gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mirindimo

    JamiiForums Tanzania HIZI HAFLA ZA KUTIA SAINI GHARAMA HUA NANI ANALIPA?

    Hafla zimekua nyingi sana kuzidi ytendaji na utekelezaji , hizi hafla ni nani hua analipa gharama za eneo husika , mapambo , na per dm za washiriki ?
  2. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Mbinu mbalimbali za kupunguza gharama za ujenzi

    Mbinu mbalimbali zinazoweza kutumika kupunguza /kuokoa gharama zisizo za lazima katika ujenzi. 1)MBADALA WA TANK LA KUHIFADHIA MAJI. Naanza na hii ,maeneo yetu mengi maji yanatoka kwa mgao wa mara moja kwa juma hivyo utalazimika uhifadhi maji kwa ajili ya kazi yako ya ujenzi. Njia hii ni...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mke wa yahya sinwar anamiliki handbag la gharama ya $32,000.

    Video iliyoachiwa na IDF ikimonyesha yahya sinwar na mke kwenye andaki, imegundulika mke wa sinwar anamiliki bag yenyewe gharama zaidi ya Tsh 82,000,000. Kitu kimezua mjadala sana.
  4. BONNIE GOLD

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kujenga fremu za biashara

    Habari zenu wakuu Naomba msaada wa kupata roughly mchanganuo wa kujenga fremu tatu za biashara, ukubwa wa 2.5m x 2.5, Kuanzia msingi mpaka juu. Mfano wa fremu ni hizi chini hapa. Eno lipo Dar Asante sana
  5. W

    JamiiForums Tanzania Simu yako ya gharama ulinunua bei gani na siku ulipopoteza au kuibiwa ulijisikiaje?

    Nilijitahidi sana na kufanikiwa kununua iPhone 7 Plus nikiwa mwaka wa kwanza chuoni mwaka 2019, kipindi hicho simu hiyo bado ilikuwa maarufu sana. Nilikuwa naipenda sana kwa sababu ilikuwa inapiga picha nzuri na pia niliweza kuhifadhi mambo yangu mengi. Siku moja nikiwa njiani kuelekea Mwenge...
  6. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Gharama ya ujenzi wa Ghorofa Moja Kwa maeneo ya kijijini ni shilingi ngapi

    Habari zenu mafundi nataka kujua ni kiasi gani naweza kujengewa Ghorofa moja kwa maeneo ya kijijini Nataka kujua bei tu ya ufundi mbali na vifaa vya ujenzi maana kuna sehemu nilipata majibu ya kushangaza na kustaajabisha kuhusiana na ujenzi wa Ghorofa Napenda kupata majibu kutoka mafundi...
  7. Judah Tribe

    JamiiForums Tanzania Vibaka Afrika Kusini walipua gari ya hela kwa bomu na kupora pesa (inakuaje wahalifu tena vibaka kumiliki silaha nzito za gharama?)

    Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa barabarani vijana sijui waliitrack vipi ghafla kilisikika kishindo tu cha bomu na majibizano ya risasi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Gharama za vita

    Marekani imetumia $22.76bn kusaidia vita vya Israel dhidi ya Gaza na operesheni dhidi ya Houthis nchini Yemen, kulingana na ripoti ya Taasisi ya Watson ya Chuo Kikuu cha Brown. Msaada wa kijeshi wa dola bilioni 17.9 kwa Israeli tangu vita vya Gaza kuanza mwaka mmoja uliopita ni jumla ya juu...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Gharama za Consultancy na Writeups

    Habari, najua post zetu hazichukui nafasi kwa walio wengi, basi kwa wale tu wenye nia na pengine badae watakuwa na uhitaji wa huduma za ushauri na kuandikiwa "Writeups" kwa ajili ya mikakati yao ya kimaendeleo kiuchumi na kijamii..twendelee kujuzana bila kuchoka. Kwa nchi zilizoendelea, ushauri...
  10. JGGM

    JamiiForums Tanzania Namba makadirio ya ujenzi wa nyumba yenye bedrooms 3 na master 1

    Naomba msaada wa kunifanyia makadirio ya nyumba ya kisasa yenye bedrooms 3 plus master room 1 ambayo itakuwa basement planned to be a kitcheni. Tukianzia kwenye boma lake itachukua sh ngapi Mahali ni Dar es Salaam
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Gharama zinazotozwa Muhimbili Hospital kuwahudumia “Watoto njiti” zinatuumiza tunaouguza

    Licha ya Mamlaka za Kiserikali pamoja na Wadau kueleza mipango mikakati na kuchukua hatua mbalimbali za kupunguza vifo vya Mama na Mtoto hasa vinavyotokana na Watoto Njiti (Watoto waliozaliwa kabla ya muda) lakini hali inaonekana kuwa sio shwari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Ambapo...
  12. Logikos

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Gesi Vs Umeme katika Kupikia kwa Bei za Sasa za Tanzania

    Katika muendelezo wa Makala zangu za Nishati safi ya kupikia; kumekuwa na sintofahamu kuhusu gharama za umeme kwamba ni kubwa sana hivyo kwa kumuwezesha mwananchi ni bora kumpa gesi. Nimeona bora tuangalie ukweli huo kwa kutumia mahesabu yasiyo rasmi.... 1kg ya Gesi = 13.6kwh (units) Kwenye...
  13. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bunge Uganda Lahoji Gharama kubwa ya Kununua Mbuzi

    Bunge limehoji kuhusu Sh7.4M ( dola 2000 ) & Shs400,000 ( dola 109) zilizotumiwa na Wizara ya Kilimo katika ununuzi wa kila mbuzi wa kigeni na wa kienyeji mtawalia, Mbuzi 409 kati ya 850 waliosambazwa kwa wakulima walikufa ndani ya wiki ya kwanza . Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya...
  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tujadili kesi ya Tundu VS TIGO: Nani analipa gharama za uwakili kwa kampuni hizi za kimataifa zinazosimamia kesi yake huko nje nchi..?

    Kwanza sikiliza hii: Tundu Lissu anasema katika voice note hii; "...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...." ".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna kazi kubwa ya kati ya sasa na kufungua kesi....." "......Kilicho muhimu ni kwamba, nimeshatoa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Gharama za ujenzi (3 bedroom house)

    Habari za leo wana JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kufahamu makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba ya kisasa ya vyumba 3 (Kimoja master na viwili vya kawaida), sebule, dinning, jiko, store na Public toilet. Cheers
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ghorofa za Afrika ni lazima ziwe na balcony, balcony huongeza gharama za ujenzi

    Inawezekana ni kwasababu ya hali ya hewa, ghorofa za Ulaya Mara nyingi huwa hazina balcony.
  17. Kaunara

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Polisi Wanauza Kamba ya Mtu aliyejinyongea Gharama sana?

    Katika pitapita zangu vijiweni nilikutana na hii mada kwamba, kamba ya mtu aliyejinyongea ni dili sana kwa Polisi. Mara nyingi mtu akijiua kwa kujinyonga huwa hatolewi hadi polisi wafike wao ndio wanamtoa na kuondoka nae pamoja na dhana zake zote. Sasa kijiweni nikiambiwa ile kamba raia uwa...
  18. Ndama Matandiko

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Habari zenu Wana JF? Poleni na hongereni Kwa majukum ya kulijenga Taifa na uchumi wetu Kwa ujumla. Leo nipo hapa kuzungumzia jambo Moja tu. Jambo lenyewe ni kumekuwa na malalamiko ya wamiliki wa vituo vya mafuta. Kulalamikia mifuniko ya kiSasa ya Tank la mafuta MANUAL COVER inayokaa juu ya...
  19. MEGATRONE

    JamiiForums Tanzania Gharama za ujenzi wa uzio/ Fensi

    Habarini wakuu naomba kufahamishwa gharama za ujenzi wa fence/uzio wa eneo la ukubwa wa sqm 91! Natanguliza shukurani!
  20. Logikos

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Kufanikisha Mpango Kazi wa Utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024 – 2034) Jumla Kuu 4,554,015,000,000

    Katika pitapita zangu nimekutana na hilo jarida la Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) nikaamua kuleta kwenu pia (doing my civic duty) document ni pdf ipo attached ila kwa ufupi naweka picha kwenye gharama zinazotazamiwa kutumika ili kufanikisha hilo jambo (baadhi...
Back
Top Bottom