haki

  1. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kudai Mamlaka yote hutoka kwa Mungu huku ukiua wadai haki na kutesa wananchi ni chukizo mbele ya Mungu

    Katika historia ya mataifa mengi, hakuna kitu chenye maumivu makali kama kupoteza roho za watu wasio na hatia wanaodai tu kile kilicho haki yao ya kimsingi. Wale wanaolinda maslahi ya wote wanapogeuka kuwa chanzo cha mateso, damu isiyo na hatia inapomwagika, na ukiri wa kuhusika unapotolewa bila...
  2. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Haki, sii vitisho: Maendeleo ya Taifa yayajengwi kwa kutishiana

    Ni dhahiri kuwa taifa letu linapitia kipindi kigumu, ambapo hali ya kisiasa inaendelea kuwa tete na raia wanahitaji kupewa haki zao, si vitisho au hofu. Rais wa Mchogo anaposhindwa kuelewa kwamba wananchi wanadai haki ya msingi ya kuishi kwa amani, maendeleo, na usawa, anaendelea kuathiri zaidi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mzee unapokwenda kumsikiliza mtu aliyedhulumu uchaguzi, je ni haki?

    Tunaishi katika dunia iliyojaa unafiki na kila aina ya mabaya, yaani kweli hawa wanaojiita wazee hawajui kama uchaguzi haukuwa wa uhuru na haki? Hawajui kama kila siku watu wanapotea na kutekwa lakini serikali haichukui hatua yoyote? Hawajui kama watu waliuwawa siku ya maandamano? Kama...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Paul Kimiti: Ukitenda haki amani itakuwepo utake usitake!

    "Unajua ukitenda haki amani itakuwepo, utake usitake. Lakini usipotenda haki amani hutaipata. Haki ya namna gani? Haki ni vitu vile vya msingi ambavyo binadamu yeyote angependa kupata lakini sio vile vya kufikiria tu, kutaka kupata gari kupata nini... hapana, ni mahitaji ya msingi, mahitaji ya...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania wakiitaka kupata HAKI ya kweli wasiwategemee wanasiasa na viongozi wa dini

    Wanasiasa wote duniani ni wachumia tumbo wapo kwaajili ya matumbo yao na famila zao na ndiyo wasaliti wakubwa kwa jamii zao. Viongozi wa dini na waumini wao ndiyo wasaliti wakubwa wa wananchi kwani wamesaliti UAFRIKAWAO na ASILI ZAO na kufuata imani,mila na desturi za WAKOLONI ambao ni warabu...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tundu Lissu kutoka Gereza kuu Ukonga: Msikubali kupita njia isiyo na haki!!

    =============================== Mwenyekiti CHADEMA(T)Tundu Lissu anasema; "....Msikubali kupita njia isiyo na haki. Mimi niko imara na sina shida hapa nilipo! Mimi nikifia humu jela, lakini nyinyi mkakaza, jueni mtawasaidia wananchi wenzetu...." "......Nikifungwa, mkakaza katika haki bado...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mungu mwenye Nguvu awe nanyi mwezi huu mpya

    Hamjambo! 1. Mwezi huu uwe mwezi wenye Baraka na Neema ya Mungu naam yule MUNGU Mwenye Nguvu nyingi aliyetuumba wote. 2. Mwezi huu Mungu atuepushe na Mabaya na kushindwa na adui zetu. 3. Wokovu wa Mungu uwe upande wetu. Naye atatupa Wokovu mkuu na ushindi kwa namna isiyoelezeka. 4. Adui zetu...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sheikhe Kishki elewa kuwa hakuna muislam atakayewaponda masheikhe kama watakuwa kwenye Ukweli na Haki.

    Hamjambo Wote! 1. Kuna watu Wana mawazo ya kizamani Sana. 2. Kuwa kwako Mchungaji au sheikhe haikufanyi uwe Special sana kwamba ukifanya mambo yasiyoeleweka watu wasiseme. 3. Au kuwa kiongozi. Sijui Waziri, sijui Rais, sijui Mfalme, sijui Mkuu wa Mkoa. Kuwa na cheo chochote haikufanyi uwe...
  9. 100 others

    JamiiForums Tanzania Video: Mgambo akipata kichapo heavy toka kwa wananchi

    Mgambo akipata kichapo heavy toka kwa wananchi, hawa migambo inapaswa wasome alama za nyakati. Wanafikiri wananchi wanaogopa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Kiislamu kwenye ndoa ni kuwa na wake wanne na awatendee haki sawa na siyo Amani!

    Mimi si mwislamu ila nataka kuwauliza swali ndugu zangu Waislamu Kinachotakiwa kutendwa kwenye ndoa zao ili ndoa zibaki kuwa na Amani na kudumu ni nini? Kutenda haki kwa wake hao au kuwatendea Amani? Lalamiko ambalo huwa linasikika kwa nguvu kutoka kwa wake za Waislamu ni kutokutendewa haki...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira: Haki inadaiwa kwa amani na si kuchoma nchi

    Hivi vyeo vyote vya Mzee Wasira vya nini? Kwamba hakuna watu wengi wakapewa, anapaswa akacheze na wajukuu wake ========= Akizungumza kwenye Mahafali ya 20 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Kivukoni, Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tuwaorodheshe hapa wahusika wa uvunjaji wa haki za Binadamu

    Wananchi wenzangu, poleni sana kwa unyama tunaoupitia kabla na baada ya uchafunzi mkui. Bila kupoteza muda nawaomba tuwataje wale wote wanaohusika na uvunjwaji wa haki za Binadamu. Lengo ni kiwasaidia wanasheria na watetezi wa haki za binadamu kuwajumuisha kwenye kesi inayotarajiwa mahakama ya...
  13. Phlagiey

    JamiiForums Tanzania Kilio cha haki..

  14. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Unatumia Mabavu na Kumwaga Damu za Watanzania Wanaodai Haki Kisha Baada ya Kujipatia Madaraka Kwa Damu unarudi kusema Amani Itawale, Ya nini?

    Kabla hata ya uchaguzi CCM walishaambiwa na madai ya watanzania yalikuwa wazi na wimbo ulikuwa mmoja, HAKI HAKI HAKI HAKI Pamoja na kelele hizo CCM kwa uchu na tamaa ya madaraka wakalazimisha kujitwalia Madaraka kimabavu ikibidi hata kwa kumwaga damu, na ndicho kilichotokea. Baada ya mauaji...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tunaposema Haki tunazungumzia haki kwa wote. Serikali nanyi mnaihitaji haki kama sio leo basi ipo siku

    Hamjambo Wote! 1. Sisi Watibeli tunapopigania Haki hatupiganii haki ya kundi fulani au kundi moja pekee. Tunapigania Haki kwa wote. Kwani Haki ni jambo la binadamu wote. 2. Huenda jambo hilo huweza kuchukuliwa ndivyo sivyo na baadhi ya watu kwa kuona labda tunatetea upande fulani au tuna kile...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ?

    Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ? Vyombo vya habari vya ndani vimechapisha vijana hao wasio na hatia walionekana kwenye vilio, ikumbukwe vyombo vya usalama vimeshtumiwa zaidi ya mara...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Inawezekanaje kuwa na amani ya kudumu bila haki za msingi na uhuru wa raia?

    Wale wanaosema( hasa masheikh wengi na serikali) kwamba tunaweza kuwa na amani bila haki ni vyema watueleze ni jinsi gani jambo hili linawezekana hapa Tanzania ili tuwaelewe vizuri na sisi tuweze kuishi kwa amani ya kudumu bila haki katika taifa letu. Watupe na mifano ya mataifa yenye mfanano...
  18. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna ambao wanajifanya maandamano ya kudai uhuru wa kiraia,kukataa ubadhirifu na mauaji hayawahusu, ndio hao haki ikipatikana wataanza tena kufurahia

    Huwa ipo hivyo , kwa sasa wanajifanya hayawahusu kwa sababu tangu uhuru hawajawahi iona tanganyika yenye uhuru wa kiraia , yenye uwajibishanaji, inayo heshimu haki na utu wa mtanganyika kwa vitendo na sio maneno. Tanganyika isiyo na rushwa wala viongozi kujilimbikizia mali na familia zao...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Madowo: Serikali ya Tanzania ilikataa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana kilichotokea oct 29 lakini baada ya CNN kutangaza dunia ndio wamekuja

    Madowo: serikali ya Tanzania ilikataa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana kilichotokea oct 29 lakini baada ya CNN kutangaza dunia ndio wamekuja. #D9
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rasmi serikali ya Tanzania inadai walichofanya BBC, CNN sio "HAKI" na wao wanataka haki sio amani

    Msigwa amenukuliwa akilalamika ripoti za BBC,CNN,DW na nyenginezo hazijafanya haki. ikumbukwe watanzania waliandamana kudai haki kama serikali inavyodai lakini serikali ilikataa ikasema tufanye amani.
Back
Top Bottom