habari

  1. Afisa wa Mahakama atuhumiwa kumuua mwandishi wa habari Misri

    Afisa wa Mahakama Nchini Misri anatuhumiwa kumuua mkewe ambaye ni mtangazaji wa runinga, Shaima Gamal, aliyepotea wiki tatu zilizopita, chanzo kikitajwa ni mgogoro uliokuwepo kati yao. Gamal alionekana mara ya mwisho siku 20 zilizopita katika sehemu yenye maduka makubwa akiwa na mumewe. Mwili...
  2. Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu yasema uwekezaji umeongezeka kutokana na Royal Tour

    Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu yazungumzia matokeo ya ziara ya Rais nchini Oman na matokeo ya filamu ya Royal Tour. Uwekezaji watajwa kuongezeka ikiwemo wawekezaji wanaotaka kuwekeza Serengeti, Kilimanjaro na Dar es Salaam na muwekezaji huyo ameshawasiliana na kituo cha uwekezaji...
  3. Waandishi wa Habari wa Tanzania na Wachambuzi wa Michezo wangekuwa na Akili Kubwa kama za Shaffih Dauda ningewaheshimu mno

    Natamani kuandika andiko la pongezi kwa ubingwa wa 28 kwa Wananchi lakini nasubiri picha ya Mwenyekiti wa klabu, Dr Mshindo Msolla Mwenye picha ya Mwenyekiti akiwa na kombe hata kama imepigwa kwa simu naomba tafadhali Hata mwenye picha ya Kocha Nabi akiwa na kombe naomba. Chanzo: Shaffih Dauda...
  4. P

    Wauzaji wa Kemikali mbalimbali nchini Tanzania

    Habari Kwa mahitaji ya chemicals mbalimbali, kama vile, ▶️CAUSTIC SODA ▶️HYDROGEN PEROXIDE ▶️SULPHURIC ▶️ACTIVATED KABONI ya (india,Philipines na usa) ▶️SODIUM CYNIDE ▶️SULPHONIC ▶️CAUSTIC SODA ▶️NITRIC ACID ▶️FORMALINE ▶️SODA ASH ▶️CMC (sodium methyl cellulose) ▶️SODA ASH ▪️TITANIUM DIOXIDE...
  5. Naomi Osaka kuja na Kampuni yake ya Mawasiliano ya HanaKuma

    Sijui vijana wetu wa Kitanzania wanafeli wapi. What Is 'HanaKuma' And Why Are KoT Losing Their Heads Over It? Tennis superstar Naomi Osaka during a past tournament. PHOTO | COURTESY HanaKuma, according to Osaka, means “flower bear” in Japanese; and while that sounds cute and all, it has a...
  6. Mahakama itoe semina maalumu kwa waandishi wa habari namna ya kuripoti habari za kimahakama maana wanapotosha na kuzua taharuki katika jamii

    Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi. Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo. Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa...
  7. M

    Mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji na kidonda kutunga usaha anaweza kutumia antibiotic?

    Habari, naomba kuuliza kwa mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji na kidonda kutunga usaha anaweza kutumia antibiotic mf. Amoxlinclav na metronidazole ukakauka
  8. Mabaharia wana umuhimu gani katika uokozi na usalama majini?

    Wakuu habari zenu. Hivi mabaharia wana umuhimu gani katika suala la uokozi na usalama majini?
  9. Manara anazungumza na vyombo vya habari

    JAMANI mnyamwez ndo anahutubia TAIFA hivi sasa karibuni tu DIGEST spichi yake
  10. Baada ya Mwandishi Manyerere Jacton kueleza kinachoendelea Ngorongoro, sasa ndio naiamini Serikali, Wanahama kwa Hiyari

    Wanabodi Kunapotokea mgogoro wowote na kutokea sintofahamu yoyote inayowaweka wananchi kwenye njia panda, waamini lipi, kama kinachoendelea Ngorongoro, independent media ikiripoti hali halisi ya kinachoendelea, kitu hicho kinachoripotiwa huwa ndio ukweli halisi. Asubuhi hii nilikuwa naangalia...
  11. Arusha: Mwandishi wa habari mwingine adaiwa kupelekwa kusikojulikana

    Breaking News: Mwandishi wa Habari Mkoani Arusha, Lilian Oddo ambaye anafanya kazi na mwandishi wa Wasafi tv Bw. profit Mmanga, na yeye amekamatwa akiwa maeneo ya darajani/vibandani njia ya kwenda Kwa Morombo Jijini Arusha, na amepakiwa kwenye gari nyeusi ambayo ndani yake yupo Profit, bado...
  12. Nape aagiza waliozusha umeme kupanda bei hatua zichukuliwe

    Baada ya taarifa kusambaa kuwa bei ya umeme imepanda, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameagiza wote waliozusha kuhutu taarifa hizo hatua zichukuliwe. "Uenezaji wa taarifa za uongo kiasi hiki ni uchochezi wenye lengo la kujenga chuki dhidi ya TANESCO na...
  13. Tunisia; Mwandishi wa habari kizuizini kwa kutoa maoni kumhusu Rais

    Polisi nchini humo wanadaiwa kumshikilia mwanahabari Salah Atiyah kwa kutoa maoni katika mahojiano ya televisheni kwamba Rais Kais Saied alilitaka jeshi kufunga makao makuu ya chama cha wafanyakazi cha UGTT na kuwafunga viongozi wa upinzani kifungo cha nyumbani Waendesha mashtaka wa jeshi...
  14. S

    Sakata la Ngorongoro: Tundu Lissu adai vyombo vya habari vimetishwa na kunyamaza

    Kayasema haya kupitia mtandao wa twitter masaa mawili yaliyopita:
  15. Waingereza wawili na Mmorocco waliokamatwa na jeshi la Urusi wahukumiwa kifo

    Waingereza wawili na mwanamume mmoja wa Morocco waliokamatwa na vikosi vya Urusi nchini Ukraine wamehukumiwa kifo, shirika la habari linalomilikiwa na Urusi RIA Novosti linaripoti. Aiden Aslin, 28, kutoka Nottinghamshire, Shaun Pinner, 48, kutoka Bedfordshire, na mtu wa tatu, raia wa Morocco...
  16. T

    Habari za uongo kuhusu mafanikio ya Royal Tour

    Kama wanavyosema watu kwamba ujinga ni mtaji mkubwa sana wa Wanasiasa hasa wa Africa na zaidi Tanzania. Ukizingatia kwamba ujinga bado ni tatizo kubwa sana kwa Tanzania, wanasiasa wanachofanya ni ku'capitalize' kwenye ujinga wa Watanzania. Mtu akishakujua wewe ni mjinga maana yake hata akiamua...
  17. Mwandishi wa Habari raia wa Ufaransa auawa kwa bomu katika vita Nchini Ukraine

    Mwandishi wa Habari wa Ufaransa Frédéric Leclerc-Imhoff (32) ameuawa kwa kupigwa risasi nchini Ukraine. Leclerc-Imhoff alikuwa akifanya kazi katika Shirika la habari la BFM TV na alikuwa nchini Ukraine kutangaza hali halisi ya vita ikiwemo uokoaji wa watu. ------ A French journalist has been...
  18. Fahamu kuhusu UGONJWA wa Monkeypoxy unao tikisa vichwa vya habari DUNIANI

    WHAT IS MONKEY POXY DISEASE?# A pandemic disease!!!!& THE ONES WHICH MAKE HEAD LINES IN CNN AND OTHER TELEVISION CHANNELS IN THE WORLD. Tap the link below for more information from WHO Monkeypox .
  19. serikali ipige stop vyombo vya habari vya kimataifa vinavyorusha habari kwa Kiswahili

    Wadau naleta hili kwenu, kwa sababu naona vyombo hivi siku izi watangazaji wake wengi ni wa Kenya, na wamekuwa na kiswahili cha ajabu ajabu sanaa sio kiswahili ichi chetu cha Tz Hawa jamaa wana misamiati yao ajabu ajabu sanaa mfano mufti mufti, venye, n.k ...hii misamiati haipo kabisa hapa...
  20. Waandishi wa Habari 13 waswekwa rumande ndani ya wiki moja nchini Ethiopia

    Waandishi wa habari 13 wamedaiwa kuwekwa vizuizini nchini katika eneo la Amhara Ethiopia ndani ya wiki moja hatua iliyoonekana kama ukandamizaji wa sauti muhimu, za wanaoripoti kuhusu mgogoro uliopo katika eneo hilo Inaelezwa kuwa Mei 23, 2022 Siku ya Jumatatu, viongozi wa Amhara, eneo la pili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…