hai

“Haï” is an essay written by French Nobel laureate J. M. G. Le Clézio.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Uchawi: Aliyefariki kwa ajali miaka 3 iliyopita aonekena hai mkoani Geita

  2. Demokrasia haileti maendeleo ila udikteta ndio unaleta maendeleo?

    Naomba mnisaidie wadau ni nchi gani duniani imepiga hatua za maendeleo ya kiuchumi kwa sababu ya demokrasia?
  3. Hai yalipuka kwa shangwe baada ya Mbowe kutangaza Mama Samia amechangia milioni 150 Ujenzi wa Kanisa Hai

    Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyewahi kuwa Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia TZS 150,000,000/- za Ujenzi wa Kanisa Watu waliokuwa katika Kanisa hilo wameeleza kwamba...
  4. TAWA ni matapeli tu hawana lolote. Natamani Hayati Magufuli angekuwa hai

    Hawa wahuni tangu watuambie wanafuatilia zile nyara zilizo kamatwa Australia mpaka leo Hakuna mrejesho mwaka unaisha sasa Afu leo wanakwambia wataleta ufafanuzi juu ya mamba aliyeuawa upuuzi Mtupu. Ivi tuna TISS kweli? Nchi hii kuna watu wanafaa kunyongwa ili kuwatia Adabu nao ni TAWA na...
  5. Huyu huenda kweli akawa ni mwana wa Mungu aliye hai angalia Mayele, Dkt Biteko, Chalamila, Dkt Mwigulu, Dkt Samia, Dkt Tulia hata Paul Makonda

    Habari Tanzania, Kwa muda sasa kumekuweko mijadala mbalimbali kuhusu Ndugu yetu Apostle Bonface Mwamposa almaarufu kama Bulldozer. Apostle Bonface Mwamposa anahudumu katika madhabahu ya Arise & Shine au kwakimombo " INUKA UANGAZE" ( Isaya 60:1 ) yaliyoko Kawe jijini Dar es...
  6. Nyangumi anaweza kummeza mtu aliye hai?

    Kwenye Biblia, kuna habari ya Mhubiri aitwaye Yona kumezwa na "samaki" mkubwa na kisha kutapikwa siku ya tatu. Sijui kama kuna tukio jingine kama hilo Iilishatokea karne hii! Mwaka 2021, raia wa Marekani, Michael Packard, alinusurika kuwa kitoweo cha nyangumi baada ya kujikuta ndani ya kinywa...
  7. Natamani Israel apigwe hadi amrudie Mungu wake aliye hai JEHOVAH

    Sijui itatokea lini, ila mimi natamani sana wayahudi wachapwe kichapo kitakatifu hadi wamtii Mungu wao aliyewatoa Misiri utumwani kwa ishara za ajabu yaani (JEHOVAH) Ichi ambayo imekuwa na ukaribu na Mungu tangu kipindi cha Ibrahimu, Ichi ambayo kipindi cha Musa, Mungu alifanya maajabu mengi...
  8. Ushirikina Kigoma: Mwanamke aliyefariki Oktoba 2018 na kuzikwa aonekana akiwa hai

    Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limetoa ufafanuzi juu ya taarifa za Mwanamke mmoja wa miaka 40 Mkazi wa Kazegunga ambaye anadaiwa kuonekana November mwaka huu baada ya kufariki October 17,2018 wakati akijifungua Mtoto katika Hospitali ya Baptist iliyopo Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji na...
  9. HAMAS yasema hakuna mateka atakayeondoka Gaza akiwa hai hadi matakwa yake yatakapotimizwa

    Wanaukumbi. Hamas imeonya kuwa hakuna mateka atakayeondoka Gaza akiwa hai hadi pale matakwa yake yatakapotimizwa. "Hakuna adui wa kiyahudi na uongozi wake wa kiburi... wala wafuasi walio nyuma yao ... wanaweza kuwachukua wafungwa wao wakiwa hai bila kubadilishana, kujadiliana na kukubaliana na...
  10. Hamas yasema hakuna mateka atakayeondoka akiwa hai bila matakwa yao kutimizwa

    Israel imechagua kupigana na kundi ambalo lina hamas za vita hawajapata kufikiria. Kundi la Hamas limetoa ahadhi kuwa katika juhudi za Israel kutaka kuwaokoa mateka waliobaki basi ijue kuwa hakuna mateka hata mmoja atakayeokolewa na kuondoka akiwa hai. Mfano halisi ni kijana Sahar Baruch, 25...
  11. A

    DOKEZO Usumbufu wa kupata likizo HAI DC hasa idara ya Afya

    Naomba muongozo wa likizo kwa mtumishi wa umma umekaaje. Ni haki mtumishi kufutiwa likizo yake ya mwaka? Maana nimefanya kazi miezi 12 bila likizo nimehamia kutoka halmshauri nyingine ambako nilikuwa nachukua likizo zangu Desemba, nimefika huku wanasema mwezi huu hawaruhusu likizo na kunitaka...
  12. Raia 7 wa Kigeni wachomwa moto wakiwa hai katika Jiji la Johannesburg, chini Afrika Kusini

    Hofu ya ghasia na mauaji ya chuki dhidi ya wageni imerejea Johannesburg ambapo Jumamosi iliyoisha nyakati za asubuhi takriban wageni saba walichomwa moto wakiwa hai katika kitongoji cha Diepsloot nje ya mji wa Johannesburg. Hii ilifuatia msako mkubwa wa wanajamii kutafuta waharifu Ijumaa usiku...
  13. A

    Mr. Politician

    https://youtu.be/2461HqUizAw?si=HDdWnPB7oW94nwvz
  14. S

    Sitaki kuamini kuwa aliyetuumba alituumba ili tumuabudu, bali alikuwa na malengo mengine na inawezekana viumbe hai wote kwake ni mifugo

    Mtanisamehe kwa mada hii inayoweza kuleta ukakasi ila hili ni Jukwaa huru. Tumekuwa tukiambiwa kuwa alietuweka hapa duniani alifanya hivyo ili tumuabudu. Binafsi hili swala kwangu linanifanya nikjiule maswali mengi sana; 1. Yaani alijichosa kisa tu kuabudiwa? Na kama ni kweli ili tumuabudui...
  15. Ya Ukraine yametokea na Gaza.Kamanda aliyekufa tangu 2014 apatikana hai akiongoza mapambano.

    Wafuatiliaji wa vita watakumbuka kule Ukraine siku jeshi la Zelensky lilipotangaza kifo cha kamanda wa jeshi la wanamaji wa Urusi,general SOKOLOV halafu siku ya tatu yake akaonekana yuko hai kwenye kikao akifuatilia mada ya mkutanoni.Kwa butwaa Ukraine ikasema ilikuwa ni picha yake kutoka chumba...
  16. Tetesi: Musiba kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya, anaweza kupewa Arusha, Hai au Tarime

    Kuna tetesi zinatembea "chini ya kapeti" kwamba Musiba anaweza kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya katika hizo Wilaya tata kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.Tega sikio
  17. Katibu wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro unaonekana Ofisi Za chama fulani cha upinzani Kilikoni?

    CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai. Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi. Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM. Cha kushangaza zaidi leo jumapili...
  18. L

    Vijana lazima wawe washiriki hai na wanufaika muhimu katika miradi ya Ukanda Mmoja, Njia Moja

    Wataalamu waliohudhuria Kongamano la Mkutano wa Mtandao wa majadiliano kuhusu Ukanda Mmoja, Njia Moja wamesema kuwa pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja, ambalo linalenga kuharakisha ukuaji wa pamoja na maendeleo endelevu duniani kote kupitia uratibu imara wa sera, muunganisho, biashara isiyo na...
  19. Mbeya: Aliyewahi kuwa Katekista azikwa akiwa hai akituhumiwa kwa uchawi

    Msaidizi wa zamani wa Padri (Katekisita) katika Kigango cha Kanisa Katoliki Kijiji cha Mkwajuni, Florian Mwamosi (70) amekufa baada ya kuzikwa akiwa hai katika kaburi moja na mtu anayedaiwa kumuua kwa njia ya kishirikina. Tukio hilo limetokea katika Kitongoji cha Maweni kijijini hapo wilayani...
  20. Sumbawanga: Mfanyabiashara azikwa akiwa hai

    Sumbawanga. Jeshi la Polisi mkoani Rukwa, linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumpiga na kumpora fedha zaidi ya Sh 1.8 milioni kisha kumzika akiwa hai mfanyabiashara wa mazao, Baraka Nyangala (30) na kumsababishia umauti. Akizungumza jana na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…