haki

  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Heri tukose haki, hewa, na maji lakini tuwe na amani

    Wengi wanawalaumu bure watawala wetu kwa kusisitiza amani bila haki. Wanawalaumu watawala bure kwa kushindwa kutatua matatizo ya kijamii kama vile upatikanaji wa maji. Wanawalaumu kwa kutunyima haki lakini wakatupa amani huku tukisota na wao wakiishi kwa amani. Tunababana kwenye misururu...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Patrick Kigava: Suala la ufungwaji wa kanisa la Ufufuo na uzima halikutenda haki

    Mchungaji wa kanisa la Redeemed Assemblies of God Tanzania RAGT Patrick Seif Kigava, amekosoa hatua za kufungwa hadi kufunguliwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima chini ya Askofu wake mkuu Mchungaji Dr. Josephat Gwajima akisema kufungwa kwa kanisa hilo hakukuwa kwa haki.
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wanahabari IKULU mtendeeni haki Rais Samia, hata kama hampendi, si anawalipa vizuri?

    Ninatambua elimu UNGA UNGA mlizo nazo wanahabari mliopo IKULU, Natambua wanahabari na elimu zenu UNGA ungamliopo kwenye mawizara mbalimbali ndio Maana Gereshoni aliisha wataka mseme yanayofanywa na mawaziri lakini hamsemi, hii ni inshara hamuwapendi mawaziri wenu ndio maana hamasemi...
  4. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapambania haki Mitandaoni wana lugha Kali sana na matusi kwa wengine?

    Chunguza kuanzia Jf , X , IG na kwengineko ni watu ambao hawana uvumilivu na lugha nzuri katika majadiliano una weza ukaandika mada mtu anakuja na matusi moja kwa moja sasa usiombee mpishane mitizamo katika hoja unaambulia matusi au wanakublock. Mimi binafsi naona mtu anayekimbilia matusi kwa...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 (KUMBUKIZI) Jenista Mhagama: Katiba mpya na Tume ya Uchaguzi, Kutokutenda Haki sio maeneo ya kipaumbele kwa Watanzania

    Ukiona mtu anadharau, anashusha na kudogosha umuhimu wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, ni mwana mtandao! si sehemu ya kilio cha wananchi.
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kujiuliza nini kitatokea wanaharakati na wapigania Haki wakiungana na watawala?

    ULIWAHI KUJIULIZA NINI KITATOKEA WANAHARAKATI NA WAPIGANIA HAKI WAKIUNGANA NA WATAWALA? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Wanaharakati na wapigania Haki wanafanana kwa mambo mengi Sana na Watawala. Tofauti iliyopo ni upande tuu. 2. Ni kama Shetani na Malaika. Wanafanana karibu Kila kitu...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali: Utumishi wasizuie vijana wanaoomba ajira kwenda kwenye usaili kisa hawajalipia leseni, hiyo sio Haki

    Mpo Salama! 1. Kuna baadhi ya Kada kama Kada ya afya wanatakiwa kuwa na Leseni. 2. Kuna waomba ajira zaidi ya mmoja walinitumia ujumbe ili niufikishe huku wakiomba Msaada wa serikali katika changamoto ya kuomba ajira kupitia mfumo wa Ajira portal 3. Vijana hao wote ni Clinical Officers ambao...
  8. Pakome

    JamiiForums Tanzania Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki

    Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki Ni nani asiyejua kuwa bara la Ulaya ndilo lililoitesa sana Afrika enzi za Ukoloni Waafrika waliuzwa kama njugu Fedha walizouzwa Waafrika...
  9. themanhimself176

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uhalisia wa mitandao Tanzania: Namna 'Jeshi la amani kwanza' linavyozima hoja za haki

    Katika miaka ya karibuni, Tanzania imeingia kwenye zama mpya ambako mitandao imekuwa uwanja mkuu wa siasa. Na kadri wananchi wanavyozidi kuuliza maswali kuhusu uhuru, gharama za maisha, ajira, rushwa, na usimamizi wa rasilimali—ndivyo kundi fulani la “walinzi wa amani” linavyozidi kuonekana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njia za kudai haki kutoka kwa watawala zipo nne(4) kati ya hizo mbili (2) ndio pekee tu

    Wajumbe sina mengi moja kwa moja kwenye mada 1.Maandamano ya amani yasiyo koma ambayo mpaka sasa haya wezekani ,kwa kuwa JESHI LA WANANCHI, JESHI LA POLISI NA USALAMA WA TAIFA hawapo upande wa haki .Wapo kumlinda mtawala. Kufanikiwa katika hili ni asilimia ndogo sana 2.Jeshi la wananchi (jwtz)...
  11. G

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hakunaga Ukombozi wa siku Moja, kupoteza pambano sio kushindwa vita. Leo wao wameandamana barabarani badala ya kambini

    Ukisoma historia za ukombozi hazikuwa za siku Moja Wala mwaka mmoja. Sina haja kutoa mifano Iko wazi hata uhuru wa Tanganyika haukutafutwa siku Moja . Jambo Moja watawala wanapaswa wajue huwezi kushindana na wananchi wako mwenyewe ukawashinda. Leo Majeshi yote yamejikuta yanaandamana dhidi ya...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wakina mama, kesho ni siku yenu ya kudai haki juu ya dhuluma na ukatili uliofanywa kwa watoto wenu

    Hii sio vita ya vijana peke yao, tarehe 29 waliopitia mateso zaidi ni nyie kina Mama ambao uhai na ndoto za watoto wenu ulikwapuliwa kwa ukatili mkubwa sana. Ukatili huu ukiongozwa na mwanamke mwenzenu D9 ni siku yenu ya kupigania damu ya watoto wenu iliyomwagika mbele ya macho yenu wakipania...
  13. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Tuwaenzi na kuwakumbuka wanaJamiiForums waliotangulia mbele za haki

    Ndugu zangu wana JF tuwakumbuke na kuwaenzi members wote walio tangulia mbele za haki, wapo members wengi sana waliofariki sisi bila kujua chochote, tusichoke kujuliana hali, ukiona member mwenzako yupo kimya usisite kumtafuta na kumjulia hali ,ukikaa kimya pengine usikute ameshafariki bila sisi...
  14. Mafia Island Boy

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuzimwa kwa Intaneti wakati wa uchaguzi wa 2025, kuliumiza wengi, haki ya kupata taarifa iliminywa

    Tarehe 29 Oktoba 2025, Tanzania iliingia kizani kimawasiliano baada ya Mamlaka kuzima Mtandao wa intaneti (internet), upande wa pili Serikali ikidai kufanya hivyo kumeweza kuwadhibiti waandamanaji kuhamasishana kuandamana. Kuzimwa kwa Mtandao kulisababisha madhara mengi kwa Wananchi ikiwa...
  15. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwa macho ya kawaida utaona ni haki inagombaniwa, ila kwa taarifa za uhakika kinachopikwa ni Tanzania kuwa Congo ya pili

    CCM imekuwa chama imara sana katika kupigania nchi hii, toka 1961 msimamo wake haujawahi kupinda kutetea maslahi ya wananchi wake, kwa nje utaona ni vita ya kugombania haki ila kuna watu waliisubiri sana hii siku waonyeshe rangi zao halisi, Kinachoendelea ni vita kubwa ya kiuchumi...
  16. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 THRDC: Maridhiano yafanyike katika njia za ukweli, haki na uwajibikaji

    Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, ametoa wito kwa taifa kuanzisha mapema mchakato wa maridhiano na uponyaji baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu yaliyotokea kuanzia Oktoba 29 na siku zilizofuatia. Kwa mujibu wa Wakili...
  17. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Vijana Tumechoka Nonsense, Tunataka Haki Sasa!

    Sisi kama vijana tumevumilia changamoto hii kwa muda mrefu sana. Tumekuwa tukinyamaza, tukifanya kazi, tukijaribu kusukuma maisha, lakini kwa kweli mambo yamezidi kupindukia. Tumefikiria sana, tumeumizwa, tumelia kimya kimya, tumefanya kila juhudi iwezekanavyo—na sasa tumefikia hatua ya kusema...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania NGOs 30 za kimataifa zimeliandikia Baraza la Haki za Binadamu UN kuitisha kikao Maalumu kuzungumzia hali inayoendelea Tanzania

    Kufuatia matukio ya kikatili yaliyofanywa na mamlaka ya Tanzania kwa maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi wa rais na wabunge wa tarehe 29 Oktoba 2025, mashirika ya kiraia yanaitaka jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua ili kuzuia unyanyasaji zaidi. Katika barua iliyotolewa leo, mashirika 30...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nani wanaoharibu nchi kati ya utawala wa CCM na vijana wanaodai haki na uwajibikaji?

    Ni kujitoa ufahamu na kukosa akili viongozi wa CCM, watawala, BAKWATA na machawa wao wengine wengi kupayukapayuka kwamba vijana wanaharibu wanaharibu nchi na kufuata mkumbo tu kwa kurubuniwa katika harakati zao za kudai haki, kupinga dhuluma na kutaka uwajibikaji. Wanaoharibu nchi hii ni CCM na...
Back
Top Bottom