haki

  1. A

    KERO Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) imetutelekeza Vijana wa JKT 2024 baada ya awali kutuahidi ajira

    Kero yangu ni walichotufanyia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (Tanzania Airports Authority – TAA) vijana 40 kutoka JKT 2024 OP Mabeyo, walituchukua tukiwa vikosini wakatupeleka kama Maafisa Usalama wa Viwanja vya Ndege, Airport Security Officer (AVSEC) bila kuomba nafasi hiyo, wakatushawishi kuwa...
  2. Roving Journalist

    Serikali inaboresha miundombinu ili Mtoto wa Kitanzania apate haki yake ya msingi ya elimu bora - Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inaendelea kusimamia uboreshwaji wa miundombinu ya elimu nchini, ili kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata haki yake ya msingi ya elimu bora katika mazingira...
  3. R

    Umeondoka TBC na mabilioni, vipande 40 vya fedha ukawasaliti Watanzania, lakini hukumu ya HAKI ya Mungu inakusubiri

    Ulitumia TBC kukandamiza upinzani hasa Chadema, ambao walikuwa wanatekeleza haki ya kikatiba ya kitoa na kupata habari kupitià TBC. Ukawanyima fursa hiyo na kuwa CHAWA No. 1 wa CCM. Leo umeondoka na Mungu anakusubiri akupe hukumu stahiki! All in all kwa vile ulifanya ikamndamizaji wa...
  4. baz kaiza

    Watanzania wote wapenda HAKI na amani ni muda sasa wa kuamka kudai kuachiliwa kwa Lissu tena kwa nguvu zote na mamlaka kutwambia yuko wapi Polepole

    Ni mda watanzania wote bila kujali itikadi za vyama na dini zetu kutoka na kushinikiza mamlaka kumwachia Tundu Lissu bila masharti yoyote. Na mamlaka kutoka na kusema Polepole yuko wapi hii nchi sio mali ya mtu hii ni nchi ya wananchi wote au Mamlaka mnataka kuona Nguvu ya Umma ile ya October...
  5. M

    Hakuna haki yeyote duniani utapata kwa kujifanya mnyonge

    Dunia ni yawatu wenye nguvu hii UKijifanya mnyonge kwa kudai haki yako hupati zaidi utasingiziwa kesi ya ubakaji au kesi yeyote ili uzidi kuteseka Hakuna haki yeyote ambayo inapatikana duniani Iwe serekalini au kokote Kupata haki yako kwa kujifanya mnyonge ni vigumu mno Mathayo 25:29 Kwa...
  6. K

    Bila kupatikana kwa katiba mpya ya wananchi tume huru ya uchaguzi Nchi haitakuja kutawalika tena

    Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.
  7. Jidu La Mabambasi

    Sala ya Leo: Mithali 29:2- Mamlaka na Haki

    Mithali 29:2* “Watu wa haki wanapokuwa na mamlaka, watu hufurahi; Bali waovu wakiwatawala, watu huugua.” Uhafanuzi Neno hili linaonyesha kwamba uongozi wa haki huleta furaha na amani kwa watu, lakini uongozi wa waovu huleta mateso na huzuni. Tuombe Ee Mungu tunakushukuru kwa neema hii ya...
  8. M

    Je ni haki hii

    Napitia wakati mgumu Mke wangu ananinyima tendo la ndoa kisa israel na iran wanapigana
  9. Southern Highland

    Sportybet wamenidhulumu, nawashtaki wapi nipate haki yangu. Njoo hapa nawewe ujifunze yanaweza kukukuta.

    Iko hivi jana nilitengeneza mkeka wa mechi 20 ukaleta odds 53. Mechi 19 zimetiki kasoro mechi moja ya Villarreal na Elche ambayo niliweka option ya over 2.5 bookings. Yaan hiyo mechi iishe kwa kadi 3 au zaidi zitolewe. Mechi imeisha kwa kadi 3 kutolewa, ikiwa 90 zilitoka kadi 2 na katika dakika...
  10. M

    Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imesema kila jambo la tume ya uchaguzi ni lazima lihojiwe mahakamani!

    Anaandika Jebra Kambole AfCHPR imesema ibara ya 74 (12) Ya Katiba ya Tz na Ibara ya 119(13) ya Katiba ya Zanz zinakiuka ibara ya 3(2) na 7(1)(a) ya Mkataba wa ACHPR kwa sababu ibara hizo zinakataza kufungua kesi ya kupinga ujinga wa INEC na ZEC. Tunashukuru kuwa kwenye Timu ya Mawakili wa kesi...
  11. M

    Said Mtanda: Dhana ya haki na amani haziwezi kutenganishwa katika ujenzi wa taifa imara, ni pande mbili za sarafu moja

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amesisitiza kuwa dhana ya haki na amani haziwezi kutenganishwa katika ujenzi wa taifa imara, akizitaja kuwa ni pande mbili za sarafu moja. Akizungumza jana, Machi 4, 2026, katika Maadhimisho ya Siku ya Maridhiano (Maridhiano Day) nchini Tanzania, Mtanda...
  12. Q

    Natumai Tanzania imejifunza kwa Iran, hakuna serikali iliyo na haki ya kuua wananchi wake

    Hata kama ni Sovereignty state. Ayatollah Khamenei na serikali yake ya Islamic Republic of Iran walionywa kwa muda mrefu kama tunavyoonya sisi, he ordered 'shoot to kill' thousands of Iranian people, leo wamekula kichwa ndani ya masaa 2 tu baada ya vita kuanza. Serikali ya Tanzania imeonywa...
  13. Parabolic

    Baraza la Haki za Binadamu UN laipongeza Tanzania kuchunguza matukio ya vurugu Oktoba 29

    Kamishina Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (HRC) Volker Turk ameeleza masikitiko yake kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu duniani, huku akipongeza hatua ya Tanzania kuanzisha Tume ya Uchunguzi wa vurugu zilizotokea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akitoa mwelekeo...
  14. G

    Mahakama ya rufani ikikataa ushahidi wa 29 kwenye kesi ya Lisu mawakilii wa serikali wataumbuka lakini ikikubali wataumbuka zaidi, haki huinua Taifa

    Kazi anayofanya Lisu ni kubwa sana kuonyesha udhaifu ulioko kwenye Muhimili wa mahakama ni aibu tupu Kadri wanavyozidi kukaa na Lisu ndivyo wanavyozidi kuumbulia hadharani Ni kama wamepigwa upofu hawajui Nini waamue Ukimeza kaa la moto kivyovyote LAZIMA uumie , ukipandisha likuunguza ukimeza...
  15. I

    Je, hii ni haki kweli na kwa nini suala la imani lilazimishwe kwa watu!!??

    Polisi wa Kiislamu nchini Nigeria wamewakamata Waislamu tisa kwa kutofunga Ramadhani. Polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini la Kano nchini Nigeria wamewakamata Waislamu tisa siku ya Jumatano ambao walionekana wakila chakula katika siku ya kwanza ya mfungo wa Ramadhani mwaka huu. Kano ina...
  16. G

    Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amua sasa kusimama upande wa haki

    Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amau sasa kusimama upande wa haki
  17. Traxtion

    Taliban yaruhusu wanawake kupigwa ila wasivunjwe mifupa au kupata majeraha

    Kiongozi mkuu wa Taliban, Hibatullah Akhundzada amesaini sheria mpya ya adhabu nchini Afghanistan ambayo inaruhusu wanaume kuwapiga wake na watoto wao, isipo kuwa vipigo hivyo havisababishi kuvunjika kwa mifupa kwenye miili yao. Aidha mazingira ya kisheria kwa wanawake yamezidi kuwa magumu...
  18. A

    KERO Wananchi wa Mlimba – Morogoro tunaambiwa Nguzo moja ya Umeme ni Tsh. 580,000, hii ni haki?

    Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Morogoro, Halmashauri ya Mlimba, Tarafa ya Mlimba. Kero yangu kubwa ni suala la Kupata Nguzo ya Umeme, ukienda Ofisi za TANESCO ili upate Huduma ya Nguzo ya Umeme unaambiwa Nguzo Moja ni zaid ya Shilingi 580,000/=. Je, hii ni haki Mwananchi kulipia nguzo moja ya umeme...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Baada ya elimu kushindwa kutatua tatizo la ajira, wanawake wengi wanaona mfumo wa haki Sawa ufutwe

    Hamjambo! 1. Ni Ajira za kuajiriwa ndizo ziliwapa kiburi dada zetu. 2. Ni baada ya kuona wakisoma baadaye wataajiriwa na kulipwa Malaki Kwa mamilioni ya pesa. Wakaona watakuwa independent na hawatakuwa na haja ya mwanaume. 3. Kumbuka ajira kama ualimu, udaktari, uanasheria, uhasibu, n.k...
  20. Davidmmarista

    Issue ya haki sawa kwa jinsia zote sidhani kama itawahi kufikiwa

    Wadau habari, Dah! Nimekaa mahali Leo nikatafakari kitu kwa miaka sasa Elimu umekuwa ikitolewa haki sawa kwa mwanaume na mwanamke lakini je hili lipo kweli kwenye Jamii zetu? Je wanaume tunakubaliana na hili? Leo hii tukichukulia aspect ya ndoa mwanamke akitoka hadharani(on public) na kulia...
Back
Top Bottom