gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaijibu hotuba ya Askofu Gwajima kwa kina muda wowote ule kuanzia sasa

    Ndugu zangu Watanzania, Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana. Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na sentensi kwa sentensi. Nimeona ni kama Askofu Gwajima kavurugwa akili yake au kachanganyikiwa au...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Swalii gumu alilouliza Gwajima: Serikali ya Samia imefungia Imani au imefungia Kanisa la Ufufuo?

    Waumini wa Kanisa la Ufufuo na uzima wamefanya jitihada mbalimbali za kutafuta majengo na mabanda mbadala ili waweze kuendelea kuabudu, lkn kote huko wamefurushwa. Wamefurushwa ktk maeneo 7 tofauti.. Ndipo sasa Gwajima anaulliza serikalini ya Samia imefungia imanii ya waumini hao ama imefungia...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa kukiuka maadili na misingi ya CCM, ni wakati wa Tawi la CCM Kawe kumbandua Josephat Gwajima uanachama

    Na misingi ya kumbandua Gwajima uanachama wa CCM iko wazi kabisa kwamba kwa makusudi amekiuka ahadi zote za mwanachama, mila, destruri na utamaduni wa chama cha mapinduzi, mambo ambayo ni kinyume kabisa na ethics za chama. Mathalani, Josephat Gwajima amekosa adabu na nidhamu kwa chama na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nilivyomwelewa Askofu Gwajima hotuba yake ya jana Agosti 15, 2025

    1. Nimezunguka majimbo karibu yote Tanganyika naangalia umati uliokuwa nyuma yangu. Watawapigia kura CCM? / watakwenda kupiga kura 2. Wafuasi wa madhehebu mbali mbali watawapigia kura CCM? watakwenda kupiga kura? 3. Wapenda haki watawapigia kura CCM?/ watakwenda kupiga kura? 4. Mwachieni Lisu 5...
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Sijaona tapeli kama Gwajima

    Baada ya domo lake kumponza, sasa Gwajima anatapatapa na kutafutwa kuonewa huruma. Anabwabwaja akidhani watu wote ni mazwazwa kama yeye. Anasema hili leo na kesho lile. Anajipiga mitama mwenyewe. Sasa acha akione cha moto na asionewe huruma wala kuaminiwa. Alidhani angewatapeli CCM asijue ni...
  6. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Gwajima amkosoa Polepole vikali, amuita mnafiki

  7. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mamlaka haya makubwa Gwajima kayapata wapi?

    Gwajima katandika sana leo. Hoja zake kubwa ni: 1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa. 2. Serikali ifungue makanisa in 10 days. 3. Serikali imuachie Lissu bila masharti..Amesema hata yeye Lissu anamuhusu,sio kwa wanachadema tu na akaenda mbali akasema...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima sisi Wakatoliki wala hatujakutuma Utuongelee na Utujumuishe katika Matatizo yako ya Serikali, Rais Samia na CCM

    Kwa kifupi tu ni kwamba ulichokifanya Jana ni Akili ya Kitoto na Kipuuzi ya kutaka sasa Kuliingiza Kanisa Katoliki katika Sakata lako na Utawala wa sasa nchini. Baada ya kuona huungwi mkono na Makanisa kwa kujifanya una Akili (wakati huna) ukatafuta Kanisa lililo na Ushawishi na Kubwa la...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gwajima anaongea Kiswahili cha wapi?

    Anavyoongea kiswahili chake utadhani si msomi? Neno kura yeye hutamka kula. Angalia spech yake ya jana. https://youtu.be/ApwVq9JJww4?si=bE11Rfya8oU5QgJx
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gwajima amekata pumzi, anatafuta pa kushika

    Gwajima, Mpina na Polepole wote wanazo sifa zinazorandana. Wote ni wasukuma/wanyamwezi, ni waskristo na walipewa vyeo vikubwa na JPM (msukuma). Wanachosahau ni kitu kimoja kuwa ndani ya CCM na serikali wapo wasukuma na waskristo wengine wengi sana bado. Hivyo, kama ukimkata Mpina kugombea...
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Mwenyekiti wa Tume angekuwa anateuliwa na Lissu, CCM ingeshiriki uchaguzi?

    Salaam! Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa! Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec, Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Stress zimemzeesha Gwajima ndani ya kipindi kifupi sana

    Kapoteza kabisa nuru, kasinyaa na kukunjamana sura kwa uzee wa msongo wa mawazo, ubishi na chuki dhidi ya viongozi wasio wakristu hususani waisilamu. Analazimisha ujasiri ambao kimsingi hana hata kwa kutazama tu body language na tone yake, badala yake kajawa chuki, hasira na kiburi kupindukia...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gwajima anaweka chumvi za Udini kwenye hotuba zake

    Jamani, huu mchezo wa kutupatia "breaking news" kila mara kana kwamba tomorrow morning nchi inawaka umegeuka kuwa kama Bollywood movie, dakika tano full action kisha dakika ishirini ni love songs na watu kukimbizana kwenye bustani. Leo unamsikiliza Mpina, maneno yake yanakupa picha ya fire in...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Wakatoliki kupitia TEC wametoa nyaraka mbalimbali lakini hazifanyiwi kazi. Je watapiga kura?

    Wakuu,
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Ikiwa unapingwa na wanaCCM, waakristo, familia za waliotekwa, waliokatwa, wafuasi wa Lissu, utashindaje uchaguzi?

    Salaam! Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa! Swali Hilo hapo juu limeambatana na swali lingine kuwa, ikiwa unazo njia zingine za kushinda uchaguzi bila hayo makundi,( wizi wa kura), Je utatawala vipi nchi ambayo imegawanyika? Kwa ufupi...
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Kumshambulia Katibu wa Baraza la Maaskofu ni kuwashambulia Wakristo wote

    Maaskofu wa Kanisa Katoliki ambao Katibu wa Baraza la Maaskofu na waumini wao, wataipa CCM kura? Kanisa Katoliki ndo Baba Mlezi wa Imani zote za Kikristo. Si moja kwa moja, ila by implication! Kwa kifupi, Wakristo madhehebu mengi yametoka Kanisa Katoliki. Sisi Wakristo ni familia moja Maaskofu...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gwajima: Lissu amepona Risasi 16, Sasa yupo Gerezani, Je, watu wake watapiga Kura?

    Askofu Gwajima amesema; Mwenyekiti wa CHADEMA, Lissu - aliyepigwa risasi 16 na akapona; yupo gerezani. Kuna ambao hata si watu wa CHADEMA, lakini wanamuonea huruma Lissu; je, hawa watapiga kura?
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: CCM tujiulize kwa familia za watu walitekwa, Lissu yupo gerezani, je tutapigiwa kura?

    Leo tarehe 15 Agosti 2025 saa 2:30 usiku, Dkt. Josephat Mathias Gwajima, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC), atatoa ushauri wake kwa Taifa la Tanzania pamoja na viongozi wake. https://www.youtube.com/live/94t64efdNxY?si=RslQI2cPUgAZ5-74 Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Gwajima kafia wapi au kamezwa na Polepole?

    Pamoja na makeke na mbwembwe zake, Gwajima anaonekana kutoweka kwenye ramani ya dini na siasa za Tanzania. Yuko wapi mbona hafurukuti tena kama mwanzo? Je kamezwa na Polepole au polepole anatoweka kwenye ramani ya Tanzania baada ya kujichanganya akidhani angeweza kuitapeli CCM asijue...
  20. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: 2025 Kuna vifo visivyotarajiwa, vya watu maarufu. Ukiona hivi, usishtuke, wanatoa vyao Ili wapate lakini wataambulia patupu!

    Definitely, hakuna aliyetarajia kuwa Spika wa zamani wa Bunge la JMT ndugu Job Ndugai angekufa kifo cha ghafla hivi.... Na ktk kipindi cha hivi karibuni hatukusikia kuwa anaumwa labda... Kifo chake cha ghafla kimetufanya watafiti turejee nabii na tabiri mbali mbali zilizowahi kutolewa huko...
Back
Top Bottom