group

  1. J

    Waziri Lukuvi atekeleza agizo la Rais Magufuli, aikabidhi Halmashauri ya Kigamboni ekari 715 za ardhi

    Waziri wa ardhi mh Lukuvi leo ametekeleza agizo la Rais Magufuli kwa kuikabidhi halmashauri ya Kigamboni ekari 715 zilizokuwa za Quality group iliyozimiliki kupitia International Village ltd. Rais Magufuli alitoa siku 7 kwa Waziri Lukuvi awe ameikabidhi ardhi hiyo kwa halmashauri ya Kigamboni...
  2. Wasafi FM's Block 89: A group of noise makers

    Hawa jamaa wa Block 89 ya Wasafi wanaongeaga vitu vingi sana hawavijui! Too much lies! Story za Kobe (wao wanamuita Kobe na sio Kobi) zimepotoshwa sana kuhusu basketball. Most of them are overrated. Who's the Program Manager?
  3. Vine yageuka Byte, imesaini mkataba na WEPLAY Group

    Mtandao uliokuwa maarufu duniani kote Vine umefanya mabadiliko na sasa utatambulika kama Byte. Vine kwa miaka kadhaa ilisimama imara kabla ya kupigwa vikumbo na magwiji Instagram, Snapchat na hata kusogezwa mbali zaidi na Tiktok. Vine imekuwa ikifanya tafiti na kutengeneza mbinu wezeshi za...
  4. Group Legal & Human resources manager at Exodus Group Limited

    Position: Group Legal & Human resources manager Job Summary: Exodus Group Limited with Head Offices at Chang’ombe Temeke Dar es salaam is looking for a Group Legal & Human Resources Manager. Job description Managing the administration of the Human Resources policies and procedures and also...
  5. Japo ' Wanachukiwa ' na wengi ila hadi hivi leo bado sijaona Baba wa ' Promo ' Tanzania nzima kama Clouds Media Group

    Hawa Jamaa kila ' Promo ' yako lazima itakuwa na Kishindo Kikubwa. Hongera sana Kwao Clouds Media Group kwani inaonyesha kuwa wana Vichwa hatari katika Masuala mazima ya ' Promo ' na sishangai Kuona kila Tamasha ambalo huwa wanaliandaa Wao basi ni lazima tu ' Nyomi ' lake litakuwa Kubwa na...
  6. ECONOMIC INTELLIGENCE-Bayer contains cyber attack it says bore Chinese hallmarks

    FRANKFURT- German drug maker Bayer has contained a cyber attack it believes was hatched in China, the company said, highlighting the risk of data theft and disruption faced by big business. Bayer found the infectious software on its computer networks early last year, covertly monitored and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…