Ukipitia comments za mashabiki wa yanga aka utopolo baada ya Simba kupeperusha vizuri bendera ya Tanzania huko Botswana, utafikia hitimisho kuwa Haji Manara alikuwa sahihi kwenye kauli yake kuwa mtu akiwa yanga hata kama ni profesa bado kichwani atakuwa na walakini!
Mtu anakuambia eti timu zote...