upo upande wa haki...
Kauli thabiti:
“Tulipita nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi kwenye rasimu niliyoiongoza mimi mwenyewe rasimu ya Warioba, wananchi wakatoa maoni yao ila serikali ikawapuuza, wananchi walilalamikia sana Tume ya uchaguzi kwamba haitendi haki wakatoa mapendekezo yao mkawaona wajinga, mkiwaona...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema moja ya sharti la haki za binadamu ni kutowazuia wengine kupata haki yao ya kikatiba ikiwemo kupiga kura kuchagua viongozi na watakaodanya hivyo hawatavumiliwa.
Amesema CCM inaheshimu haki za binadamu, lakini...
INSPEKTA WA POLISI AMWAGA MAZITO YA KUHAKIKISHIA RAIA USALAMA NA USHIRIKIANO OKTOBA 29
Hello, important plz.
Mimi ni police rank ya inspector, naomba nikujuze kwamba tumeshajipanga vizuri kuikomboa nchi, wa Tanzania wasiogope kutoka ndani na wala wasiogope hayo magari hivyo ni vitisho tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.