gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Another bomb shell loading.... Gwajima is about to push the button!

    Kuna kila dalili kama sio kesho basi Jumatatu Gwajima atakuwa hewani tena! Alishatoa onyo na ultimatum ya siku kumi kwamba makanisa yake yasipofunguliwa ataongea mambo ya "kushangaza sana" Kimsingi makanisa yasingefunguliwa kwa mkwara kwakuwa tayari kesi iko mahakamani na kuna utaratibu wa...
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama Gwajima na Polepole wana hoja, wajitoe CCM

    Huwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania wakati Tanzania yenyewe 'wanayopigania' ni matumbo yao ni kulipiza visasi kwa kudhulumiwa na dhulumat...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni kweli taarifa ya Polepole imezima tamko la Gwajima?

    Je, ni kweli upotoshaji wa polepole umefunika uropokaji wa gwajima huku Lisu akiwa amesahaulika kabisa mitandaoni, maskini dah Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kufungua makanisa ya Gwajima ni kuchezea moto unaoweza kuliteketeza taifa

    Assalam alaikum Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa. Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni...
  5. tpaul

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kanisa la Gwajima kufunguliwa hivi karibuni

    Kufuatia Askofu Dr Josephat Gwajima kutoa ultimatum ya siku 10 kwa kanisa lake kufunguliwa, taarifa za chinichini zinasema kwamba serikali, kupitia msajili wa vyama vya kijamii, iko mbioni kuandaa press conference kwa ajili ya kujiokoa na zahma ya bomu atakalolipua Gwajima ikiwa siku zitaisha...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Sugu kumsafisha Polepole na Gwajima ni kuuza pambano

    Shalom WanaJF, tuwe wakweli!! Kauli ya Sugu kwamba “tume wasamehe Gwajima na Polepole” ni usaliti mkubwa kwa wanachama wa CHADEMA na wazalendo wa taifa hili. Makosa ya Humphrey Polepole yapo wazi: Alikuwa kinara wa kubana demokrasia nchini, akitumia nafasi yake ndani ya CCM kuua sauti za...
  7. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Gwajima aliahidi makanisa yake kupiga kura

  8. M

    JamiiForums Tanzania CCM kumtumia mtu kama Kiliba kumjibu public figure kama Gwajima ni kukosa busara za kisiasa

    Yaani mtu kama huyu ambae hata ajaanza kujitegemea kimaisha ndio mnatuma kumjibu Gwajima. This is political poor sense of Thinking. Kama mnamtuma basi mnakosea sana. Muuza Kangala.
  9. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Baada ya siku kumi ukirudi, muumini wako naye katuahidi kurudi!

    Baada ya mahakama kuamua tusiendelee kuuona "ingia kati tuyaone malingo yako, bingiribingiri mpaka mpaka chini" anazochezeshwa Lissu, sinema nyingine ya Gwajima vs Muumini wa Gwajima itaanza rasmi baada ya siku kumi. Kiliba kesharudisha mpira kwa Bishop, tuendelee kusubiri kama Bishop...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe kafunga Kwa kuvunja Sheria

    Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Dkt. Godwin Mollel ambaye ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya anayemaliza muda wake ameandika ujumbe huu kuhusu Askofu Josephat Gwajima: Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe Gwajima kafunga Kwa kuvunja Sheria alizo ridhia yeye mwenyewe na...
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Gwajima anaanza kuchanganyikiwa na kujichanganya

    Kwa waliosikiliza kwa makini taarifa ya Mathias Gwajima watagundua yafuatayo: Mosi, Gwajima ni tapeli wa kawaida aliyejificha nyuma ya dini na sasa siasa ambapo anaanza kujiumbua kwa kuonyesha sura na tabia zake halisi. Pili, Gwajima ameanza kuchanganyikiwa kiasi cha kujichanganya akilenga...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Malipo ni hapa hapa kuna mwaka Gwajima alimtusi Mkatoliki Kadinali Pengo

    Watanzania na Wakatoliki hawawezi kusahau kipindi Gwajima anamtolea maneno machafu Askofu Kadinali Polycarp Pengo. Kipindi hiko ilikuwa ni attack kubwa kwa Wakatoliki na kutaka kuonesha kuwa sio lolote sio chochote. Uzuri Pengo Hakumjibu na wakatoliki hawakumjibu. Leo hii Gwajima anaipigia...
  13. Gengis Khan wa Jf

    JamiiForums Tanzania Video : Mchungaji Gwajima akitabiri kuhusu Rais wa 2015

    Mzuka wana Jamvi .. Moja kwa moja sikiliza maono ya Gwajima kipindi hiko akitabiri kuhusu President ajae 2015. Uzi tayari
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Gwajima anapohubiri udini na kuchochea uasi kwa waamini wa kikristu dhidi ya mamlaka za serikali na michakato ya kidemokrasia anajua athari zake?

    Hivi anadhani wananchi wasio wakristo, anaowapiga vita waziwazi wanajiskiaje? Na je nao ustahimilivu wao wa kibinadamu ukiwashinda na wakaamua kujibu mapigo kutumia dini zao dhidi ya ukristo, kitatokea nini Tanzania na kwa faida ya nani katika taifa letu la amani, umoja na mshikamano? Ni...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Askofu Dr. Josephat Gwajima: Ni zaidi ya Mbunge, ni zaidi ya Waziri...! Ni Mtumishi wa Mungu aliye Hai! Si mtu wa mchezo mchezo!

    Wanabodi JF ni ukumbi wa kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana na kusaidiana ikiwemo kuisaidia nchi yetu, taifa letu, viongozi wetu na watu wake. Kuna watu wengi wanadhani wanamfahamu vizuri Askofu Dr. Josephat Gwajima, kama Askofu tuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, lakini kiukweli wengi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Hoja za Askofu Gwajima hazina udini wala ukabila, machawa na wanafiki wanapotosha makusudi

    Baada ya hapo jana Askofu Gwajima kutoa ushauri na maoni juu ya mambo mbali mbali yanayoendelea nchini, wameibuka wanafiki machawa na wasema ovyo humu Jf kutaka kuushawishi umma kuwa katika hoja za Gwajima kuna ukabila na udini. Jambo hili ni hatari na baya mno kwa amani, umoja na Mshikamano...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Kwenye hotuba ya Agosti 15, 2025 Askofu Gwajima amewataka watanzania kudumisha amani na umoja kipindi cha uchaguzi

    Wakuu nimekutana na hii Grafiki lakini kwa trending ya huyu bwana sina hakika kama alitamka haya maneno.
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ubora wa hotuba ya Gwajima ya jana ni tofauti yetu Watu weusi na Wazungu katika kuwatumia vizuri watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili

    Kwenye hotuba ya jana tarehe 15/08/2025 ya Gwajima, kwenye maneno yote aliyozungumza, neno bora kabisa ni lile kuhusu watu weusi tunavyotofautiana na Wazungu katika kuwatumia watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili. Kila siku nikiona namna watu wenye akili na upeo tofauti wa kufikiri na kutenda...
  19. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaishangaa CCM ikipuuza ushauri wa comred Josephat Gwajima. Kama wewe sio firauni utasikiliza sauti za maonyo', kutoka kwa Mungu na kwa wanadamu!!

    Udhaifu wa taifa ni pale mnapotawaliwa badala ya kuongozwa. Alieleta karatasi ya kura ndio iamue na itupatie kiongozi hakumaanishi kura iheshimiwe kuliko wapiga kura. Mtawala anaweza kuamua kuunda kakikundi ka watu 20 ndio wakawa wanaamua chochote mtake mstake Firauni alipokaribia kuanguka...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hata Gwajima na Polepole waongee kiasi gani historia zao zitaendelea kuwasaka tu

    Siasa wafanyie wabongo lala, leo hii jiwe angekuwa kuwa hai tusingemaliza bando zetu kuangalia ma press yao hao, wangekuwa kimya regardless changamoto za hapa na pale. Ndio wana point ila ni za kinafiki.
Back
Top Bottom