gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima D naleta malalamiko kuhusu SHK.Zaid Makubuli na mada za ukabila kuhusu wanawake

    Nimejaribu kufichua ila lijafanyiwa kazi na serikali inatakiwa kuchukua sheria kali kwa watu kama hawa wakina shk zid makubuli kuhusu na chuki za kupandikiza haswa makabila. Dkt. Gwajima D nafahamu TCRA na wizara yako mnaweza kuwashugulikia wote walishiriki kutoa kipindi hiki online kuhusu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Bishop Gwajima alikuwa sahihi kupinga majaribio ya Chanjo za COVID 19, abarikiwe

    Salaam, Shalom! Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania ni majaribio, Kwa kuwa hazijafanyiwa Utafiti wa kutosha,hivyo Si sahihi miili ya Watanzania kugeuzwa...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dr. Dorothy Gwajima amepatwa na nini tena? Kweli Uchawi upo

    Kweli uchawi upo. CCM hawaaminiki kabisa. Huyu Wazir juzi juz hapa tumetoka mpa maua yake. Haujapita mwezi amefanya kituko Bungeni. Hapa ukiuliza shida nini huwezi elewa. Alikuwa amelewa? Alikuwa anafanya masikhara? Mbona haeleweki?
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Noah Lembris asema hajaridhishwa na majibu ya Waziri Gwajima

    MHE. NOAH LEMBRIS, Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi Akizungumza Kuhusu Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Bungeni Jijini Dodoma "Niliposoma taarifa ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, katika...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mh Dr. Gwajima D Kuna ujumbe wako pm

    Salaam mwana jf Dkt. Gwajima D ! Kuna ujumbe inbox, naomba kuwasilisha.
  6. JamiiForums Tanzania Hongera Dr Gwajima (Mb) waziri wa jinsia kwa kutatua kero kupitia mitandao usichoke tafadhali

    Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, .......napenda kuchukua nafasi hii kumpa mauwa yake waziri wa jinsia na watoto DR Dorothy Gwajima kwa kutatua kero za mtu mmoja mmoja ikiwemo udhalilishaji au ukatili wa kijinsia na kwa watoto pia. Dr huyu amekuwa akifanya hivi kupitia account yake ya X zamani...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima, Serikali yetu Inaruhusu Gender Reassignment Surgery?

    Jielekeze kwenye tangazo la gazeti la Mwananchi hapa chini. Kuna Daktari anaitwa Sanjay Pandey toka India anakuja nchini kufanya tiba ya mambo mbalimbali ikiwamo "gender assignment surgery" (kubadilisha jinsia). Naomba kuuliza ni lini Serikali yetu kupitia Bunge la JMT lilipitisha sera ya...
  8. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ashusha maombi mazito akiliombea Taifa

    Leo katika siku maalumu ya kuombea Taifa Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Kawe alipewa fursa ya kuomba kwa ajili ya taifa. Maombi yake yamenifanya nibadili mpaka mtazamo wangu kuhusu yeye moja kwa moja. Video iko hapo chini.
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Dorothy Gwajima ana kitu atafika mbali

    Nachompendea huyu Aunt ni uwezo wake wa kufuatilia mambo kwa ukaribu, of course kipindi kile cha Corona kuna mambo alichemka kama binadamu lakini kwa sasa anafanya kazi ambayo inatakiwa kupongezwa. Dkt. Gwajima D akili alikuwa nayo basi tu alikuwa na Naibu kilaza ambaye ameendelea kuwa kilaza...
  10. JamiiForums Tanzania PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana

    Nimeona Taarifa Ya Utenguzi wa Mkurugenzi wa Mafia. Kiukweli Nimefarijika sana na Nimeona Kweli haki imetendeka na Imeonekana Ikitendeka.. Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu Na hasa Miongoni mwao Napenda kumtaja bila kuogopa na nikitembea Kifua Mbele Dkt. Gwajima D. Kiukweli kabisa...
  11. JamiiForums Tanzania Hii midoli ya madukani ni udhalilishaji wa wanawake. Waziri Gwajima piga marufuku matumizi yake

    Kuna hii midori, sijui wanaitaje mwanasesere, sijui watu wengine wanaitaje, inatumiwa na wafanyabiashara wa nguo kuvalisha nguo za kuuza Maumbile ya kile kitu yanarandana na mwanamke na mbaya zaidi yametengenezewa matiti fulani yenye mvuto kwa wanaume. Udhalilishaji wake ni kwamba kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Shirika la reli lasema ruksa mwananchi kuwa na treni binafsi. Kazi kwako Gwajima, tuletee treni yako

    Mkurugenzi Mkuu TRC, Masanja Kadogosa, amesema kuwa "ni kweli tuna watu wana mabehewa yao na hii imeanza tangu miaka ya 80 na tuna mabehewa mengine kutoka Uganda na tupo kwenye mazungumzo, tunaruhusu kuwa na vichwa vya treni, TRC tunaruhusu mtu kuwa na Treni yake na mabehewa ya kwake, unapojenga...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa na utendaji wa ofisi ya Msajili wa NGO chini ya wizara ya Dorothy Gwajima. Tatizo lipo kwenye ngazi ya mtaa na kata

    Niseme wazi mimi huwa ni mlalamikaji pindi nikihudumiwa sivyo. Lakini Kwa hili napenda niipongeze wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu chini ya mwanamama mhe. Dkt Dorothy Gwajima. Nimehudumiwa vizuri pasipo urasimu wowote mpaka kufanikisha usajili wa shirika lisilo...
  14. JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Dkt. Dorothy Gwajima na Nape Nnauye

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.@ Dk Dorothy Gwajima Na... Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Mhe. Nape Moses Nnauye. Wasalaam, Poleni kwa kazi. Ninakuandikieni barua hii ili kuwajulisha na suala linaloleta wasiwasi mkubwa ambalo...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa idadi ya watu wazito na matajiri wanaolitaka jimbo la Kawe kupitia CCM mwaka 2025, Bishop Gwajima anza kutuaga sasa wana Kawe

    Halafu Bishop Gwajima nasikia kwa sasa unaomba sana Mungu mpango wa Mamlaka (Serikali) kuligawa Jimbo la Kawe ambapo kutakuwa na Kawe A litakaloishia Afrikana au Mbuyuni na kuwe na Jimbo lingine la Kawe B ambalo litaanzia Tegeta kwa Ndevu na litakaloijumuisha hadi Mapinga ambayo taarifa za chini...
  16. JamiiForums Tanzania Gwajima: Mama katili anaetesa watoto wa kufikia amekamatwa

    Dr. Dorothy Onesphoro Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Wanawake na Makundi Maalum, ametoa taarifa juu ya kushikiliwa kwa muhusika aliewanyanyasa watoto wake wa kufikia. Waziri Gwajima ameandika kwenye ukurasa wake wa "X", "Video fupi inayozunguka mitandaoni na yenye kipande...
  17. JamiiForums Tanzania Kituo cha daladala Kawe. Fupa lililomshinda Askofu Gwajima

    Ndugu zangu, Hali ya vituo vingi vya daladala nchini hasa wakati wa mvua bado ni mbaya sana. Lakini kama mjuavyo Mwamba ngoma huvutia kwake wacha leo niwaoneshe hali ya kituo cha mtaa wetu hapa Kawe. Miongoni mwa sehemu zilizolalamikiwa sana ni hali mbaya ya kituo cha Kawe. Mvua ikinyesha...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Dorothy Gwajima ni waziri anayefanya mambo makubwa mno bila kelele,sifa za kijinga na majivuno!

    Salamu nishamuchia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa, kwangu mambo yote ni shega tu bila salamu!. Kwanza niseme mimi si mwanasiasa,naipenda siasa ila nawachukia wanasiasa baadhi wenye mambo ya ovyo na ambao wanadhani baadhi ya watanzani ni wapumbavu kwa kukubaliana na...
  19. JamiiForums Tanzania Unahoji uhalali wa BBC kuhusu tuhuma za TB Joshua ila unashindwa kuhoji uhalali wa Gwajima Kufufua Mfu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Kama kuna jambo kwenye karne hii ya 21 linalowafanya Waafrika wafedheheke huko ulimwenguni basi ni haya mambo ya dini.Dini siyo tatizo ila tatizo ni Dini!. Narudia tena " DINI SIYO TATIZO ILA TATIZO NI DINI" Yawezekana members wenye akili nusu...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuwakumbushe: Mch. Gwajima ulitoa ahadi. Je, greda jembe kati lipo wapi?

    Video inajieleza. Watu wa Kawe wanauliza greda uliloahidi kununua mara tu baada ya kichaguliwa lipo wapi? Je baba Mchungaji, utakuja na uongo upi tena mwaka 2025? Tuanze kukumbushana ahafi za uongo zilizotolewa kuhadaa wapigakura 2019/2020
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…