Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.
Ukimsikiliza vizuri askofu uchwara wa kujipachika Josephat Gwajima, unashangaa. SIku hizi, amendandia hoja iliyotaka kumzamisha ya utekaji. Anasema hapendi utekaji kana kwamba kuna mtu mwenye akili zake anayeupenda ukiachi wauaji wetu .
Kinachoshangaza ni kusema eti serikali na vyombo vya...
Anasikika juzi kwenye ibada ya mwaka mpya akisema kuwa kuna watu ameaacha mahala wamewekwa kizuizini
Amesema atataja aseme mapema ili tujue kama watu bado wapo hai ambao tunadhania walishauwwawa.
Please Askofu sema ukweli ulikuwa wapi?
1. Humphrey Polepole.
Alikuwa balozi, katibu mwenezi wa ccm taifa na mbunge.
2. Geoffrey Mwambe.
Alikuwa waziri wa uwekezaji na mbunge.
3. Daniel Chonchoriro.
Mjumbe wa mkutano mkuu CCM.
4. Sinda Mseti .
Mgombea udiwani kupitia CCM huko Sirari.
5. Gwajima . Alikuwa mbunge (CCM) Jimbo la...
https://youtu.be/4ZAYXzEBXt8?si=izBx2goyWhBTHUYH RV
Mahuburi ya Askofu Josephat Gwajima Jana katika mkesha wa mwaka mpya kanisa GCTC - UFUFUO NA UZIMA yalikuwa too philosophical, indirectly yakiwalenga watesi wake - CCM, Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yake...
Soma pia PreGE2025 - Askofu...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amesema Kanisa halitayumbishwa wala kujadiliana katika masuala yanayohusu imani yake, akisisitiza kuwa yuko tayari kuisimamia imani hiyo kwa gharama yoyote.
Akizungumza katika ibada ya kufunga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026...
Kichwa kiko wazi. Nashindwa kumuelewa tapeli na askofu wa kujipachia Josephat Gwajima. Anajitahidi kutupiga changa la macho akijifanya kulaani utekaji na maovu ya chama chake. Ukimchunguza, licha ya kuwa. tapeli wa kidini kama wengine wanaowahadaa na kuwaibia mazwazwa na wavivu waliokata tamaa...
Leo, tapeli gwajima anatesa. Wapo walioahadaika wakadhani anaichukia serikali wakati ni chawa wake. Ukiangalia anavyopayuka na kuendelea kuwa huru ukamlinganisha na Polepole, unapata jibu. Gwajima si chawa wala tapeli tu la kiimani na kiasiasa. Tumtahahadharini jamani.
Wakuu,
Hili ni neno la mwaka 2026 kutoka kwa Askofu Mkuu wa makanisa ya Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima ni wakati wa tafakuri sasa
Neno ni kutoka Matendo 27:25
"Basi wanaume changamkeni kwa sababu namwamini Mungu ya Kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa"
Moja ya kauli aliyowai kuitoa RAIS Samia, ni kuwa adui zake no wale wa kijani na sio vinginevyo hahahaha!
Je, ni kweli maandamano upande wa Mwanza yalianzia kisesa kwa Luhaga Mpina? Je, hao walipmdamana walipewa pesa na Mpina?
Kwa upande wa Dar mambo yalianzia kwa KANISA la Mzee Gwajima...
Ulishajiuliza kwa nini Kenya Gen Z walikuwa wanaandamana huku wakiwa na viongozi ila serikali haikuwa inawakamata hao viongozi (wanaharakati)?. Kenya kwa sasa iko shwaaariii!
Jibu ni kwa sababu ni rahisi ku-contain maandamano yenye viongozi kuliko yasiyo na viongozi. Leaderless demonstrations...
Nimeshanga sana kusikia kuwa Mch Hananja ana mwanae anayesoma Udsm. Alipigwa risasi Mgongoni na ana jeraha kubwa.
Huko nyuma alimtakia
Askofu Gwajima kuwa aache matusi madhabahuni. Kisa tu anakemea utekaji na maovu.
Hapa tunajifunza nini? Tusitetee maovu.
Japo ni watanzania wengi wametekwa na kupotezwa hata kupoteza maisha, hakuna walio maarufu kama vile Mdude Nyagali, Ben Saanane, Koka na zaidi ya wote balozi Humphrey Polepole.
Tokana na kutopatikana au niseme kutosamehewa kwao kama Josephat Gwajima, tapeli wa kidini tunayemjua, kunaweza...
Walahi miye sijui hehee. Gwajima nilipokea shukrani zako miye sina baya wanijua. Walahi usingehama pale wangekukula kichwa.
Leo nimepita mule Tengeru mayii wanahaha. Wapagawa vile vibaya. Kesho tuwe Babati bro. Wajua nafulahi mini. Kesho desemba. Nye nye nye poti wakagua id Kila road. Usitoke...
Nimesikia leo kupitia kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuwa umeagiza Polisi wasimkamate Askofu Gwajima. Naleta ombi tena kwako mkuu uwaagize polisi wamuachie Polepole.
Kingine nakukumbusha kuhusu katiba mkuu maana haya yote ni madhaifu ya katiba tuliyonayo. Rais una nguvu ya kusamehe watu bila...
Mnaleta mchezo wa kitoto! Kuna watu wamesingiziwa uhaini apart from Lisu, wanaoza na vidonda kwenye mahabusu za polisi na Magereza ,leo unaleta story ya Gwajima!
Jitafakari!
Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima limedai kupoteza mali zenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 2.007 baada ya kufunguliwa tena kwa kanisa hilo kuanzia Novemba 24, ikiwa ni miezi sita tangu lilipofungwa na Jeshi la Polisi Juni 2, mwaka huu.
Kwa mujibu wa viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.