habari

  1. JamiiForums Tanzania Marekani Yamnyanyasa Mwandishi wa Habari Raia wa USA Aliyekuwa anaripoti Habari za Matukio ya Vita Iran

    My Take Tulikubaliana kwamba Nchi Zenye Demokrasia na Katiba Mpya Huwa hazinyanyasi watu wakiwemo waandishi wa habari na kwamba huko mambo ni saaaafi kabisa ,hii vipi tena wajameni? 😂😂😂😂 Chadomo mpo? Mkileta ukibaraka mshughulikiwe bila huruma...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Kakonko tulisainishwa fedha za kujikimu TZS 80,000 kwa siku ila tunaambiwa tutalipwa TZS 60,000

    Mimi ni mwajiriwa mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko, mkoani Kigoma. Wakati wa kusaini nyaraka za malipo ya fedha za kujikimu, kila mmoja wetu alisaini kiasi cha TSh 80,000 kwa siku kwa muda wa siku saba. Hata hivyo, baadaye tulipigiwa simu na kuambiwa kuwa kiwango hicho kimepunguzwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wanaongea na waandishi wa habari

    https://www.youtube.com/live/B0XpN97VAG4
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Mange Kimambi: Kuwa makini na vyanzo vya habari; CCM wana mbinu nyingi za diversion.

    TL;DR (Kwa ufupi): Wito kwa Mange Kimambi kuwa makini na vyanzo vyake vya habari kwani CCM wanatumia mbinu ya "Diversion" na masalia ya wasaliti wa ndani ya CHADEMA (aina ya kina Yericko) kuvujisha habari za uongo (mafamba) kuhusu migogoro ya kufikirika ili kusambaratisha wanamageuzi, kama...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Tayari tulikuwa na taarifa mpango wa viongozi kulipwa kuzungumza na waandishi wa habari kuichafua chama

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 10, 2026 wakati akiwasilisha maadhimio ya Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Katibu Mkuu wa Chama, John Mnyika, ametoa ufafanuzi kuhusiana na baadhi ya viongozi wa chama hicho ikiwemo katibu wa CHADEMA Mkoa Morogoro kusimamishwa kazi...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanatoa tamko mbele ya Waandishi wa Habari, leo Julai 10, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=m-kVFwmIRKE "Ile ile kauli ya Rais ambaye sisi hatutambui uchaguzi wake ya kusema kwamba wanaharakati wanafanya ugaidi. Ni kauli hatari sana ikiachwa ilivyo na watetezi wa haki kote nchini. Na mimi nasema haya kwa sababu kutokana na taarifa za maandamano ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Martin Masese: Waandishi wa habari wanajua umuhimu wa Siasa ila wamechagua kuwasaliti wananchi

    Kizazi cha Waandishi wa Habari Takamwili Kuna tofauti kati ya mtu asiyejua (mjinga) na mtu anayechagua kutokujua kwa manufaa yake binafsi (mnafiki). Huu ni ugonjwa wa njaa ya njaa ya akili na tumbo (tumbo-centric journalism). Waandishi hawa sio kwamba hawajui umuhimu wa siasa; wanajua kuwa bei...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Kwanini waislamu wote wanawaita waKristo makafiri??

    Swali hili linakuja baada ya kugundua kuwa asilimia 100% ya waislamu husema kuwa wanamwamini YESU KRISTO ambaye wao wanasema ni Issa bin Maryam lakini wanawaita waKristo makafiri wakati hao waKristo(sisi) msingi wa Imani yao ni YESU KRISTO. Kwa maana hiyo waislamu hudai waKristo(sisi) Wana Imani...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Dhambi ni tamu - tupate habari zaidi

    Dhambi ni tamu - tupate habari zaidi Dhambi ni Nini Dhambi ni tendo, hisia, au wazo lolote linalopingana na viwango vya Mungu. Inatia ndani kuvunja sheria za Mungu kwa kutenda mabaya, au ukosefu wa uadilifu, kwa maoni ya Mungu. (1Yohana 3:4; 5:17). Biblia pia inaeleza kuhusu dhambi ya kutofanya...
  10. JamiiForums Tanzania Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu,

    Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu, maadili mema na nia ya kujenga uhusiano wa kweli unaoweza kuishia kwenye ndoa. Umri ninaopendelea ni miaka 20 hadi 32. Ninaamini uhusiano mzuri huanza...
  11. JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki: Katambi na Vyama vya Siasa Kainerugaba na Vyombo vya habari. Tunaelekea wapi?

    Huku waziri aloteuliwa na Samia akifungia vyama vya Siasa, Mtoto wa Rais wa Uganda amefungia vyombo vya habari. Kisa mtangazaji wake alihoji kutata kujua kama Janeth Mke wa Museven amekufa huko Marekani au yupo hai. Mnamo Machi 21, 2026. Yoweri Museveni alisema kwaamba ana hofu kubwa juu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Fursa ya Uwekezaji kwenye Biashara ya Samani (Furniture) - Dodoma

    Habari wana JamiiForums, Mimi ni fundi mbobevu wa samani (furniture maker) na mwanzilishi wa chapa ya Heritage Style. Natafuta mwekezaji anayependa kushirikiana nami katika kukuza biashara ya samani bora jijini Dodoma. Nina uwezo na utaalamu wa kutengeneza samani za kisasa zenye viwango vya...
  13. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Waandishi wa habari kama kuna kasoro andikeni Serikali itafanyia kazi

    Akijibu maswali ya waandishi wa habari mbali mambo mengine bwana Msigwa aliwaambia waandishi hao kuwa kama kuna kasoro waandike na serikali itafanyia kazi. Mojawapo ya kasoro kubwa ambayo ipo na vyombo vya habari vya Tanzania haviandiki, havisemei au hata kufanya uchunguzi (documentary) ni...
  14. T

    JamiiForums Tanzania TUACHANE NA HABARI YA KUPIGA MARUFUKU MIKUTANO YA KISIASA. CHA MSINGI TUJADIRI MAANDAMANO YA 7/7 NA KUSISITIZA UMUHIMU WAKE

    Kwa wale wapenda nchi na haki naomba tujadili jinsi ya kufanikisha maandamano ya 7/7. Ishu za kuwaongelea hao viongozi fake ni kupoteza muelekeo kabisa. Na wanataka kututoa katika reli. Tuanze kutumia muda mwingi kujadili matamko yao. Hapa ishu ni moja tu. Je tumesalenda kwa matamko yao ama...
  15. JamiiForums Tanzania Netanyahu kwisha habari yake.

  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwalimu Mzumbe-Morogoro anafanya Elimu kuwa Biashara

    Kuna Mwalimu chuo kikuu mzumbe ndani ya Morogoro anafanya elimu Kama Biashara anatoa assignment ambayo tunatakiwa kuondoka Zaidi ya page 80 Na haturuhusiwi kuprint eti tukusanye softcopy Kwa CR's ndio wakaprint kwenye stationary yake tu yeye bila kuprint kwake unapata ziro imagine me Na printa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Ulanga: Rais wetu anapokwenda kwenye nchi nyingine ni Branding, inaleta manufaa kwenye uwekezaji na utalii

    Mkurugenzi wa Biashara ya Kimataifa na Diplomasia ya Uchumi katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi John Ulanga, akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 cha Clouds Media leo Juni 22, 2026, ameeleza kuwa ni Ziara za Rais nje ya nje ya nchi au Viongozi wengine...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Serengeti imekuwa ikiinufaisha Arusha kwa miaka mingi, Ujenzi wa uwanja wa ndege unawapa hofu kubwa sana ndio maana hoja haikauki bungeni

    Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Kabla ya kufika 7/7 kutaibuka vikundi vya kila aina vikiitisha wana habari kujifanya wanakemea maandamano.

    Kinachoendelea sasa ni kufuja pesa kwa kila mtu na kukusanya watu wakila aina wakijifanya wanakemea maandamano. Usijeshangaa kutaibuka kila umoja sijui wa wapi,umoja wa nini,mpaka umoja waokota makopo. Mfano ni huu na nani anawatuma.
  20. JamiiForums Tanzania October 29 Ilichangiwa na Kauli Mbofu Mbofu za Viongozi Kinyume cha Maadiili!, Je Media Tuwaripoti Bila Uoga ili Secretarieti ya Maadili Iwakemee au?

    Wanabodi, Kile kilichotokea October 29 kilichangiwa na kauli mbofu mbofu za baadhi ya viongozi wa umma ziko kinyume cha maadiili ya viongozi wa umma!, Je Media tuwaripoti viongozi hao bila uoga na Secretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, ianze utaratibu wa kuwakeme kama afanyavyo Msajili wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…