Nina gundu, wanaume hawanitongozi

Cute Msangi

Member
Apr 11, 2023
79
221
Wazima jamani

Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.
 
Wazima jamani

Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano,Niko mpweke Sana cjui yule mbwa kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.

Kama hawakutongozi watongoze wewe sasa hapo kipi kigumu mbona easy
 
Wazima jamani

Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano,Niko mpweke Sana cjui yule mbwa kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.

Pole sana. Kuna mawili uenda mwanaume uliyeachana nae alikushusha nyota yako au kuna jambo umefanya chafu limechafua nyota yako.

Kuna njia tatu za kuinua nyota yako ili uwe na mvuto.
1. Ibada
2. Jadi
3. Meditation

Chagua moja uipambanie.
 
Wazima jamani

Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano,Niko mpweke Sana cjui yule mbwa kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.
Karibu pm nikutoe upweke
 
Achana na negativity, kama umekutana na mwanaume ambaye anaona bado unaishi kwenye maisha ya mwanaume aliyekuacha (kihisia) hapo usitegemee kupata mwanaume yoyote atakayekubali kuwa na wewe (hata kukutongoza). Zaidi zaidi wale watakaotaka kukuchakata na ambao wengi wanakuwa direct utawapata
 
Hebu picha hata pm tuone shida iko wapi, mimi sio mchawi ila wewe ni mfupi
Mvuto wa mtu haupo kwenye muonekano wake. Upo kwenye nyota yake. Mwanamke anaweza kuwa mrembo sana ila hawezi vutia, haonekani, hakumbukwi.

Binadamu tunaishi kwa kutegemea nyota au wengine wanaita kismati. Kama hauna hicho uwe mzuri, umesoma, una pesa vyote ni kazi bure utashangaa kwa nini watu hawana time na wewe.
 
Wazima jamani

Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano,Niko mpweke Sana cjui yule mbwa kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.
Unahitaji mwanaume au unahitaji kutongozwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom