gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!

    Askofu Gwajima amesema Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuwa entertained Gwajima anasema huwa haongei kwa kubahatisha, mpaka anakuja kuongea mbele za watu ni kwasababu ana data, na data hizo amekuzikusanya kutoka matukio yaliokuwa yanafanyika miaka kadahaa na kupata orodha ya watu...
  2. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Baada ya kurudia kumsikiliza Askofu Gwajima , nadhani kuna siku WanaCCM watashangaa na kuyakataa yanayofanywa na CCM

    Nadhani umaskini, ujinga ,uchama na uchawa ni maadui wakubwa sana wa Taifa hili la Tanzania.Ukweli unafichwa ,watu wenye mawazo ya kusaidia nchi wapo ,malighafi zipo ila maadui hawa wanaharibu nchi . https://youtu.be/gHlYAZNZwQ0?si=GtfXB0S5pr4kfI6P...
  3. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Dkt. Gwajima D, hii ni moja ya namna zinazochochea ukatili wa kingono dhidi ya watoto

    Habari wana JF Leo ni siku nyingine tena, natumaini mnaendelea vizuri kwa wale wenye changamoto basi Muumba awafanyie wepesi. Leo sina mambo mengi sana zaidi ya kuyatafakari maadili yetu yanayozidi kuporomoka kwa kasi. Na nitoe pongezi kwa Waziri Dr. Dorothi Gwajima kwa kuchukua hatua za awali...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Mh Mch Gwajima?

    Habari!! Sijamsikia kwa muda mrefu kidogo Mh Mch Gwajima, mbunge wa Jimbo la Kawe. Kuna mwenye taarifa alipo mheshimiwa huyu? Mbona kimya sana? au ni Mimi tu ndiye simsikii? Nitashukuru sana kwa taarifa za alipo. Ahsante
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Wazazi tumsaidie kazi Mheshimiwa Dorothy Gwajima

    Ila hii nchi inamambo mengi sana aisee, kila siku tunaharibu kizazi chetu tena kwa mikono yetu. Vijana wengi wanafanya mambo ya ajabu na tunatazama tu bila kusemea wala kukemea huku tukisubiri yatokee madhara tuanze kulaumu vyombo vya usalama na mamlaka zingine. Ijumaa nilitoka kazini mapema...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Hakuna Sababu ya Kuteka Watu

    Askofu Gwajima, mbunge wa CCM, na kiongozi wa Kanisa la Uzima na ufufuo amesema kuwa nchi haina haki, maisha ya mwanadamu hayathaminiwa. Akasema hakuna sababu ya kuteka watu. Akauliza ni kwa nini maisha ya mtanzania hayathaminiwi? Ameendelea kusema kuwa mitungi yote ya gas tunayoiona, hakuna...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro, hivi sasa, Kero ya Mafuriko eneo la Bonde la Mpunga ni Historia

    Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima: Nimelipa gharama yote ya Ujenzi wa mtaro huu ili kuhakikisha ndugu zangu wa Msasani hawapitii changamoto hii tena sawa sawa na Ahadi yangu niliyoitoa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020. Hivi sasa, Kero ya Mafuriko eneo la Bonde la Mpunga ni Historia.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simbachawene na Gwajima watajwa mbio za Urais 2025

    WAZIRI wa Nchi OR Utumishi na Utawala bora, George Boniface Simbachawene na Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima wanatajwa kwenye mbio za Urais mwaka 2025 mara tu baada ya Bunge la Bajeti kuvunjwa Juni 27 mwaka huu. Mbali na Simbachawene na Gwajima pia ziko tetesi za Wabunge wengi wa CCM nao...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wamemnyamazisha Lissu ameibuka Askofu Gwajima, Naona CCM wakitwanga maji kwenye kinu

    Udhalimu haujawahi kumwacha mtu salama nyakati za CCM kupata ushindi kwa njia za ujanja ujanja zipo ukingoni. CCM wanadhani No reform No election ni agenda ya Lissu kumbe ni watanzania wote. Bila chadema kushiriki uchaguzi tutashuhudia aibu kubwa sana mwaka huu. Kwa sasa namwona Askofu...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima ahimiza Serikali za Mitaa kuimarisha ulinzi na usalama kwa mtoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima amesema serikali za mitaa ni kitovu cha utekelezaji wa mikakati ya ulinzi na usalama wa mtoto iwapo jamii itatoa taarifa kwa wakati kuhusu changamoto za kifamilia ambazo ni tishio kwa ustawi wa watoto Ili wataalamu wa ustawi wa jamii kwenye...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Gwajima azindua Mahabusu ya Watoto Mtwara, atoa rai kwa viongozi na Mahakama kulinda Haki za Watoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amezindua Mahabusu ya Watoto Mkoani Mtwara, na kueleza kwamba dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kulinda haki za watoto na kuimarisha mfumo wa haki jinai...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima aitaka jamii kuzitumia huduma za ustawi wa jamii kutatua changamoto mbalimbali

    DKT. GWAJIMA AITAKA JAMII KUZITUMIA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI Na WMJJWM-Mtwara Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, ameitaka jamii kutambua na kutumia kikamilifu huduma zinazotolewa na wataalamu wa Ustawi wa Jamii...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mpina na Gwajima ondokeni CCM mapema

    Hawa ni watu wawili ambao wanaweza kuondoka CCM na maisha yao yakabaki kama yalivyo sasa. 1. Hawapendi yanauoendelea ndani ya CCM wala serikali 2. Vipato vyao havitegemei serikali Gwajima ni kama Ndesamburo ambaye biashara zake za utalii serikali ilishindwa kuzihujumu. Gwajima pesa yake...
  14. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mh Gwajima Mbunge wa Kawe umefikia wapi kuhusu hii ahadi yako ?

    https://www.facebook.com/share/r/14jspCwC7r/
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM B Ndani ya Chama Cha Upinzani, kushindana na CCM A , Inawezekana akina Bishop Gwajima , Mpina , Kuhamia Chama kidogo Cha Upinzani!!

    No Reforms ,No Election unazidi Kutia watu matumbo joto. Inasemekana, MFUMO unataka kuwalazimisha baadhi ya WANACCM wale wanaoonekana Timu Magufuli , Kuhamia Chama chochote Cha Upinzani , wawape na Ufadhili mkubwa wa Kampeni . Kampeni zitainanga sana CCM, chama hiki kidogo kitaonekana chama...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima: wanawake wameitika, hatukuwa na makongamano ya kuongea-ongea bali maonesho ya wajasiriamali

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema mwaka huu wanawake wameitika kwa kushiriki katika makongamano ya wanawake yaliyofanyika sehemu mbalimbali nchini. “Hii inaonesha kuwa wanawake wameitika… hatukuwa na makongamano ya kuongea-ongea...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima: Nikiwa nyumbani mimi ni Mama Vicky na navaa kitenge changu

    "Kokote alipo Laazizi wangu Advocate Gwajima anisikie yeye ndiyo injinia wangu na saa kumi na mbili asubuhi kashanipigia simu na tumezungumza yanayotuhusu na ratiba zake nazijua na yeye zangu anazijua na najua watoto wangu wapo wapi. Mume wangu kaona vipaji vyangu na mimi nimeona vyake...
  18. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Hivi siku hii Askofu Gwajima alikuwa amekula nini?!

    Udini ukiuzidisha sana mheshimiwa anawezaonekana kama mwendawazimu!
  19. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Hivi siku hii Askofu Gwajima alikuwa amekula nini?!

    Udini ukiuzidisha sana mheshimiwa anawezaonekana kama mwendawazimu! ANGALIA VIDEO HII HADI MWISHO
  20. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Anko mafix adai ni mdogo wake na Gwajima

    Huyu comedian ana wazazi kweli,cimedy zake ni matusi na stori za kuzagamuana tu. Kubwa kuliko amedai ana undugu na gwajima
Back
Top Bottom