habari

  1. JamiiForums Tanzania Usiwe mwepesi wa kumchukia mtu kwakusikia tu habari zake bila kuuthibitisha ukweli

    Usifanye makosa ya kumchukia mtu kwa kusikia tu habari zake au kwa kumfikiria vibaya . Unaweza ukakutana na huyo mtu ukagundua yupo tofauti kabisa na ulivyosikia kuhusu yeye , ulivyoambiwa , au ulivyomfikiria. Wapo watu wana tabia ya kusambaza sumu ya uadui kwa watu wengine.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kocha Fadlu umefedhehesha brand ya Simba, hukupaswa kusema Yale kwenye vyombo vya habari pengine na wewe umechangia kutuangusha

    Jana wakati anahojiwa na Media, Fahdu anasema Simba Haina wachezaji wenye quality kama Yanga, ina maana Israel Mwenda, Boka, Wana quality kubwa sana kushinda Kapombe na Shabalala, matatizo ya ndani ya timu kiuongozi ndio unahamisha kwenye quality ya wachezaji, kwani ulikuwa una ulazima Gani...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Trump avishambulia vyombo vya habari, CNN na New york times

    Maandishi yake mwenyewe....
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tupeane habari za mvua: Mvua maeneo ya hapo ulipo mvua ikoje

    Mwambao wa pwani, Hapa toka jana 24/6/2025 saa mbili USIKU ni mvua mpaka SASA HIVI leo. Usiku mzima ilikuwa ndogo ndogo. Since morning up to now, it has been raining cats and dogs
  5. K

    JamiiForums Tanzania Waisrael weusi wanasema hii habari sio kweli huku wakiumia, sijui shida nini?.

  6. JamiiForums Tanzania Naomba msaada nikifungua X (Twitter) inanipa option ya ku verify na nikibofya haikubali?

    HABARI WAKUU NAOMBA MSAADA WA KUFUNGUA TWITTER KILA NIKIFUNGUA INALETA NI VERIFYING ILA NIKIJALIBU HAIKUBALI SHIDA NINI WAKUU HAPO?
  7. JamiiForums Tanzania Habari

    https://vm.tiktok.com/ZMSHAXwhL/
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia aalikwa kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika Julai 14 – 17, 2025

    Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 14 hadi 17 Julai 2025. Mkutano huo utafanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC). Mgeni Rasmi aliyealikwa kufungua mkutano huo wa kimataifa ni Rais wa Jamhuri ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mama ana changamoto ya kiafya, anahitaji mkopo wa fedha kwa dhamana ya nyumba

    Habari wanajamii Forum Natumain muhali njema na majukumu ya kila siku. Nia na madhumuni ya uzi huu ni kuwa kama mwanajamii mwenzenu nimekuja kuomba msaada wa mawazo na majibu juu ya hili. Mzazi wangu anachangmoto ya kiafya inayohitaji fedha nyingi tuu kwajili ya matibabu, kwa bahati mbaya Hana...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Jamani, wale vijana wa Arusha (WACHOKONOZI) waliotekwa jana kuna habari za kupatikana kwao?

    Jamani wale vijana wa Arusha wamepatikana? MWenye habari zao atujuze PRELUDE: WAMEPATIKANA WAKO SALAMA POLISI AS WE SPEAK NOW, LABDA KAMA WATAKUWA WAMETESWA HUKO HUKO POLISI
  11. JamiiForums Tanzania Habari natafuta rafiki wa kike

    Naitwa John Umri wangu 28 Kabila msukuma Natafuta RAFIKI wakike Ambae Tunaweza kushare mambo Mbali Mbali awe na Umri kuanzia 23/35 Ambae yupo Tayari Aje PM
  12. JamiiForums Tanzania Mods Tuanaomba habari zote za , "Wanao mdai Mama Samia "ziwekwe kwenye uzi Mmoja hapa Jf.

    Mods Tuanaomba habari zote za , "Wanao mdai Mama Samia "ziwekwe kwenye uzi Mmoja hapa Jf.
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Mods Tuanaomba habari zote za Vita ya Israel na Iran ziwe kwenye uzi Mmoja. Zimegeuka kero hapa JF

    Mods tunaomba hizo habari za Vita ya Israel na Iran ziunganishwe kwani zimekuwa kero na nyingi ni za uongo. Nawasilisha.
  14. JamiiForums Tanzania Emmanuel Ntobi ateuliwa Naibu Waziri kivuli wa habari ACT Wazalendo

    Kada wa ACT Wazalendo, Emmanuel Ntobi ameteuliwa kuwa Naibu Msemaji wa Sekta ya Habari, Mawasiliano na TEHAMA kwenye Baraza Kivuli la ACT Wazalendo. Uteuzi huo umefanywa leo Juni 17, 2025 na Kiongozi wa Chama Dorothy Semu. TAARIFA KWA UMMA Kiongozi wa Chama, Ndugu Dorothy Manka Semu leo Juni...
  15. JamiiForums Tanzania Mkutano wa John Heche na Waandishi wa Habari ni Chadema kujichanganya kisheria. Usiri wao utawagharimu

    Kuna taarifa kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche atazungumza na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam. Chadema imeamua kufanya mkutano huo kwa siri, usiri huo utawaponza hasa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Israel yaweka udhibiti mkali wa taarifa kuhusu vita yake na Iran

    Kama Israel inashinda hii vita na kweli inazuia mashambulizi dhidi ya Iran, Kwanini inazuia media kutoa taarifa? Hadi channel za YouTube zimezuiliwa kurusha matangazo upande wa Israel. Hii inamaana kutakua na mchujo mkubwa wa habari. Na huwenda tutakua tunadanganywa sana upande wa Israel...
  17. JamiiForums Tanzania HESLB na NIDA kushirikiana kuwatambua waombaji mikopo kupitia NIN

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) leo Ijumaa Mei 16, 2025, wamefanya kikao na waandishi wa habari katika ofisi za HESLB Kanda ya Mashariki zilizopo Dar es Salaam kwa lengo la kuutarifu umma kuhusu kuanza kushirikiana kuwapatia namba...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma na kuzungumza na wananchi Juni 14, 2025

    Rais Samia akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025. https://www.youtube.com/live/TgN_32Yqzlo?si=JWFkm-rF1pIErqq9 ==== Rais Samia ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa Dodoma yenye urefu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Alloyce Nyanda ateuliwa kuwa Afisa Habari wa ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE

    Mtangazaji nguli wa medani za Siasa Ndg Aloyce Nyanda ameteuliwa kuwa msemaji wa Chama cha ADC kuanzia leo ambapo uteuzi wake umeanza leo baanda ya Mwenyekiti wa Chama hicho cha Siansa MH. SHAABAN HAJI ITITU kumteua na Ndg ALLOYCE NYANDA, ameomba suala hilo la yeye kukubali ama kukukataa...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ruhusa maalumu kwa Uongozi wa Juu JamiiForums ya Mimi uzalendo wa Kitanzania kutoa habari za Israel itakaitandika Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Nawasilisha Kwa unyenyekevu mkubwa.I'm sure things will start happening sometime before next week. I will share timely updates as events unfold.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…