Siingilii personal life na najua watu hasa hawa walioleft group wakiishi maisha yao hawani affect
Lakini moja ya vitu vya hovyo ambavyo hawa watu wanafanya ni kuandaa content ambazo ni very sexualized, au mwanaume unakuta anajilegeza mno
Sasa sikuhizi hadi watoto wadogo wana access na social...
Taarifa kuhusu mchakato wa kufilisishwa kwa kampuni ya Sahara Media Group imeendelea kuvutia mjadala mpana hasa kwenye mitandao ya kijamii, huku wadau wengi wakibaki na maswali, pengine hata yasiyo na majibu ya moja kwa moja.
Kwa mujibu wa taarifa zinazoendelea kufuatiliwa kwa kina, imeelezwa...
Anonymous (b69f)
Thread
group
media
nyuma
pazia
sahara media
sahara media group
Kalonzo Musyoka ambaye ni kiongozi wa chama cha upinzani cha Wiper Democratic Movement na aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wakati wa uongozi wa Mwai Kibaki, amesema wanafanya uchunguzi juu ya mauzo ya hisa yaliyofanyika hivi karibuni kwenye taasisi ya Nation Media Group kwa bwana Rostam Aziz...
Mfuko wa Maendeleo ya Kiuchumi wa Aga Khan S.A. (Aga Khan Fund for Economic Development – AKFED) umeingia makubaliano ya kuuza asilimia 100 ya hisa zake katika Nation Media Group (NMG) kwa Taarifa Ltd, kampuni inayomilikiwa na mfanyabiashara wa Tanzania Rostam Azizi.
Azizi ana uwekezaji mkubwa...
Kampuni ya sheria ya kimataifa Amsterdam & Partners LLP, inayoongozwa na Wakili Robert Amsterdam, imewasilisha maombi rasmi kwa Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) kutaka serikali za Tanzania na Uganda kuondolewa a mara moja kutoka Jumuiya ya Madola.
Sababu kuu zilizotolewa ni;
1...
The Zimbabwean Chevrons remain unbeaten in Group B at the #T20WorldCup, showcasing grit, skill, and determination in every match. Fans are celebrating as the team continues its march toward the Super Eights! 🏏🔥
🏗️ JENGA KISASA NA KELVIN HK BUILDERS – UHAKIKA NA UBORA!
Wadau na wapenzi wa ujenzi bora, kilio chenu kimesikiwa! Kelvin HK Builders tuko hapa kufuta machozi yenu na kukupa nyumba ya ndoto zako kwa viwango vya juu zaidi.
🛠️ HUDUMA ZETU ZA KITAALAMU:
Ramani za Kisasa: Tunasanifu ramani za...
Kwanza kabisa watu wenye group ‘O’ hawalogeki na ukijaribu kuwaloga yanakurudia, ukijitahidi kumloga humuwezi lazima mambo yadunde na mara nyingi wabaya wao wakishindwa huanza kuwapakazia watu hawa mambo ya uongo na kuwachukia bila sababu za msingi hasa baada ya kushindwa kuwaangusha.
Wanapenda...
Job Announcement: Driver (Contract Position)
Location
Dar es Salaam
Salary
TZS 300,000
Employment type
Contract
Job summary
The Driver will be responsible for safely transporting staff, goods, and documents to designated locations. The role also includes ensuring that the company vehicle...
hawapendi mgeni akae muda mrefu
hawapendi kukaa ugenini
wana marafiki wachache sana au hawana
hupenda kujifungia
hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao
wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
Burna Boy and Sporty Group Unveil New Single “For Everybody” and Visual Tribute Celebrating Africa’s Vibrant Sports Heritage and Cultural Excellence
Dave Meyers-directed music video showcases top African athletes, fashion, and choreography in a poignant tribute to the continent.
January 17...
Burna Boy and Sporty Group Unveil New Single “For Everybody” and Visual Tribute Celebrating Africa’s Vibrant Sports Heritage and Cultural Excellence
Dave Meyers-directed music video showcases top African athletes, fashion, and choreography in a poignant tribute to the continent.
January 17...
Hili jambo la FARA hili mmh ni kama Serikali imeamua kununua "kipaza sauti" kule Washington D.C ili sauti yake isikike tofauti na inavyosikika sasa hivi.😂
1. Kwanini Marekani na kwanini Tom Graves?
Washington D.C. inatawaliwa na kitu kinaitwa "Lobbying Engine." Siasa za Marekani, hususan chini...
Dear Editor
I wish to inform you that Anem Brothers Group Limited based in Mwanza, Tanzania has joined with FasterCapital' Launch Up Program.
I would appreciate your help of publishing this news to make press coverage to your audience.
Patrick Gura
Founder&CEO
Kwa nia njema ya kujumuika tena na wanangu wa sekondari. Safari hii ilikuwa kupitia WhatsApp group.
Halikuwa tofauti sana na magroup mengine, mambo yalikuwa ni yaleyale tu, kusaidiana kwenye shida na raha. Tuliweka mkakati mzuri wa kusaidiana kwenye misiba na ugonjwa.
Kosa nililofanya ni...
Ukiacha DNA test ambayo ni ghali na yenye process nying.
Unaweza kujua Kama mtoto ni wako au umesingiziwa kwa kutumia Blood group.
Iko hivi.
Blood group ziko 4.
A au AO
B au BO
AB (au A na B)
O
Zinaweza zikawa positives au rare case negative blood group.
(Rhesus factor)
Kila mtu anabeba...
Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" ipo uwanjani ikikipiga na Uganda katika mchezo wa Kombe la Afrika (AFCON) hadi mapumziko mchezo huo hakuna mbabe.
Matokeo bado ni 0-0.
Vijana wetu wanaendelea kupambania kombe la Ubingwa barani Africa.
Kila la kheri kwao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.