gundu

  1. Yaani sijui nina gundu gani, kila demu nikitongoza nakataliwa

    Sijui ndio udomo zege Kila demu nikirusha ndoano anachomoa aisee mwingine ananidharilisha kabisa mtaani aisee naona kama brand inashuka aisee hivi huwa mnafanyaje Kwa mademu wa aina hii Yaani unaongea nae polepole yeye analopoka kwamba sitakiii wazee mnafanyaje Ili mademu wawakubali. Naona kama...
  2. je ahmed ally ana gundu?

    Toka awe msemaji wa simba hamna kikombe walichowahi kubeba ji ni ngundu?
  3. Gundu ni Nini

    Gundu ni... Unaamka asubh huku ukiwa na heng over ya jana ucku😂😂 Unapasha maji kweny jiko la gec ili ukaoge,unayapeleka bafuni,unasahau kuyachanganya na yabard unajimwagia,,,unaungua unaanza kupiga kelele bafuni😂😂😂 Unatoka nje kwa hasira huku ukiwa na maumivu Ile unatoka nje ndege anapita...
  4. C

    Ahmed Ally ana gundu? Simba hawajabeba kombe tangu ajiunge nao

    Huyu bwana anaweza kuwa na mkosi. Anabwabwaja sana lkn timu yake haipati makombe ktk kipindi hiki. Watu wa Simba amkeni, pengine mmeingiliwa na migundu
  5. Je Kylian Mbappé ni mchezaji mwenye gundu?

    Kuna namna huwa ninamfuatilia Mbappe hususan kwenye mechi kubwa kubwa, Kwa kifupi ni mpambanaji na huwa anascore magoli, lakini mwisho wa siku timu yake huwa haipati ushindi! Kuanzia ile World cup finals, France vs Argentina, Mbappe aliscore magoli zaidi ya mawili lakini hawakushinda, Leo pia...
  6. Wilson Oruma awatia gundu Simba SC huko Misri

    Mimi nilijua tokea awali kuwa makolo hawawezi kutoboa katika ardhi ya firaun , hasa baada ya kumlipia tiketi ya ndege pamoja na malazi, mchambuzi mwenye njaa na makasiriko ya Yanga sc , ndugu wilson oruma a.k.a ngiri boy
  7. Unga wa mkunazi, kibiriti na mafuta ya mzeituni dawa nyingine kwa wenye gundu

    huwa napenda kufanya uchunguzi hasa wa tiba za asili, miaka ya nyuma brother Mshana Jr alinipa funzo katika matumizi ya chumvi ya mawe niliitumia tiba hii kwa muda wa mwaka mzima japo kidogo nilikuwa nikikosea kwenye matumizi. Ili kujitakasa kwa kutumia chumvi inatakiwa uogee sehemu isiyokuwa...
  8. Hapa ndo Prince Dube alianza pata gundu. Kilichowamaliza nguvu wachezaji wengi wa Yanga

    Mademu. Kuna mademu walitumwa na mikia kuharibu wachezaji wetu. Kuwamaliza nguvu. Ndo UBAYA UBWELA ile. Hawa Simba waliamua kutumia hii kauli wao wakisema sisi tulikuwa tunanunua sana wachezaji wao. So wao Wamerudisha ubaya kwa style hii. Kuwaingizia mademu wengi wenye gundu Yanga. Hawa...
  9. Gundu ni nini?

    Gundu ni... Unaamka asubh huku ukiwa na heng over ya jana ucku😂😂 Unapasha maji kweny jiko la gec ili ukaoge,unayapeleka bafuni,unasahau kuyachanganya na yabard unajimwagia,,,unaungua unaanza kupiga kelele bafuni😂😂😂 Unatoka nje kwa hasira huku ukiwa na maumivu Ile unatoka nje ndege anapita...
  10. Elon Musk ana gundu gani na Tanzania?

    Wiki imeanza kwa raia wenzetu mbalimbali katika hii nchi kwenye nafasi za kisiasa za chama tawala na wale wa upande kidini kuitaka serikali ifungie mtandao wa Twitter/X Pia itakumbukwa Starlink kampuni ya mtandao ya Elon Musk imeshindwa kupata kibali cha kufanya kazi Tanzania ikesemwa na Nape...
  11. Gundu la Addis Ababa 1989

    GUNDU LA ADDIS ABABA Nina bahati mbaya na Ethiopia. Hili la sanamu halinishangazi Mara ya kwanza kufika Addis Ababa ilikuwa mwaka wa 1989 mwezi December kuelekea Christmas. Mwaliko wangu ulikuwa unatokea Nairobi nimetumiwa telex nikachukue tiketi Ethiopian Airways (EA). Mkosi ulianza siku...
  12. Mzee Kikwete alikuwa na damu ya Kunguni? (Gundu) hali ilivyo sasa

    Kipindi cha JK, hadi watoto wa primary waliandamana eti nao wanadai haki yao, wanavyuo, vyama pinzani, mpaka wabadini nao waliandamana kudai haki zao Inashangaza sana Nakumbuka 2013 nilikuwa kwenye viunga vya Bagamoyo, na kipindi hiko mgao wa umeme ulikuwa umepamba moto sana kiasi cha wananchi...
  13. K

    Feitoto ana gundu kuachwa tena Stars?

    Jana kocha wa Taifa Stars, Adel Amrouche amemuacha tena kiungo wa Azam FC, Feisal Salum 'Feitoto' na Jonas Mkude kwenye kikosi kitakachocheza dhidi ya Sudan. Hii inakuwa mara ya pili mfululizo kwa Feitoto kuachwa na Amrouche akitangulia kukosa mechi dhidi ya Niger na Algeria, wakati Taifa Stars...
  14. Yanga huwa inawaachia gundu wachezaji inaowaacha, kwanini?

    Huwezi kuiacha Yanga ukaenda kutafuta maisha kwingine ukafanikiwa, ukiacha Simon Msuva ambaye akiwastukia hiyo kitu nakwenda kutakaswa Tanga maeneo ya Maweni, wengine wote huko wanakokwenda huwa ndio meisho wake,gundu hili pia linahamia kwa makocha,le profeseli Nabi anakwenda kutimuliwa muda si...
  15. Ndugu zangu, mi mwenzenu nina Gundu. Sijui nakosea wapi?

    Huyu hata sijamaliza naye week kumbe naye ni kimeo tu. Sijajua nakosea wapi ninapokuwa natafuta mwenza. Huyu dada tupo naye Jengo moja la ofisi nlimfahamu muda tu this time nikaona niombe urafiki naye nikitegemea angekuwa na akili maana alisoma IFM ana degree na yupo kazini Bank flan hivi. But...
  16. Alidhani ana gundu kumbe ni uchafu wake

    Wanajamvi niaje? Bana bana kwenye harakati za huku na kule si ikanikuta crush na manzi white ya ki shua, mtoto ana drive vanguard. Mitaa ya Kijitoyama anatoka kwenye packing nikajitolea kumuelekeza maana kama alikuwa anapata tabu jinsi ya kutoka baada ya hapo akanishukuru sana, akaomba apate...
  17. J

    Oparesheni Kigali (Gundu)

    .....b
  18. Nina gundu, wanaume hawanitongozi

    Wazima jamani Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado...
  19. Natafuta mtaalam wa kunisaidia kupata ajira na kuniondolea gundu

    Kama heading inavyojieleza bado naangaika kusaka ajira. Kuna siku niweka uzi nikaukimbia watu wana maneno makali sana unaweza jiona hufai tena. Sijachanganyikiwa kama wengine wanavyoamini mimi nipo timamu kabisa. Kuna wakati nilizunguka uko kwa wataalam sikufanikiwa sababu naona ilikuwa uwezo...
  20. Ahmed Ally ana gundu?

    Huyu jamaa tangu aingie kuwa afisa habari wa Simba, timu ya Simba haijawahi kuifunga timu ya Yanga, pia mwenendo wa club yetu umekuwa wa hovyo sana, kila siku analeta porojo tu. Mimi nadhani huyu mwamba katuletea bundi, bora asepe tu tumrudishe Manara hata kama hatumpendi. Update...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…