haki

  1. Phlagiey

    JamiiForums Tanzania Kilio cha haki..

  2. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Unatumia Mabavu na Kumwaga Damu za Watanzania Wanaodai Haki Kisha Baada ya Kujipatia Madaraka Kwa Damu unarudi kusema Amani Itawale, Ya nini?

    Kabla hata ya uchaguzi CCM walishaambiwa na madai ya watanzania yalikuwa wazi na wimbo ulikuwa mmoja, HAKI HAKI HAKI HAKI Pamoja na kelele hizo CCM kwa uchu na tamaa ya madaraka wakalazimisha kujitwalia Madaraka kimabavu ikibidi hata kwa kumwaga damu, na ndicho kilichotokea. Baada ya mauaji...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tunaposema Haki tunazungumzia haki kwa wote. Serikali nanyi mnaihitaji haki kama sio leo basi ipo siku

    Hamjambo Wote! 1. Sisi Watibeli tunapopigania Haki hatupiganii haki ya kundi fulani au kundi moja pekee. Tunapigania Haki kwa wote. Kwani Haki ni jambo la binadamu wote. 2. Huenda jambo hilo huweza kuchukuliwa ndivyo sivyo na baadhi ya watu kwa kuona labda tunatetea upande fulani au tuna kile...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ?

    Watuhumiwa 93 wa kesi ya kudai uchaguzi huru na wa haki, na mabadiliko ya katiba wamefikishwa mahakamani wakiwa wanalia, je wanateswa vizuizini ? Vyombo vya habari vya ndani vimechapisha vijana hao wasio na hatia walionekana kwenye vilio, ikumbukwe vyombo vya usalama vimeshtumiwa zaidi ya mara...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Inawezekanaje kuwa na amani ya kudumu bila haki za msingi na uhuru wa raia?

    Wale wanaosema( hasa masheikh wengi na serikali) kwamba tunaweza kuwa na amani bila haki ni vyema watueleze ni jinsi gani jambo hili linawezekana hapa Tanzania ili tuwaelewe vizuri na sisi tuweze kuishi kwa amani ya kudumu bila haki katika taifa letu. Watupe na mifano ya mataifa yenye mfanano...
  6. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna ambao wanajifanya maandamano ya kudai uhuru wa kiraia,kukataa ubadhirifu na mauaji hayawahusu, ndio hao haki ikipatikana wataanza tena kufurahia

    Huwa ipo hivyo , kwa sasa wanajifanya hayawahusu kwa sababu tangu uhuru hawajawahi iona tanganyika yenye uhuru wa kiraia , yenye uwajibishanaji, inayo heshimu haki na utu wa mtanganyika kwa vitendo na sio maneno. Tanganyika isiyo na rushwa wala viongozi kujilimbikizia mali na familia zao...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Madowo: Serikali ya Tanzania ilikataa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana kilichotokea oct 29 lakini baada ya CNN kutangaza dunia ndio wamekuja

    Madowo: serikali ya Tanzania ilikataa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana kilichotokea oct 29 lakini baada ya CNN kutangaza dunia ndio wamekuja. #D9
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rasmi serikali ya Tanzania inadai walichofanya BBC, CNN sio "HAKI" na wao wanataka haki sio amani

    Msigwa amenukuliwa akilalamika ripoti za BBC,CNN,DW na nyenginezo hazijafanya haki. ikumbukwe watanzania waliandamana kudai haki kama serikali inavyodai lakini serikali ilikataa ikasema tufanye amani.
  9. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Wanaotoa takwimu za vifo wakati wa uchaguzi ni uchochezi

    Akiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa takwimu hizo ni uchochezi.
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Vyombo vya nje vifuate taratibu za uandishi, walichofanya CNN, Al Jazeera na wengine sio sawa, ni ukiukwaji wa makusudi

    Serikali yatoa wito kwa vyombo vya habari vya nje kufuata maadili ya uandiahi wa habari kwa kuchapisha habari ambazo aio za upande mmoja, serikali ipo tauari kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ndani na nje ya nchi pale watakapohitajika. Msigwa amesema sio sawa kilichofanywa na CNN, Al Jazeera na...
  11. Sumbaye

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wakubwa wa haki walikuwa mitume, neno wanaharakati lisitumike vibaya

    Nimeona maoni watu wengi juu ya neno mwanaharakati na matumizi yake. Neno mwanaharakati linatumika kujenga taaswira mbaya juu ya jitihada wapigania haki za watu. Mwanaharakati ni mtu anaetetea aina flani ya mtizamo na kupinga kila kilicho kinyume chake. Kwa Maana hiyo mtu yeyote mwenye...
  12. Spectophotometer

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Amani ndio haki mama ya kila raia

    Wale wa PhD zenu mpaka leo hamjajua kwamba hata 'AMANI ni miongoni mwa haki za RAIA? 🫴 Miongoni mwa haki za kwanza za raia ni; kulindwa au kupewa ulinzi na usalama wa yeye kama raia pili na mali zake 🔹️ Ndio maana kukawa na Jeshi la kulinda nchi na mipaka yake na Jeshi la kulinda usalama wa...
  13. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Haki na Amani Katika Wiki ya Uchaguzi Mkuu 2025: Naomba Nakala ya Tangazo Husika Katika Gazeti la Serikali

    Wadau, Kwa mujibu wa kifungu cha 20 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi (Commissions of Inquiry Act), Sura ya 32, Toleo la 2023, Rais anapounda Tume ya Uchunguzi husika, Tume hiyo inapaswa kuanza kazi baada ya Uamuzi wa Rais kuchapishwa kwenye Gazeti la Serikali . Taarifa ya gazetini inapaswa...
  14. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tarehe 29 Oktoba: Watanzania Walikufa, Haki Itarudi!

    Tarehe 29 Oktoba, shit hit the fan, na Watanzania walikufa! Serikali inacheka tu, inadhani maisha ya watu ni joke. What the fck? Hawa watu walikuwa na familia, walikuwa na ndoto, lakini leo wamebaki kuwa ghosts kwenye mtaa huu wa dunia. Na serikali? Wamefunga macho kama hawaoni. Sasa, what’s...
  15. Cyclopedia

    JamiiForums Tanzania Naimani Mungu atatenda kwa wanaoitafuta haki

    Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa rehema zake. Kwani bila yeye tusingeweza kufika hapa binafsi mimi ni muumini wa HAKI kwa sababu haki siku zote ndo huleta amani. Basi kwa imani yangu naamini Mungu wa Isaka, Yakobo, ndiye Mungu wangu mimi pia ivyo kupitia yeye hii vita ya Haki...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya aeleza mazito kuhusu mauaji ya Oktobea 29. Asema hakuna umwagaji damu utakaowazuia kudai haki

    Ni interview nzuri sana. Unaweza kuitazama hapa: Oktoba 29, 2025 ilikuwa ni siku kubwa sana ya kihostoria katika nchi yetu ya Tanzania, ambapo ilikuwa ni siku ya maandamano ya kupinga kupwoka haki na vijana walikuwa na hasira sana. Na haya yote ni matokea yalitokea katika kukosa haki katika...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Godbless Lema zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, Uislamu na Ukristo ambao hautendi haki, huo ni unafiki wala siyo Udini

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Godbless Lema kwenye moja ya Mkutano wake wa hadhara alisema; Waislamu sikilizeni, zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, nawaambia mimi najua 'game' zinavyochezwa nchi hii, waambieni hivi kwani CHADEMA wanashida na Msikiti?...Sisi...
  18. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Naambiwa kwamba vijana walioingia barabarani kudai haki walilipwa kwanza ndipo wakaingia

    Leo Novemba 20, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani katika uzinduzi wa tume huru ya uchunguzi wa vurugu za uvunjifu wa amani uliojitokeza siku ya uchaguzi mku Oktoba 29, 2025 ameeleza kuwa walioingia barabarani na kudai haki walikuwa wamelipwa na NGO za ndani na za...
  19. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Vizuizi havizuii maendeleo ya China, na ushindani wenye haki ni njia sahihi

    Tume ya Kutathmini Uchumi na Usalama wa Marekani na China, iliyoko chini ya Baraza la Mawaziri la Marekani, hivi karibuni imetoa ripoti ya kuhusu Mpango wa Maendeleo ya Sekta za Utengenezaji za China wa mwaka 2025. Ripoti hiyo inaona kuwa, baada ya juhudi za miaka kumi, uwezo wa uvumbuzi wa...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Nimeupenda utulivu wa wakatoliki na hiyo ndiyo dini ya haki ya mwenyezi mungu

    Naona mashambulizi yanatoka kila upande wa wavaa kobaz ,lakin naona wakatoliki wametulia hawana haraka wala hofu , wapo kimya kama hawasemwi na kushutumiwa na hao wauza madawa ya kulevya huu ni ukomavu wa hali ya juu sana na ndio faida ya kuwa na viongozi wa dini wasomi
Back
Top Bottom