gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Gwajima ndiye alpha na omega wa ujenzi wa umoja na haki na amani. Siyo "Niffer", Lissu, na wanaoozea jela kwa kesi za." mchongo"

    Unadhani unajenga kumbe unaharibu. Dr. Mwigulu jitafakari kabla ya kuja mbele ya kamera kwenye majira haya ya tense and fragile moments.
  2. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia, tusaidie kuwaagiza Polisi wamuachie Polepole kama ulivyoagiza wasimkamate Askofu Gwajima

    Nimesikia leo kupitia kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuwa umeagiza Polisi wasimkamate Askofu Gwajima. Naleta ombi tena kwako mkuu uwaagize polisi wamuachie Polepole. Kingine nakukumbusha kuhusu katiba mkuu maana haya yote ni madhaifu ya katiba tuliyonayo. Rais una nguvu ya kusamehe watu bila...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dr. Mwigulu, This is awkward! The list was long, why single out Gwajima? What about Lisu? And the rest rotting in police cells?

    Mnaleta mchezo wa kitoto! Kuna watu wamesingiziwa uhaini apart from Lisu, wanaoza na vidonda kwenye mahabusu za polisi na Magereza ,leo unaleta story ya Gwajima! Jitafakari!
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kanisa la Ufufuo na Uzima ladai kuporwa mali zenye thamani ya Tsh. Bilioni 2 wakati limefungwa kuendesha huduma

    Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima limedai kupoteza mali zenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 2.007 baada ya kufunguliwa tena kwa kanisa hilo kuanzia Novemba 24, ikiwa ni miezi sita tangu lilipofungwa na Jeshi la Polisi Juni 2, mwaka huu. Kwa mujibu wa viongozi...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Polisi waache kumtafuta Askofu Gwajima, Muacheni aendelee na ibada zake tujenge umoja wa kitaifa

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Polisi liache kumtafuta Askofu Dkt. Josephat Gwajima kama walivyokuwa wametangaza awali ili aweze kuendelea shughuli zake. Amesema baada ya kutoa msamaha kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima, waumini wanahitaji...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Baada ya nchi kupona wakina gwajima na kina polepole watakuwa na nguvu zaidi kwenye chama cha CCM kuliko mtu yoyote

    Baada ya nchi kupona wakina gwajima na kina polepole watakuwa na nguvu zaidi kwenye chama cha CCM kuliko mtu yoyote
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Video: Vibe la waumini wa Gwajima kanisani leo

    Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, leo jumapili ya Novemba 30, 2025, wameendelea na ibada za kila jumapili, ikiwa ni jumapili ya kwanza tangu Kanisa hilo kuruhusiwa kuendelea na shughuli zake baada ya kuzuiwa kwa muda. ‎ Novemba 24, 2025, Waziri Mkuu...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kama unataka kuiponya nafsi yako na kuliponya taifa hili, basi achana na Tundu Lissu na Josephat Gwajima!

    Tundu Antipasy Mughway Lisuu 1. Achana na upuuzi wa mlichokiita "kesi ya uhaini". Ni suala la uamuzi wa dakika moja, utajiokoa wewe mwenyewe na kuliokoa taifa hili na maafa yaliyo mbele yako 2. Tunajua fika kuwa mmeshajaribu kumrubuni kwa kila aina ya ushawishi wa rushwa: fedha, cheo...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Rais anasema kanisa lifunguliwe alilifunga kwa sababu gani? Aeleze sababu

    Miongoni mwa waumini wa kanisa la Askofu Gwajima, lililofunguliwa hivi karibuni baada ya maelekezo ya Waziri Mkuu na kupewa uangalizi wa miezi sita, amesema kuwa serikali haipaswi kuwanyamazisha wasiseme mambo. Amehoji kuwa: ‘Mnasema Rais amelifungulia kanisa, lakini kwanini alilifunga awali?’...
  10. toriyama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 VIDEO: Gwajima aliwahi yatabiri haya yanayotokea sasa

    VIDEO: Gwajima aliwahi yatabiri haya yanayotokea sasa
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bishop Gwajima ni CCM alikuwa mbele ya muda

    Huyu ni mmojawapo kati ya watu waliolishauri taifa kabla ya maafa kutokea. kulikuwa na namna zote za kusuluhisha jambo linalokabili taifa letu kwa sasa Hatukuwa na haja ya kufika hapa tulipo, kwa jambo ambalo tungeweza kusikilizana na kupokea mashauri yaliyokuwa yakitolewa na wazalendo wenzetu...
  12. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Hii Post-Election-Fever kwa Watawala inanikumbusha kauli hii ya Gwajima

    Nakumbuka katika Moja ya Press ya Gwajima alisema itakuwa ngumu sana kuliongoza Taifa lenye mpasuko na mgawanyiko utakoletwa na Uchaguzi ambao mnalazimisha kuufanya. Leo hii wanahaha kinoma. Mara PM kasema hili, Mara Polisi wamezuia mafuta mara Waziri wa vijana kala spana. Yote haya mlionywa...
  13. Pakome

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tuhuma za Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Gwajima kwa Jeshi la Polisi zinaweza kupelekea kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu

    Kutuhumu Jeshi la Polisi au chombo chochote cha usalama kwamba kimeiba mali au fedha, hasa bila ushahidi wa moja kwa moja, ni jambo lenye uzito mkubwa na athari kubwa. Baadhi ya athari hizo ni kama: Kupoteza Imani ya Wananchi kwamba Jeshi la Polisi linajihusisha na wizi. Kuharibu Taswira...
  14. Alex khalifa

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima umetoa funzo kubwa kwenye maisha. Nitakuja kutoa sadaka na kuombewa

    Alifariki mzee kibao, masheikh wakarundikana kwenye Dua, hawakusema chochote ili Hali mzee alitekwa watu wanaona. Matendo hayo yaliendelea, mpaka alipo jitokeza shujaa kipindi ambacho wengine walihofia kukosa teuzi ye akasimama kwa kudai UTEKAJI HAUKUBALIKI. Wazazi wanakutana wanapigana sound...
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania 'Kufunguliwa' kwa Kanisa la Gwajima ni ushahidi tosha kuwa lao ni moja

    Kwa wanaowajua vizuri matapeli na wachumia tumbo wachuuzao na kuuza roho yaliyokata tamaa, kufunguliwa kwa duka la Gwajima ni ushahidi tosha kuwa lao ni moja. Hivyo, sitashangaa serikali ikipiga fedha yetu kulipa fidia ili wagawane nasi tupigwe. Iweje 'makosa' yasamehewe bila adhabu wala...
  16. Criss

    JamiiForums Tanzania Gwajima usiingie mkenge jua target ni wewe

    Leo wazuri mkuu wa Mtandao Mwigulu Nchemba ametoa amri kwa waziri wa mambo ya ndani akayafungulie makanisa ya Ufufuo na uzima sambamba na kuziputia upya sheria za umiliki wa nyumba za ibada . Agizo hilo limetolewa kwa maelekezo kwamba kufunguliwa kwao siyo kunetokana na msamaha wa kudumu ,no...
  17. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msamaha kwa kosa gani? Hakuna msamaha wowote, Gwajima hakuwa na kosa lolote kupelekea Kufungia kanisa zaidi ya uonevu

    Viongozi wana tabia ya kutaengeza tatizo na kuja kujifanya wamelitatua wakati ndo watengezaji wa tatizo Gwajima hakua na kosa lolote la...
  18. R

    JamiiForums Tanzania My memory is very fresh, walikana kuwa hawajalifungia Kanisa la Gwajima. Leo tena eti wamelifungulia

    Mfa maji hutapatapa! Mlisema hamjalifungia, leo mnafungulia lipi? Mna dhambi kubwa
  19. October 2pm

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliye karibu na Askofu Gwajima mwambie ahame Location, wajinga washanasa

    Mpaka sasa askofu alihama maeneo zaidi ya mara tatu. Mara ya mwisho alikuwa Mikocheni karibu na Ubalozi wa deshideshi. Walahi sijui! Najuzwa alitaka kuvuka mpaka lakini ikashindikana. MO29 ilimkuta Safehouse mayii mayii. Hapa najuzwa huko alipohamia kuna wahuni wametrack node na wameinyaka...
  20. Pakome

    JamiiForums Tanzania Bishop Gwajima ajikite kwenye siasa aachane na propaganda za Shetani (misleading) kwasababu hamjui na wala Shetani hachunguziki

    Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na...
Back
Top Bottom