google

  1. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Google (GMail) imekuwaje?

    Google siku hizi imekuwa takataka. Wakati wanajaribu kuboresha ulinzi kwenye data za mtumiaji wa huduma zao kumbe ndiyo wanaharibu kabisa. Simu yangu iliharibika, sasa account yangu ya GMail ndiyo ipo kwenye hiyo simu. Leo nimebadilisha simu lakini cha ajabu siwezi ku-access account yangu...
  2. Paulolaurent

    JamiiForums Tanzania Habari wana jf kuna ujumbe nimepata kutoka google play kuusu usajili ku canceled na sijajua kama ntarudishiwa pesa na kama ntarudishiwa itachukua mda

    Msaada ndugu zangu pesa inaweza kurudi
  3. snipa

    JamiiForums Tanzania Ijue Sababu kwanini FBI hawaingilii sana biashara za Apple Inc kuliko wanavyoikandamiza Google LLC

    Kwanza tuanze kwa kujifunza kuhusu Open Source project katika ulimwengu wa Technology, Open Source ni zile project ambazo source code zinakuwa available in public kwaajili ya modifications n.k isipokuwa atakaechukua source code na kumodify hatakuwa na umiliki hadi kusema kwamba ni software au...
  4. Kang

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Google inaachana na Chromebook na laptop zao zitaanza kutumia Android

    Hii ni kushindana vizuri zaidi na iPad za Apple ambazo inatawala soko la tablet na kuongeza ufanisi kwa kuwa na OS moja ambayo inafanya kazi kote simu, tablet, laptop, tv, magari etc. Kazi hii itachukia miaka kadhaa na Chrome itabadilika pole pole kuwa Android...
  5. snipa

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Google; Hatimaye walazimishwa kuiuza Google Chrome Browser kupunguza Monopoly kwenye biashara

    Baada ya muda mrefu kesi iliyokuwa inaikumba Google kwa kuwa moja ya kampuni inayomiliki platform nyingi zinazokusanya data pamoja na umiliki wa Google search engine ambayo imekuwa ikitumika kwenye browser nyingi duniani, kama vile Mozilla Firefox, UCbrowser, Safari, Google Chrome, Operamini n.k...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Epuka kuuziwa mbuzi kwenye gunia, Google pixel hairuhusu nchi za Africa kutumia 5g, Tafuta simu nyingine ukitaka ku-enjoy internet

    Yani umejipinda kununua simu kali halafu uanze tena kutumia 4g wakati eneo lina 5g ya kutosha, Ahh wapi aisee !! miyeyusho hio !! Ni tahadhari ya mapema kabisa naitoa, kama unataka kununua google pixel jifikirie mara 2, ukiachana na uadimu na bei pasua kichwa kwenye vioo kusababisha wengi...
  7. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Lugha ya Kiswahili imeongezwa kwenye huduma za Tafsiri, Utafutaji wa Sauti na GBoard kupitia Google

    Kiswahili kimekuwa kati ya Lugha 15 za Afrika zilizoongezwa kwenye huduma za 'Voice Search', Kuandika kwa Sauti kwenye Gboard pamoja na huduma ya Kutafsiri Lugha nyingine kupitia 'Google Translate'. Nchini Kenya na Afrika Mashariki, Google inasema inapanua toleo lake kwenye Utafutaji wa Sauti...
  8. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Google yapigwa faini ya Tsh. 56,076,872,348,484,000,000,000,000,000,000,000,000,000 na Urusi, ni kiasi cha fedha ambacho hakipo duniani

    Kampuni ya Google imepigwa faini ya rubles bilioni 2 (takriban $2.5 decillion) nchini Urusi kwa kukataa kufungua akaunti za pro-Kremlin na vyombo vya habari vya serikali, kama ilivyoripotiwa na RBC. Adhabu hizo zilianza kwa kutozwa faini ya kila siku ya rubles 100,000 mwaka wa 2020, ikiongezeka...
  9. maigajr

    JamiiForums Tanzania *HII ISSUE YA GOOGLE PIXEL NA IPHONE IMEKAAJE?*

    Wadau, hivi hii IMEKAAJE ...Nina google pixel, nikiweka status video mtu mwenye iphone kwake haifunguki,na hata ukimtumia video haifunguki kwake. Tupeane ujuzi
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mnaoichukia Israel msitumie Iphone, Google, Window, n.k. makapuni makubwa ya kompyuta na mawasiliano hutegemea zaidi Israel kuwabunia bidhaa na huduma

    Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel. China ndipo vilipo...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Google na AI Chatbox washtakiwa kwa Kusababisha mtoto kujiua

    Megan Garcia ameshtaki Google na kampuni ya akili Mnemba inayohusika na "Chatbot" kwa madai ya kuhusika katika kifo cha mwanaye Sewell Setzer (14) Inadaiwa Sewell alikuwa akiwasiliana kimapenzi na programu ya "Chatbot" akitumia mhusika wa "Game of Thrones" Daenerys Targaryen, ambapo baadae...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Weekly trends: Mambo yaliyotafutwa zaidi google week iliyopita

    Searches for “How to use clippers to cut hair” have gone up by 140% this week 🐶Searches for “Puppy adoption near me” went up 100% Some of us are looking to stay together forever. 👰 Searches for “Virtual wedding ceremony” increased 170% Be your own barista at home. ☕️Searches for “Dalgona...
  13. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Android 15 ndani ya Google Pixel

    Just in Android 15 ndani ya Google Pixel. Kwa harakaharaka Google wameamua kuwa serious kwenye swala la security kwani wameleta private space inayokuwezesha kuweka data zako na ku run application nje ya launcher ya kawaida. Lakini pia hatimae Google wameleta Theft protection, je uu utakua...
  14. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Google Play Console zinanunuliwa kuanzia milioni 3 nakuendelea

    Kwa wale wanaomiliki google play console. Google play console ni account wanazomiliki watu wanaoweka apps zao playstore. Kwa sasa kama una google play console ambayo ina zaidi ya mwaka mmoja tokea uisajili basi unaweza ukaiuza kuanzia milioni 3 na kuendelea. Ila hakikisha tu ila app ambayo ipo...
  15. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Matumizi Ya Google Earth App Kwenye Biashara ya Viwanja na Mashamba Tanzania na hatua za kuitumia

    Matumizi ya Google Earth App kwenye biashara ya viwanja Tanzania yanaweza kusaidia sana kuharakisha na kurahisisha mchakato wa kutafuta, kuchunguza, na kupanga mipango ya biashara ya ardhi. Google Earth inatoa zana za kuona maeneo kwa undani, kuchunguza mipaka ya viwanja, na kupanga maendeleo...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Weka 'Alerts' Google ili upate ujumbe kila taarifa zako zinapoandikwa mtandaoni ili Ujilinde kwenye Mitandao

    DIGITAL SECURITY: FUATILIA TAARIFA ZAKO KUJILINDA MTANDAONI Jinsi ya Kuweka Arifa za Google ('Google Alerts') Ili Kufuata Jina Lako au Taarifa Zako Zinapowekwa Mtandaoni: 1. Tembelea 'search engines' kama 'Google' kisha andika Google Alerts 2. Andika jina lako au taarifa unayotaka...
  17. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Israel imezuia Google map kuonyesha kambi iliyochakazwa

    🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨 Kambi ya jeshi ya Israel ilikuwa na ndege za F 35 ilichakazwa na makombora tiifu ya Iran kuangamiza ndege hizo. Kwa aibu kubwa IDF wameamua kuziba kabisa eneo la kambi hiyo kupitia picha za satellite ili kuficha magofu. 🚨🇮🇱🇮🇷 ISRAEL has CENSORED satellite images of their military...
  18. Themoneyhollic

    JamiiForums Tanzania AI Iliyogunduliwa na waTanzania, Ai ya kitochi yashindanishwa Google Ai for developers

    Habari Tanzania project yetu ya NotiAi imependekezwa kwenye mashindano ya Google GeminiAPI -NotiAi ni AI inamuwezesha hata mtu asokua na internet kuAccess AI kwa SMS tu Tupige kura Tuzo ije nyumbani Link: Vote.notiai.com 💣Usisahau kuweka number tukishinda kutakua na mkono wa shukrani
  19. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka ninunue simu ya Google pixel 6pro

    Habar za sasa hivi natamani niataka ninunue simu kwa bajeti ya 600k - 650k ninunue simu gani Naomba ushauri wenu na sehemu nzuri wanapouza kwa Dsm
  20. phzhenry

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kurudisha Google Account

    Nina email yangu na password ila namba nilofungulia sina, sasa nahitaji kurudisha account yangu ya google nafanyaje maana nikijaribu naambiwa nijaze code. Kwa anayefahamu namna nyingine ya kurudisha account bila kutumia namba ya simu anielekeze.
Back
Top Bottom