habari

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa wenye kujua kozi gan nzuri kati ya Tourism managent an markerting, BAGES au IT application and management

    Tafadhali msaada kwa wenye kujua...halafu ni ipi kwa hapo ipo marketing
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Habari zakutisha, Marais wawili wa mataifa makubwa kiuchumi hawajulikani walipo ila mmoja inasemekana kapinduliwa

    Igweeee. Jamani huko duniani taifa linaongoza kutoa simu za kila aina ya majina na michezo ya watoto, inasemekana jeshi limempinduwa kwa makosa ambayo bado hayajatajwa. Japo za kunyapia nyapia inasemekana mpango wa Urusi kutumia bomu la nyukilia limekuwa kitufe cha moto kwa washirika wake...
  3. JamiiForums Tanzania Habari hizi za kimataifa kwa manufaa ya nani hapa Tanzania?

    Wakongwe wa tasnia ya habari akiwemo mkuu Pascal Mayalla mtanisaidia kujua ukweli wa hili. Kwa muda mrefu redio na TV zimekuwa na hizi habari wanazoziita za kimataifa na wakati mwingine wanavuka na kuzichambua kabisa, kiukweli Sina Shaka na hilo, lakini Shaka inakuja wanatuletea habari za...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za juu zimeamuru takadini afunguliwe na TFF, cheo cha u-afisa habari hichoooo, pole sana Karia

    Naam Takadini alicheza kama pele kuchelewesha mchakato wa kumpata afisa habari wakati huohuo mamlaka za juu zikifanya kazi yake kuamuru afunguliwe haraka sana. Sasa ni wazi Sope takadini ndiye anaenda kuwa afisa habari wa yanga kwani vile vigezo vilivyoanishwa na team hiyo anavyo vyote tena...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wakati tunasubiri ni afisa habari gani wa Yanga atachaguliwa na Manara tuwe na subira

    Watu wametuma maombi wengi kwelikweli lakini ni lazima THE GENIUS HAJJ MANARA msomi mwenye degree mbili moja ya media toka south africa na moja ya political science toka china aridhike na kumpitisha Ikumbukwe kwa muda mfupi mshabiki huyo kindakikindaki aliyejiunga yanga miezi kadhaa iliyopita...
  6. JamiiForums Tanzania Simba, Yanga, na vilabu vyote, vitengo vyenu vya habari vijiongeze vifanye majukumu yao kikamilifu

    Kila siku huwa najiuliza hivi ni kweli hivi vilabu vyetu vina vitengo kabisa vya habari na mawasiliano? Au ukishakuwa na smartphone na kujuwa kubwabwaja na kupost mipasho ndio imeisha hiyo? Mimi Leo naomba niwaongeze ili msijizime data mjiupdate, wachezaji masuper star majina yao yanatumika...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote kwenye Kampuni au Hoteli

    Habari wana JF, Jamani natafuta kazi yeyote Kiwandani au Hotelini,, Naombeni Connection Nipo tayari, namba zangu ni 0676795851 au 0744795851
  8. JamiiForums Tanzania Nauli ya treni kutoka Dar kwenda mwanza

    Wakuu habari za usiku ,naombeni mnisaidie bei ya nauli kutoka dsm mpaka mwanza n bei gani na nitatumia siku ngapi njiani
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wavuvi: Hii habari ya Sangara/Sato kuhifadhiwa na chloroform ni ya kweli

    Akihojiwa na Sexless , mvuvi (jina kapuni) amesema "Sato na Sangara wana minofu mikubwa kutokana na maumbo yao. Mara nyingi wamekuwa wakioza wanaposafirishwa toka Mwanza mpk mikoa mingine kwa kuwagandisha na barafu". "Lkn maji ya kuoshea maiti (chloroform) yakitumika samaki hao hufika popote...
  10. JamiiForums Tanzania Nape ashauri TCRA iunde kanuni ya kusimamia na kukuza maudhui ya ndani

    Kikao hiki kimefanyika kwa siku mbili ambapo jana Septemba 15, 2022 wadau walilalamikia baadhi ya sheria kuminya uwanja wa ubunifu na utengenezaji wa maudhui shindani. kwa upande mwingine, wadau wa maudhui walieleza kutokuwa na uwezo wa kulinda kazi zao, kutafuta vyanzo vya mapato na kuziweka...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini vyombo vingi vya habari siku hizi vinareport sana matukio ya Mauaji na Vifo?

    Niende moja kwa moja kwenye hoja, siku za hivi karibuni kila ukiingia mitandaoni kama Instagram, YouTube, twitter, na hata hapa jamii forums, au ukiangalia channels nyingi za habari hapa Tanzania lazima ukutane na taarifa nyingi za mauaji ya kikatili au watu kujiua (suicide). Kwanini vyombo vya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yapotosha ukweli wa Xinjiang kwa kutunga habari za uwongo

    Chuo Kikuu cha Stanford cha Marekani hivi karibuni kilitoa ripoti iliyofichua kuwa Marekani inatumia mitandao ya kijamii kupotosha maoni ya umma duniani kuhusu Xinjiang. Ripoti hiyo iliyotolewa kwa pamoja na Chuo Kikuu cha Stanford na Kampuni ya Uchambuzi wa Majukwaa ya Kijamii Graphika...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Shukrani zangu za dhati kwa Wana JamiiForums, nimepona

    Habari zenu wanajamii Ninauleta uzi huu nikitoa shukrani zangu za dhati kuishukuru forum hii kwani mwaka jana mwezi wa tano nilisumbuliwa sana na vipele kama rashes flani hivi Nilitumia dawa mbalimbali ila si zote ila kupitia forum hii nilipata dawa humu humu na asubuhi yake nikaenda kununua...
  14. JamiiForums Tanzania Kama una ndugu yako anahitaji Kazi/Ajira sheli kuuza mafuta Mdada au Mmama mjuze habari hii

    Kuna nafasi ya Mwanamke/Mdada Sheli Kama unamjua Mtu anayejiheshimu ,smart na yupo tiyari kufanya Kazi mpe habari Unakuja PM Mshahara unajulikana Update Wamepatikana watu tyari so nafanya nao mazungumzo ili waweze kufika kazini Kama watapendezwa na salary
  15. JamiiForums Tanzania Dar: Kundi la WhatsAppp lamfikisha Mwanahabari Maria Victor Mahundi mahakamani

    Alikamatwa Mei 2020 na kukaa mahabusu ya polisi Central kwa siku 14 kwa amri ya utawala wa awamu ya tano kwa tuhuma za kuposti taarifa za wagonjwa wa Covid19 kukimbia Amana Hospital. Pamoja naye Mhariri na Mkurugenzi wa Raia Mwema Mbaraka Islam naye alikamatwa na wote walipekuliwa nyumbani...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Visit visa ya canada 🇨🇦

    Habari wakuu, Naomba msaada wa kujua je, unaeza pata visit visa ya Canada then ukifika nchini humo ukapata kaz ukabidili kuwa work. Naombeni mchango wenu kwenye hili ni muhimu sana.
  17. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Tanzania kuna uhuru wa vyombo vya habari?

    Nimemsikiliza Shaka akiwa anaongea leo amesema kua Rais Samia Suluhu anastahili pongezi kwa kutoa uhuru kwa wananchi kutoa maoni yao, ushauri na kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari, Ni kweli Tanzania sasa inauhuru wa vyombo vya habari maana magazeti mengi yanaandika kuikosoa serikali kitu...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Raia Mwema siku hizi linaandika habari kishabiki sijui limepatwa na nini?

    Kama kichwa ha habari kinavyojieleza hapo juu, gazeti hili la raia mwema lilijengea umashuhuri kwa kuandika habari nzitonzito zilizofanyiwa uchunguzi wa kina, na hivyo likaaminiwa sana na umma wa watanzania. Ila kwa sasa hali ni tofauti sana. Limekuwa likiandika habari kishabiki na kwenda...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa zana za ufundi selemala

    Habari zenu waungwana, Naomba msaada wa kujuzwa ni vifaagani muhimu nahitaji ili kuanza kijiwe changu cha ufundi Selemala na bei ya tool husika ili niweze kuandaa badget.
  20. JamiiForums Tanzania Njia ya haraka ya kutuma pesa kutoka Sudani kuja Tanzania

    Habarini wakubwa, ni njia ipi ya haraka Ya kutuma pesa kutoka Sudani kuja Tanzania?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…