gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima na Joyce Ndalichako wamchanganya raia. Apewa za uso papo hapo

    Huyu jamaa ukute alifeli form 4 (DIVISHENI FOO ). Na ni haki yake kabisa kufeli. Uzi tayari The Mongolian Savage BICHWA KOMWE - Maghayo Ghayo TheMongo Barbarian litutumbwe Mufti kuku The Infinity
  2. R

    JamiiForums Tanzania Makala mnamuonea tu, hoja za Polepole na Gwajima hazijibiki, zinataka system overhaul

    Salaam! Unaanzaje kumjibu Pole Pole anayeongea Pole Pole kwa tahadhari na kwa kutumia lugha rahisi ya kidiplomasia namna Ile? Gwajima unaanzaje kumjibu, maana alichoongea Kiko wazi na ametoa ushauri mzuri kabisa kwa tahadhari kubwa. Sasa kuliko kuwajibu ukajikuta unatoka nje ya mstari na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Samia apewe Tuzo kwa ukimya dhidi ya Polepole na Gwajima

    Wakuu habari, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Suluhu Hassan anastahili kupewa tuzo ya Rais mkimya na mwenye kiburi, asiyejali maoni na vuguvugu ya wananchi kuhusu usalama wa Taifa na uovu wa wanasiasa. Ni muda sasa tangu Polepole na Gwajima waibuke wakielezea mifumo mibovu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Sisi ni simba wa Yuda: Makanisa yanakubalije kanisa la Gwajima kufungiwa wao wakiwepo? Ule upendo wa Kristo unaohubiriwa umeishia wapi?

    Mughonile! Roman Catholic, Lutheran, Anglicana, Wasabato, Walokole na Wakristo wengine. Mnakubalije Ukristo kufanywa Kama nyumbu wakati sisi ni simba wa Yuda. Kanisa la wenzetu limefungiwa kisa kosa la mtu mmoja ambalo sio kosa kwani alikuwa anahubiri injili ya kukemea maovu ya watekaji. Padri...
  5. JamiiForums Tanzania Gwajima tunakuomba Using'ate maneno ile siku ni Leo hebu sema lile neno pole pole ameanza wewe Maliza!!

    Sisi tunazidi kuchochea kuni.. Tunataka waendelee kukaza fuvu zao hivi hivi ili Mapigo yawashukie kama kipindi cha agano la kale! Mwenzako H.P kakataa wahuni na Kamwaga unga na mboga vyote.. Haya ni zamu yako sasa.. Sisi tumeandaa bando na VPN tayari.. Nireteeeni Gwajmaaaa
  6. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Siku kumi zimepita, Yuko wapi Gwajima jasusi la mbinguni?

    Katika mkutano wake wa mwisho , Askofu Gwajima jasusi la mbinguni aliahidi kutamka neno zito sana ndani ya Siku 10 ambazo zimefikia tamati Leo.Hii ni ikiwa makanisa ya ufufuo na uzima hayatofunguliwa.jambo amabalo bado halijatekelezwa. Lakini mpaka sasa bado Jasusi Yuko kimya na hajulikani...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Wakristo wenzangu kwa shida walizonazo waumini wa Gwajima na misaada waliopewa kuanzia leo nimeacha kuwasemea vibaya wakatoliki nitawaheshimu

    Wakristo wenzangu Kukiwa na shida kubwakubwa mkombozi wetu ni Kanisa Katoliki hivyo tuache midomo midomo tuanze kuwaheshimu
  8. JamiiForums Tanzania Kanisa la Gwajima limefungwa; Je wakristo hawana umoja kama Yesu alivyowaagiza?

    Mughonile! kanisani leo tumesoma Yohana 17:22-23, ambapo Yesu anaomba kwa Baba: "Nimewapa utukufu ambao Umewapa mimi, ili wawe wamoja kama sisi tulivyokuwa wamoja mimi na Wewe, Mimi ndani yao na Wewe ndani yangu, ili wawe wamoja kabisa, na dunia ije kuamini kwamba Umewatuma." Nauliza, je...
  9. JamiiForums Tanzania Doroth Gwajima hagombei safari hii ?

    Wakuu nimejaribu kuangalia jina la DR Doroth Gwajima sijaliona au safarii hahombei
  10. JamiiForums Tanzania Mtu yeyote kama yuko CCM siwezi kumwamini. Polepole na Gwajima wanapigania matumbo yao

    Issue ya Polepole kutaja kuwa walikuwa wanaiba kura au kupindisha matokeo ya uchaguzi ni hatua ya mwisho baada ya kufanya mbinu zake arudi kwenye uenezi kugonga mwamba. Yaani maana yake ni kwamba kama angerudi kwenye nafasi ya ulaji ya uenezi au kupewa uwaziri angeendelea kuwaibia kura...
  11. JamiiForums Tanzania Another bomb shell loading.... Gwajima is about to push the button!

    Kuna kila dalili kama sio kesho basi Jumatatu Gwajima atakuwa hewani tena! Alishatoa onyo na ultimatum ya siku kumi kwamba makanisa yake yasipofunguliwa ataongea mambo ya "kushangaza sana" Kimsingi makanisa yasingefunguliwa kwa mkwara kwakuwa tayari kesi iko mahakamani na kuna utaratibu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kama Gwajima na Polepole wana hoja, wajitoe CCM

    Huwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania wakati Tanzania yenyewe 'wanayopigania' ni matumbo yao ni kulipiza visasi kwa kudhulumiwa na dhulumat...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kweli taarifa ya Polepole imezima tamko la Gwajima?

    Je, ni kweli upotoshaji wa polepole umefunika uropokaji wa gwajima huku Lisu akiwa amesahaulika kabisa mitandaoni, maskini dah Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kufungua makanisa ya Gwajima ni kuchezea moto unaoweza kuliteketeza taifa

    Assalam alaikum Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa. Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kanisa la Gwajima kufunguliwa hivi karibuni

    Kufuatia Askofu Dr Josephat Gwajima kutoa ultimatum ya siku 10 kwa kanisa lake kufunguliwa, taarifa za chinichini zinasema kwamba serikali, kupitia msajili wa vyama vya kijamii, iko mbioni kuandaa press conference kwa ajili ya kujiokoa na zahma ya bomu atakalolipua Gwajima ikiwa siku zitaisha...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Sugu kumsafisha Polepole na Gwajima ni kuuza pambano

    Shalom WanaJF, tuwe wakweli!! Kauli ya Sugu kwamba “tume wasamehe Gwajima na Polepole” ni usaliti mkubwa kwa wanachama wa CHADEMA na wazalendo wa taifa hili. Makosa ya Humphrey Polepole yapo wazi: Alikuwa kinara wa kubana demokrasia nchini, akitumia nafasi yake ndani ya CCM kuua sauti za...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Gwajima aliahidi makanisa yake kupiga kura

  18. M

    JamiiForums Tanzania CCM kumtumia mtu kama Kiliba kumjibu public figure kama Gwajima ni kukosa busara za kisiasa

    Yaani mtu kama huyu ambae hata ajaanza kujitegemea kimaisha ndio mnatuma kumjibu Gwajima. This is political poor sense of Thinking. Kama mnamtuma basi mnakosea sana. Muuza Kangala.
  19. JamiiForums Tanzania Gwajima: Baada ya siku kumi ukirudi, muumini wako naye katuahidi kurudi!

    Baada ya mahakama kuamua tusiendelee kuuona "ingia kati tuyaone malingo yako, bingiribingiri mpaka mpaka chini" anazochezeshwa Lissu, sinema nyingine ya Gwajima vs Muumini wa Gwajima itaanza rasmi baada ya siku kumi. Kiliba kesharudisha mpira kwa Bishop, tuendelee kusubiri kama Bishop...
  20. JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe kafunga Kwa kuvunja Sheria

    Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Dkt. Godwin Mollel ambaye ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya anayemaliza muda wake ameandika ujumbe huu kuhusu Askofu Josephat Gwajima: Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe Gwajima kafunga Kwa kuvunja Sheria alizo ridhia yeye mwenyewe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…