hadharani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi tokeni hadharani mjisafishe, kuhusu kuteka, kutesa na kutelekeza wanaharakati wa Kenya na Uganda

    Kuna habari zinaenea kuwa Jeshi la polisi liliwakamata, kuwatesa na baadaye kuwasafirisha Kwa njia ya barabara na kuwatekelekeza mipakani mwa nchi zao. Inasemekana Mwanaharakati wa Uganda aliteteswa na kutelekezwa mpakani km 30 kutoka border ya Mtukula pia Boniface Mwangi wa Kenya alitelekezwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kama kigogo wa juu wa chombo cha dola, bank statement yake inaanikwa hadharani huku ikionyesha miamala inayofanya watu wahoji; je, nini kinaendelea?

    Kuna kigogo mmoja ambae ni top boss wa chombo cha dola, bank statement yake imevujishwa na kusambazwa mitandaoni huku ikionyesha miamala mikubwa ambayo inaacha maswali ukizingatia yeye ni mtumishi/mwajiriwa wa serikali. Mimi namshauri atoke hadharani na ajibu madai hayo na kama ana biashara...
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Fainali ya CAFCC isipopigwa Taifa, Serikali itoke hadharani kuomba radhi

    Serikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho Toka 2023 huu uwanja ulifungiwa na kiasi cha billions 31 zilitokewa Kwa ajili ya ukarabati Fedha zote hizo...
  4. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI CHADEMA yamkataa Lissu Hadharani Mbele ya Heche

  5. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba SC itoke hadharani ijitenge na imkemee huyu mwanasiasa

    Kuna video clip nimeiona jana ya mtu ambaye inasemekana ni Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Geita, anayejulikana kama Manjale akiitumia timu ya Simba na mafanikio yake kukinadi chama chake. Hii video inatia kichefuchefu maana huyu bwana anaongea kama vile yeye ni kiongozi pale Simba...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania BAKWATA tokeni hadharani kukomea dhuluma za watawala

    BAKWATA ni Moja kati ya taasisi kubwa ya kidini hapa nchini Sijui jukumu lake ni kuangalia mwandam wa mwezi na kutangaza sikukuu ya Eid tu au kuchinja ngamia pale uwanja wa Biafra Kinondoni Kuna dhulumu za watawala wanatenda Kwa wapinzani ikiwemo kubambikizia kesi watu za uhaini, kunyima...
  7. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Inahitajika uwe na moyo mgumu kupinga Mila, tamaduni, dini za jamii yako achilia mbali kusema hadharani na vyombo vya habari

    Pongezi na pole ziende kwa Wachokonozi na huyu mwamba mpya anaitwa Chihonda. Hawa jamaa uwezo wao wa kuchallenge foundation za jamii kuhusu Imani na tamaduni zake inastaajabisha. Tena wanasema na kuongea hadharani.............
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nawaonea huruma Mikia. Leo ni kipigo tu kama sivyo nitafanya hivi hadharani

    Leo Simba. Watake wanafungwa, wasitake wanafungwa. Yaani wanapigwa ndani wanapigwa nje. Wanapigwa wakisimama wanapigwa wakikaa. Wanapigwa wakiinama wanapigwa wakichuchumaa. Wanapigwa wakilala wanapigwa wakikimbia. Hamna namna wanapigwa. Nasema hapa kama Simba hata wakipata draw leo mimi nakula...
  9. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Sheria ya uvutaji sigara hadharani Tanzania kwanini imepuuzwa?

    Heri ya sikukuu wakuu,naona kimya kila mtu kimyaaa.ila hata kama maisha magumu jamani pilau sio kitu cha kumnyima mtu Tuende kwenye mada Jamani hii nchi Uhuru umezidi.yaani watu wanavuta sigara barabarani ,kwenye misongamano tena mbele ya polisi. Watanzania sisi sijui ni upole au nini yaani...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Video: Papa Francis aonekana kwa mara ya kwanza hadharani kupitia dirisha hospitalini

    Papa Francis (88) amejitokeza kwa mara ya kwanza hadharani baada ya kulazwa kwa wiki tano kutokana na nimonia kali iliyohatarisha maisha yake. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki atatoa baraka kutoka Hospitali ya Gemelli, Rome, kabla ya kurejea Vatican kwa mapumziko ya miezi miwili. Daktari...
  11. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania CIA: Vituo vya Siri vya Operesheni za CIA Vilivyosambaa Duniani Vyatajwa kwenye Mafile ya JFK Yaliyowekwa Hadharani na Trump

    Nyaraka muhimu zinazohusu kifo cha aliyekuwa Rais wa Marekani John F. Kennedy ambazo Rais Trump ameruhusu ziwekwe hadharani zimetaja kwa kina Miji ambayo CIA wana vituo vya kuendeshea operesheni zao duniani. Miongoni mwa miji iliyotajwa kuwa na vituo hivyo kipo Nairobi nchini Kenya. Miji...
  12. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Steven Wassira kuitwa 'Tyson' aliwahi kuzipiga kavukavu na rafiki yake Kipenzi hadharani wakigombea...

    Siwezi kuandika hapa walichokuwa wakigombea ila itoshe kusema huyo bwanaalikuwani rafiki yake watangu utoto,diwani wamwananyamala enzi hizo,Bwana CBN,walukuwa maeneo ya Kinondoni Vijana Social Hall. Ghafla zilipigwa ngumi hatari. Kipindihicho Tyson yupo juu kimafanikio. Wasira alimtandika ngumi...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Manara: Karia na TFF yake wameonyesha chuki yao Kwa Yanga hadharani

    Nimekuwa nikimpiga mawe Manara hapa jukwaani kutokana na kauli na matendo yake yasiyo na staha, ila Kwa alichokisema Yuko sahihii Karia ana chuki na Yanga na anatumia taasisi zake kuhujumu Yanga hadharani Karia amekaa ushabiki na mapenzi Kwa Simba na kumfanya aache weledi ana aropoke ovyo...
  14. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Utapeli unaofanywa na Kampuni ya Songoro Marine wawekwa hadharani

    Kampuni ya Songoro Marine ya Ilemela jijini Mwanza inakabiliwa na tuhuma za kujipatia zabuni tatu za kujenga meli katika maeneo mbalimbali hapa nchini bila kuwa na sifa zinazohitajika kitendo ambacho kinatajwa ni cha uhujumu uchumi. Kampuni hiyo inayomilikiwa na Major Songoro ni miongoni mwa...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Waislamu 20 wakamatwa kwa kula hadharani wakati wa Ramadhani

    Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria wamewakamata Waislamu 20 waliokutwa wakila mchana hadharani wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ambapo pia Watu watano wamekamatwa kwa kuuza chakula huku Naibu kamanda wa Polisi Mujahid Aminudeen akisisitiza kuwa msako huo utaendelea...
  16. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Trump aingiwa na ubaridi. Amtaka Zelensky amuombe radhi hadharani ili arudishe uhusiano na Marekani

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema anataka Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amuombe radhi hadharani ndipo atakubali kurudisha upya uhusiano kati ya Marekani na Ukraine baada ya Viongozi hao wawili juzi kuzozana mbele ya Waandishi wa Habari katika Ikulu ya Marekani (White House) kitendo...
  17. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Ladha ya ndoto yako itapotea pindi utakapoiweka hadharani

    Ndoto yako ukiitangaza kwa mtu au watu ni ngumu sana kuitimiza kwasababu tayari ushaitimiza kwenye matangazo yako. Ladha ya ndoto yako itapotea pindi utakapoiweka hadharani. Hutotamani kuendelea nayo kwasababu tayari umeitangaza kwa watu na imepoteza ladha kwenye moyo wako, na mbaya zaidi...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania DOGE yaweka hadharani vikundi vya magaidi vilivyokuwa vinafadhiliwa na USAID

    Kulingana na Elon Musk kupitia DOGE yake hivi ndivyo vikundi vya magaidi vilivyokuwa vinafadhiliwa na USAID! Utapeli mtupu.
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Mbele ya Rais Samia, Mbunge wa HandenI atangaza kuoga hadharani pindi mradi wa maji wa jimboni kwake utakapomalizika!

    Wakuu, Harakati za ku-please wananchi katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye kampeni zinaendelea. Mbunge ambaye alikuwa ana miaka 5 ya kuwaletea maji wananchi leo hii anasimama mbele ya Rais anasema kabisa kuwa siku maji yakija ataoga hadharani. Mbunge wa Handeni akiwa anaongea mbele ya Rais...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania kueleka mfungo wa imani ya kiislam nimesikia kuna watu wanasema tusile hadharani kwanini wafuasi wa dini ndiyo wasifunge hadharani

    Nimesikia baadhi ya waislam wenye uelewa finyu wanapangia watu wengine wasile hadharani kwenye mfungo wao kwanini wao ndio wasifunge hadharani. Mtu mwenye akili ndogo anazani kufunga kuna husiana na masuala ya chakula tu na ubwabwa inasikitisha sana kwa mtu kuwa na uelewa mdogo hivi. Mtu...
Back
Top Bottom