habari njema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Habari Njema: Nafasi ya kupata semina kwa njia ya mtandao

    Rafiki yangu mpendwa, Kwa muda sasa tumekuwa tunakupa habari njema za SEMINA YA USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI 2024. Hii ni semina inayokwenda kukujengea ujuzi wa aina tatu; KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha ili kuwa na maisha huru. Semina hii inafanyika tarehe 27/10/2024 Mbezi Garden Hotel Dar...
  2. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Habari njema: Venezuela yaalikwa mkutano ujao wa BRICS+

    Mshindi wa kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu uliomalizika juma lililopita nchini Venezuela, Bwana Nicholas Maduro amepewa mualiko wa kuudhuria mkutano mkuu wa BRICS(jumuiya mpya inayokuwa kwa kasi zaidi duniani), utakofanyika katika mji wa Kazan-Urusi mwezi Oktoba mwaka huu. Mualiko huu unaweza...
  3. L

    JamiiForums Tanzania IMF kuinua makadirio ya ongezeko la uchumi wa China ni habari njema kwa uchumi wa dunia

    Hivi karibuni Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liliinua makadirio ya ongezeko la pato la taifa la China kwa mwaka wa 2024, kutoka asilimia 4.6 za awali hadi asilimia 5, hatua inayoonesha imani ya jumuiya za kiuchumi za kimataifa kuhusu uchumi wa China. Makadirio haya pia yameongeza matumaini...
  4. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Habari Njema; Nimeidhinishwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Kutoa Elimu ya Fedha

    Rafiki yangu mpendwa, Nimekuwa napenda utajiri tangu nikiwa mtoto mdogo. Nakumbuka niliwahi kumwambia mama yangu kwamba kwenye maisha yangu lazima nitakuwa tajiri. Alicheka na kuniambia ni utoto tu unanisumbua. Nikiwa shuleni nilifuata vizuri ile kanuni maarufu ya NENDA SHULE, SOMA KWA BIDII...
  5. Mr Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa wanafunzi wote sekondari zaidi form 4 pamoja na walimu wa biology

    Nimekuandalia notice nzuri sana za biology ambazo zina kila maudhui yanahitajika kwa ajiri yako ndani yake topic zote zinazotoka kwenye practical
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la asilimia 5.2 la uchumi wa China kwa mwaka 2023 ni habari njema kwa Afrika na dunia

    Serikali ya China imetangaza kuwa uchumi wa China kwa mwaka 2023 ulikuwa na ongezeko la asilimia 5.2. Habari ambayo wachambuzi wa maswala ya kiuchumi duniani wanaiona kuwa ni habari inayoleta ahueni kwa dunia, hasa ikizingatiwa kuwa hali ya uchumi wa dunia kwa ujumla bado haijatengemaa. Kwenye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nina habari njema kwa wasichana

    Inakuwaje wanajamvi. Hatimae imetimia. Practice makes perfect. After a painstaking effort, determination and genuine will six packs zimeanza kujitokeza. Nimejituma sana kufanya mazoezi na imelipa. Ninatangaza rasmi kwa madem hatimae nina six packs. Nawatangazia furaha viumbe hawa. Am...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa wagonjwa wa Sickle Cell, Dawa ya kutibu imeidhinishwa Marekani

    Hii ni habari njema kwa wagonjwa wa seli mundu ama Sickle Cell. Shirika la Madawa Marekani la FDA limeruhusu dawa ya kutibu ugonjwa wa seli mundu ianze kutumika. Kwa sasa gharama ya kutibu mtu mmoja bado iko juu lakini wanasayansi wamesema wanajitahidi kuhakikisha bei inashuka na kuwafikia...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Habari Njema: JF ina Jukwaa la kufichua maovu, Wafichuaji hawatajulikana

    Tunashukuru sana kwa kuongezewa eneo lingine la kuanikia uchafu . ====== Maxence Melo: JamiiForums Tumetengeneza "Jukwaa Maalum" la kusaidia wananchi kupaza sauti zao bila kuweka wazi utambulisho wao. Jukwaa hili linaitwa "Fichua Uovu" Mwananchi yeyote anayetaka kutoa taarifa ya Uovu wowote...
  10. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania FURSA: Canada imetoa Visa maalum kwa wachomelea vyuma, Mafundi bomba na Maselemala

    Serikali ya Canada imekaribisha maombi ya Visa maalum kwa mafundi mchundo, sorry I mean kwa wateknolojia katika fani ya welding, plumbing na carpentry. Vijana hii ni fursa ambayo hampaswi kuiacha ipite. Maisha ni malengo. Kila la heri. Dr Matola PhD unaona nilichokua nachangia kule kwenye uzi...
  11. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa Python developers, sasa rasmi python kuachana na GIL

    GIL ilikua ina tulimit sama ku apply parallelism bila ya msaada wa third-part library. Asubuhi hii nimekua na furaha kuskia sasa ni rasmi cpython core developers wameamua rasmi kuachana/kuwa option kutumia GIL tutegemee kwenye matoleo mapya python GIL itakua option kwa developers kutumia ldb...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Habari Njema Zao la Kahawa Mkoa wa Kagera

    MHE. NDAISABA GEORGE RUHORO - HABARI NJEMA ZAO LA KAHAWA MKOA WA KAGERA MASWALI NA MAJIBU WIZARA YA KILIMO Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro ameiuliza swali Wizara ya Kilimo - "Wizara ya Kilimo ina Mkakati gani wa kuhakikisha wakulima wa Kahawa Wilaya ya Ngara wanaendelea...
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Habari njema: Bei ya umeme kushuka kutoka Sh.600/= hadi Sh. 35/= kwa unit moja bwawa la Nyerere likikamilika

    https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ== ========================== Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme...
  14. ninosi

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwetu Tanzania Prisons kuelekea mechi ya leo dhidi ya Yanga Sc

    Kuelekea mechi ya leo kati ya Yanga SC na Tanzania Prisons.. Msemaji wa Tanzania Prisons anena haya wakati akihojiwa na kituo kimoja cha redio:- Mtangazaji: Kuelekea mechi ya leo, je katika timu yenu kuna majeruhi yoyote? Msemaji: Benjamini Asukile yupo salama.. Pia wachezaji wenzake wote wako...
  15. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Unafahamu injini ya gari aina wankel, Mnaotaka kununua magari habari njema

    Tumezoea kuona injini zinazokuja kwenye gari zikiwa na piston ila hii ni injini isiyokuwa na piston bali muundo wake ni kama gurudumu la pembe tatu. injini hii iupatikana kwenye magari ya mazda. Injini iligunduliwa mwaka 1967 na kuboreshwa mfumo turbo mwaka 1982. wankel injini ukubwa wa injini...
  16. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Hii ni habari njema, sasa tunaongea kuhusu elimu nchini

    Next.... (1) Futa kidato cha Tano na Sita. Vyuo Vikuu vyote viwe na mwaka mmoja wa kufundisha Foundation courses mbili (i) Foundation course for Natural Sciences na (ii) Foundation course for Social sciences. . Tupunguze kabisa muda wa kukaa shuleni kabla haja fuzu fani fulani. Imagine Sasa...
Back
Top Bottom