Kwa dunia ya leo ya miaka ya hivi karibuni, wanawake vitu vingi wanafanya kama wanavyofanya fanya wanaume.
Wanawake wengi siku hizi wanafanya vitu vingi kwa ajili ya kuwakomoa wanaume
Unakuta mwanaume kachepuka na mwanamke naye anataka kuchepuka
Hata kazi pia kuna kazi zingine ni za kiume...
Credit to Hilda Newton (X)
1960, polisi wa Makaburu katika kitongoji cha weusi cha Sharpville nchini Afrika Kusini walifyatua risasi kwa umati wa watu wasio na silaha waliokuwa wakiandamana kwa amani kupinga sheria kandamizi na kuua watu 69 na kujeruhi 186.
Serikali ya Makaburu ilidai kuwa...
Inamaana jf bado imefungiwa na haijui nani ameendeleza kufungia kwani data zinaonesha ni nani kama sio mamlaka haramu isiyo heshimu haki za watu.
Hali hii sio solution na haivumiliki nchi imevamiwa na matapeli na wapumbavu hii.
Tunaleta kilio chetu kwa Serikali na Mamlaka husika kwa kuwa watendaji wa huko wameshindwa kutusikiliza. Wakuu wa Idara kutoka Kurugenzi ya Uuguzi, wamekuwa na tabia ya kujiweka kwenye posho za NHIF na IPPM.
Mgao wanaopata wao ni mkubwa kuliko watoa huduma waliohudumia wagonjwa. Ili hali kwa...
Anonymous (9a81)
Thread
afya
dawa
haki
muhimbili
wahudumu
wahudumu wa afya
wauguzi
Niwasalimu watu wa ukumbi huu,
Kwanza niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu ,hapa nataka kuongelea kuhusu kitu kinaitwa ''haki''. Je ,dunia ya leo kuna haki na watu wanaweza kudai haki.
Kabla ya yote tutambua neno haki lina maana pana sana ,unaweza kusema ''ni kitu chochote / jambo...
Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu?
Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki...
Wananchi wanayo haki ya kumpindua samia wanapo kunyima kazi unatakiwa hujiuzuru hii ni nchi ya kidemokrasia wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho.
Wananchi ndio wanauwezo wa kumpa kazi mtu yoyote awe rais na ndio wana uwezo wa kutengua raisi sasa kama wakimkataa ataongoza wakina nani ?
D25...
Mapinduzi ni suala dogo kuliko mauwaji na utekaji unaofanywa na anayeuwa na kuteka amestahili mapinduzi ni haki yake hatutokuwa kitu kimoja.
Na amestahili kwasababu ni mpumbavu na anahatarisha maisha ya kila mmoja wetu ni mwehu mapinduzi yatakuwa mwokozi wa uhai wa watanzania dhidi ya wapumbavu...
Kuna watu wengi wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kuhubiri amani bila hata kutaja tu neno haki. Kwa maoni yangu, hawa wameshindwa kutumia muda wao wisely. Wanapaswa wawekeze zaidi katika kuhubiri haki, kwasababu haki ikitamalaki amani itapatikana automatically, more or less.
Analogically...
Sheikh Sharif Firdausi ambaye ni kijana wa Ostadhi mazinge wakishirikiana na MASHEIKH wale machawa wamesoma albadir kwa wanaharakati wote akiwepo Mange kimambi, Maria SARUNGI na wote wanaotetea haki.
Vitendo kama hivi vya kishirikina hutasikia vikikemewa popote pale,
Zaidi utasikia Uislamu...
Tuliwambia hawa wazalendo wa Africa waliopewa jina "waasi" sio kweli kama tunavyoaminishwa
Sisi tunaona huruma kuwa waasi wameteka mitaa, kumbe wananchi wa Congo DR ndo wanafanya sherehe asubuhi na jioni
Hii ni ajabu
Tukumbuke mapema wiki hii wazalendo wa M23 walitwaa mji wa Uvra Kwa...
Wako tayari wakuue wanapokusikia unataka haki. Wao wanaamini Amani ndio kila kitu lakini si kukupa HAKI.
Wanalinda AMANI kwa kuua hata raia ambao hawataki viongozi wabaya. Wanalinda AMANI kwa kufukuza au kuhamisha wafanyakazi wanaopinga upigaji ndani ya miradi ya maendeleo. Wako radhi WAUE mji...
Wengi wanawalaumu bure watawala wetu kwa kusisitiza amani bila haki.
Wanawalaumu watawala bure kwa kushindwa kutatua matatizo ya kijamii kama vile upatikanaji wa maji.
Wanawalaumu kwa kutunyima haki lakini wakatupa amani huku tukisota na wao wakiishi kwa amani.
Tunababana kwenye misururu...
Mchungaji wa kanisa la Redeemed Assemblies of God Tanzania RAGT Patrick Seif Kigava, amekosoa hatua za kufungwa hadi kufunguliwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima chini ya Askofu wake mkuu Mchungaji Dr. Josephat Gwajima akisema kufungwa kwa kanisa hilo hakukuwa kwa haki.
Ninatambua elimu UNGA UNGA mlizo nazo wanahabari mliopo IKULU,
Natambua wanahabari na elimu zenu UNGA ungamliopo kwenye mawizara mbalimbali ndio Maana Gereshoni aliisha wataka mseme yanayofanywa na mawaziri lakini hamsemi, hii ni inshara hamuwapendi mawaziri wenu ndio maana hamasemi...
Chunguza kuanzia Jf , X , IG na kwengineko ni watu ambao hawana uvumilivu na lugha nzuri katika majadiliano una weza ukaandika mada mtu anakuja na matusi moja kwa moja sasa usiombee mpishane mitizamo katika hoja unaambulia matusi au wanakublock.
Mimi binafsi naona mtu anayekimbilia matusi kwa...
ULIWAHI KUJIULIZA NINI KITATOKEA WANAHARAKATI NA WAPIGANIA HAKI WAKIUNGANA NA WATAWALA?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Wanaharakati na wapigania Haki wanafanana kwa mambo mengi Sana na Watawala. Tofauti iliyopo ni upande tuu.
2. Ni kama Shetani na Malaika. Wanafanana karibu Kila kitu...
Mpo Salama!
1. Kuna baadhi ya Kada kama Kada ya afya wanatakiwa kuwa na Leseni.
2. Kuna waomba ajira zaidi ya mmoja walinitumia ujumbe ili niufikishe huku wakiomba Msaada wa serikali katika changamoto ya kuomba ajira kupitia mfumo wa Ajira portal
3. Vijana hao wote ni Clinical Officers ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.