hai

“Haï” is an essay written by French Nobel laureate J. M. G. Le Clézio.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Leo ni Mwaka mmoja tangu Polepole ametekwa. Je, yupo hai?

    Tarehe 5 kuamkia 6.10.2025 Polepole alitoweka nyumbani kwake pale Union jioni dsm ikidaiwa alichukuliwa na watu wasiyo julikana. Watanzania bado hatujui hiyo ndugu yetu yupo wapi na kwenye hali gani,Je yupo hai au amefariki. Tuzidi kumuomba watanzania kwa Umoja wetu. Soma Humphrey Polepole...
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Oburu Odinga Yuko Hai - Secretariat Yapuuza Ripoti Za Kifo

    Ofisi ya Kiongozi wa ODM, Dkt. Oburu Oginga, imekanusha vikali taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa Seneta huyo wa Kaunti ya Siaya amefariki. Katika taarifa iliyotolewa Jumanne, sekretarieti yake imesema Oburu yuko hai, salama na yuko katika hali nzuri, na kuwa Aananchi wanapaswa...
  3. E

    JamiiForums Tanzania kipindi yupo hai walimwita sir wicknel chivayo, leo salamu za lambi lambi neno sir limesahaulika

    hivi vyeo watu wanavyojipa kujipamba au wanavyopewa na wapambe ni kwa ajiri ya kuwafurahisha tu wamwage njurugu au mapene au wapate favor kwa hao wakubwa lakini ukiondoka hakuna anayejisumbua tena kuwa mnafiki
  4. JamiiForums Tanzania idadi ya watu waliokufa na walio hai ipi kubwa?

    Wasalaam.Kutokana na Theory na vyanzo mbali mbali vya kidini na kisayansi huthibitisha dunia iliumbwa miaka mingi iliyopita.Je watu waliokufa wakafufuliwa leo idadi yao itazidi walio hai? Naomba wataalamu mnijuze
  5. JamiiForums Tanzania Wafu walio hai na siri za kuzimu zilizofichwa kwenye ulimwengu wa roho

    Hapa duniani tunaishi tukiwa tumezungukwa na mambo mengi tusiyoyaona kwa macho ya nyama. Leo nataka tusafiri pamoja hadi kwenye vilindi vya chini kabisa, mahali ambapo nafsi za wafu hukaa, na jinsi ulimwengu wao unavyoingiliana na maisha yetu ya kiroho. Watu wengi hudhani kifo ni mwisho wa...
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku mbili, Wanaharakati wawili: Collins Otieno Apatikana akiwa hai.

    Mwanaharakati mwengine Collins Otieno amepatikana akiwa hai, siku moja tu baada ya mwanaharakati mwenzake Boniface Mulinge Muteti pia kupatikana baada ya kuripotiwa kutoweka. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Hussein Khalid wa Vocal Africa, Collins alipatikana kando ya Thika Road majira ya saa...
  7. JamiiForums Tanzania Irene uwoya ni mfano hai tuliojionea kupitia Tv kuwa ni hatari kupokea ushauri wa ndoa/mahusiano kutoka kwa mwanamke asiye na ndoa.

    STUPID ME. Moderator naomba mnisaidie kufuta huu uzi🙏🙏 Active Moderator Boqin BlackBold celix 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
  8. JamiiForums Tanzania Huwa napenda kuwaambia rafiki zangu wayatazame maisha kwa mtazamo wa bungani mfano wa fisi wanavyomuua swala kikatili kwa kumuanza kumla akiwa hai

    HAkuna utofauti wa sisi na ecosytem ya mbugani Ni basi tu Sisi ni wanyama tulio vaa nguo. Mjini na vijijini hakuna tofauti na mbugani. Bila ya ku-evolve kuwa kama fisi, utalika kikatili kama swala, unang'atwa nyama ya paja huku ukiwa hai ukisikilizia maumivu. Hakuna faraja ya mnyonge hapa...
  9. JamiiForums Tanzania Mzee Warioba ni mwanaCCM hai?

    Kama ningekuwa mimi ningemfukuza uwanachama wa CCM mzee Sinde Warioba kwa kulitoboa jahazi lizame na waliomo ndani yake waliwe na papa. Sera ya CCM ni serikali mbili, yeye anataka serikali 3. Hii haitoshi kumvua uanachama wake? Mzee Warioba haoni zuri hata moja CCM na serikali yake wanafanya...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Nchimbi, yupo hai, mfu, huru, kizuizini au ughaibuni?

    Kihisitoria, Makamu wa rais wa kwanza kujiuzulu nchini alikuwa Aboud Jumbe. Alirubuniwa na wachoyo na walafi wa madaraka hasa vijana wakiongozwa na marehemu Seif Shariff Hamad ili wamuondoe wachukue ukanda wakaisha kuishi na kufa kwa upanga kama walivyoishi kwao. Nchimbi kaondolewa. Tunajua ni...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwa vile Jakaya Kikwete yupo hai nina amani ya moyo, nalala usingizi unaisha

    Mungu ananilinda, Dkt samia suluhu ndo raisi wa nchi na Jakaya Kikwete baba wa taifa aliebaki yupo mzima wa afya wacha waandamane wataisoma number Moja ya vitu nashukuru Mungu ni uwepo wa Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete, anayeijua ccm na serikali na viongozi wastaafu na wapinzani...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole alisisitiza kwamba Samia na Kikwete lazima watashitakiwa na kunyongwa. Unabii utatimia wengi tukiwa hai

    Utawala wa Samia umefanya makosa makubwa ya kimkakati (strategic mistakes) yaliyoweka fursa ya kushitakiwa na kunyongwa. Kosa la kwanza ni "Coup D'etat" mtu yoyote anayejua siasa na sheria anafahamu October 29 Samia na Washirika wake walifanya mapinduzi dhidi ya maamuzi ya kiraia (Katiba...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bomang'ombe-HAI: Viwanda Katikati ya Makazi, Nani Anahusika Kutoa Vibali?

    Mji mdogo wa Bomang'ombe, uliopo Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, umekuwa ukikua kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni. Hata hivyo, ukuaji huu umeletwa na changamoto kubwa ya uanzishwaji wa viwanda vidogo katikati ya makazi ya watu, jambo linaloathiri utulivu na maisha ya wananchi. Kumekuwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Iran yatumia video ya zamani ya Kiongoozi Mkuu Mojtaba Khamenei kuaminisha umma yuko hai

    Iran imetoa video ya zamani ya Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei akiwa hai, baada ya taarifa zinazodai kuwa alijeruhiwa vibaya katika shambulio la Marekani na Israel. Iran imeripoti siku ya Jumapili kwamba Mojtaba amekutana na rais wa Iran Masoud Pezeshkian, ambae anaanza mwaka wake wa...
  15. JamiiForums Tanzania Inaumiza sana Gaidi na Mhaini Nchimbi yupo Uraiani na Hai hadi mda huu.

    Nashindwa kuwaelewa kabisa hivi vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama viko wapi? Mtu anahamasisha watu wapiganie Katiba huu ni ugaidi na Uhaini wa wazi kabisa...Anataka kuiondoa serikali Tukufu iloyochaguliwa kwa Asilimia kubwa 98% Vyombo vya ulinzi vipo tu vinamuangalia huyu Mtu IGP, Mkuu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Hakuna atakayeondoka hapa duniani akiwa hai

    Kila nafsi iliyoonja uhai lazima itafikwa na umauti. Sisi sote tutakufa. Hakuna mtu atakayeondoka hapa duniani akiwa hai. Hii ni lazima na sio hitari. Sio mtoto sio mkubwa. Sio Kijana sio mzee. Sio mwanaume sio mwanamke. Sio mfalme wala mtumwa. Sio tajiri wala maskini. Sio mwerevu sio mjinga...
  17. JamiiForums Tanzania Leo kumekuwa na Nderemo, Vifijo, Hai hai na Sherehe JF. Hongereni Mods. Huyu jamaa asirudishwe tena

    Nmeona sehemu kadhaa watu wakifurahia na kunywa pombe toka asubuhi wakifurahia na kuchekelea kwa yule jamaa mbabe wa JF kufungiwa. Kwa kweli kumekuwa na utulivu kwa baadhi ya watu huku wengine wakifanya sherehe . Mod uliyefanya hivyo weka namba yako ya simu hapa yufanye tone tone. Chizi Maarifa...
  18. JamiiForums Tanzania Kama Ruge Mutahaba angekuwa hai basi Civilian-Coin angepata promotion nzuri ya nyimbo zake.

    https://youtu.be/BIVfUcyhhyc?si=cfesf42mJiog8DvH https://youtu.be/SkLvVyZveTI?si=8UOmuc6ldnXQXvqa
  19. JamiiForums Tanzania Je kuna kitu kingine kisicho hai tunachokula zaidi ya chumvi?

    Ni vipi hivyo?
  20. JamiiForums Tanzania Karibu sana Peter Msigwa, Roho yako ni Hai kwa CHADEMA, ila Mwili ndio Ulikua Dhaifu! Akili, Uwezo, Ubunifu, Busara zako sio za kukaa CCM, Pole sana!!

    Kwa Peter Msigwa, Akili, Uwezo, Ubunifu wake ndani ya CCM Ulikua ni 'Umefungwa'. Peter Msigwa nayemfaham yeye hawezi kaa kuvumilia Watu watekwe, Kuuwawa, Kusumbua Kanisa, Kufunga wapinzani Kufungia Chama , Maisha ya Mtanzania kua Juu, Gharama kupanda ,huku Mafisadi wachache wakijineemesha ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…