ITV Tanzania na kidokezo bila habari kamili

ITV Tanzania na kidokezo bila habari kamili

A Father

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2012
Posts
1,390
Reaction score
609
Taarifa ya HABARI ITV SAA 2 usiku wa tarehe 14/04/2025 imenishangaza na kuniachia swali mbona kimepitishwa kidokezo pekee bila kusomwa habari ya serikali kupiga marufuku masomo kuendelea likizo?
Screenshot_20250414-233739.png
 
Itakuwa ilikuwa haijakamilika kurushwa hewani
 
Back
Top Bottom