gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama ya kujenga hii nyumba

    kujenga kama haka hadi finishing kanaweza kugharimu kiasi gani? kwa bajeti ya kawaida tu?
  2. Intricate

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za kusajili cheti cha ndoa RITA ili kupata nakala ya maandishi katika daftari la ndoa

    Habari, Kwa mwenye kujua gharama za kusajili cheti cha ndoa RITA tafadhali pamoja na process zake. Natanguliza shukran za awali.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mteja tusiyemfahamu kasahau chaji yake ya gharama sana hapa kijiweni. Bado tunamtafakari

    Wadau hamjamboni nyote? Tuko Kijiweni muda huu hapa maskani Kuna chaji ya simu ipo hapa mezani Ina rangi nyeupe tena ya gharama kubwa imeachwa na mteja mmoja aliyekuja mapema leo asubuhi Hatujui kaisahau kwa bahati mbaya au la na pia hakuna amjuaye mtu huyu anatokea wapi Waliomuona asubuhi...
  4. Roboti Wa Nape

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gharama za kuzaliwa Mwanaume.

    Ehee Mungu tusaidie wanaume kwa kutupa afya njema tupambanie ndoto pamoja na familia zetu
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Putin, ameanza kuona gharama za ya Vita. Mara ya kwanza alikuwa anasoma sana Threads za JF akapotoshwa?

    Akina Ritz Webabu ChoiceVariable FaizaFoxy walikuwa wanampotosha sana Putin. Akajikuta yeye ni Mwaaaaaaamba. Akasema ana operation ya siku chache kumwondoa Rais wa Ukraine. Mwaka wa pili sasa.... Nashindwa kuelewa. Putin ni Jasusi mbobevu alidanganywa vipi? Alichemka wapi? Anyway kuanza upya...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Wastani wa gharama za kuhamisha Mtumishi mmoja wa serikali ni Mil 25

    Serikali inawezekana inatumia pesa nyingi sana kuhamisha viongozi na watumishi waandamizi wa serikali, Fedha hizo zingeweza kuelekezwa mahala pengine ikiwemo upatikanaji wa huduma za kijamii. Wastani kuhamisha Kiongozi/ mtumishi mmoja ni kuanzia mil 25 Hadi 40, lakini tofauti na nchi nyingine...
  7. hitler2006

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini uimiliki kwa gharama wakati zinakodishwa kwa gharama nafuu?

    Huwa najiuliza mtu unaingia gharama kubwa, unainvest muda, pesa na hisia. Wengine mpaka wanakosana na majirani na ndugu kisa hii kitu eti ni mali yangu sitaki kushare na mtu. Wakati kila mtaa unaopita siku hizi unakuta zimepangwa tu zinakodishwa unatumia unaachana nayo hakuna tena mambo ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti

    Habari GTs, Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti, kwa raia wa Tanzania wenye umri pungufu na zaidi ya miaka 18. Vile vile gharama za malazi kwa usiku mmoja for economy class, safari yangu itaanzia Mwanza. Naomba kuwasilisha.
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

    Taarifa kamili hii hapa
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tuliambiwa tufike Chuoni St. Francis kwa gharama zetu sababu mitihani tuliofanya imepotea kwa ahadi ya kuwa refunded, sasa wanagoma kutulipa

    Naomba niwasilishe changamoto zetu kwa mamlaka husika kupitia nyie ili tupate ufafanuzi wa kulipwa gharama tunazowadai chuo. Wanafunzi wa Chuo cha Udaktari St. Francis (Morogoro, Ifakara) tulipokea taarifa ya kuitwa chuoni siku ya jumatatu bila kukosa wakati tupo likizo bila kuambiwa sababu ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Gharama za vipimo Muhimbili zimepanda kimyakimya?

    Jana siku ya jumatatu 26.08.2024 nilimsindikiza mgonjwa Muhimbili akaandikiwa kipimo cha Ultrasound tulivyoenda kulipia tumekuta bei imepanda zamani ilikuwa Tsh 25,500 lakini jana tumelipishwa 35,500,je ina maana na vipimo vingine navyo vimepanda bei au imekaaje hii. Je hali ikiwa hivi sisi...
  12. T14 Armata

    JamiiForums Tanzania Shule zenye ubora ni gharama lakini muhimu sana

    Bila kupoteza muda leo natoa mawazo yangu yanayotokana na uzoefu niliokutana nao mwenyewe. Kuna mkanganyiko unatokea kwenye suala la elimu na shule hasa za msingi, sekondari na Advanced level. Kuna kundi la wazazi wavivu, sizitaki mbichi hizi na wazembe wa majukumu hasa wakiongozwa na chairman...
  13. Beberu

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kujenga frame moja

    Hello wakuu, kuna mahali nataka kuweka biashara, sasa hakuna frame (chumba) so nataka nijenge mm kwa makubaliano na mwenye eneo, ENeo la frame ni sqm 35 (7*5), hivyo naomba wazoefu wa ujenzi mnisaidie kukadiria gharama za ujenzi wa eneo hilo, nje sitapakarabati sana, nitakarabat kwa mbele tu...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwa tanzania yetu nisaidieni kutaja vitu ambavyo ni vya ku enjoy ila havina gharama

    Kwa mazingira yetu yalivyo ni vitu gani vya kunoga ambavyo havimalizi hela yaani cost yake almost equal to zero. 1.kuogelea bahari ya hindi 2.kufuga bata lengo uwe unakula pilau na bata 3.gongo+mnazi (tembo) 4.x +punyeto 5.download movies kwenye wi-fi 6.audiomack 7.jamiiforum 8.mke mrembo...
  15. Ndama Matandiko

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Ndugu mwana JF, Napenda kuzidi kuwakumbusha kuhusu biashara ya mafuta saivi ndio biashara inayoshika hatamu Kwa Kasi sana. Biashara ambayo inakupa faida Kwa haraka bila mawazo kwani biashara hii ni nzur sana. Unaweza wekeza kituo 1 Cha mafuta ndani ya mwaka 1 ukawa na uwezo wa kujenga kituo...
  16. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Hili punguzo la leo la Airtel kwenye gharama za voice bundle ni la kudumu?

    Kwa ajili ya shughuli zangu mbalimbali nimekuwa naweka 10,000/= na kupata kifurushi cha dakika 1,200 kwa mitandao yote na kwa mwezi mzima. Leo nashangaa nilipokuwa nimejiandaa kujiunga kwa 10,000 kupata hizo dakika 1,200 nilizozoea nashangaa menu imekuja na chaguzi kadhaa mojawapo ikiwa ni ya...
  17. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Gharama za Maisha Zanzibar Zipo Juu sana

    Samaleko.. Kabla hujawaza kwenda Ulaya, America au Asia kula maisha jitaidi sana uanzie Zanzibar ujionee maajabu ya bei za vitu. Kiufupi Huku Zanzibar ni sawa tu na Ughaibuni, ukiweza kumudu kula bata kwa muda wa mwezi mmoja maeneo kama Kendwa, Nungwi, Kiwengwa au Paje basi unaweza kumudu kukaa...
  18. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Gharama mpya ambazo Aga Khan wanataka walipwe kwa wateja wa NHIF ni kuhujumu nchi. Haikubaliki

    Hospitali ya Aga Khan wanataka kutoza Shilingi 6,000,000/= kwa huduma za kujifungua kwa njia ya upasuaji wakati Hospitali nyingine zenye hadhi sawa ya rufaa ya Kanda wanatoza kiasi cha Shilingi 230,000/= huku bei ya juu katika baadhi ya Hospitali ikijumlisha na huduma ziada hutoza kiasi cha...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho hujawahi kujua ni gharama hadi ulivyokuwa mtu mzima?

    Kwa kuwa sasa nimekuwa mtu mzima, nimegundua kuwa nimekuwa na bajeti kali, hasa linapokuja suala la vitu vya kupikia. Nakumbuka zamani nilivyokuwa nikigombana na mama kuhusu matumizi ya mafuta ya kupikia; mara nyingi nilikuwa naweka mafuta mengi kwenye chakula, na kama yakizidi, nilikuwa nachuja...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Lissu umeutumikia upinzani na kumwaga damu yako kwa gharama kubwa, upinzani uliokoa maisha yako, kulikoni?

    Kusema ukweli sitegemei Lissu atoe kauli alizozitoa kuwa CHADEMA siyo mama yake, ni kweli wote tunafahamu hivyo lakini angalia historia yako kwenye upinzani, na hadi ulipopigwa risasi. Nadhani hakuna aliyeteseka na kupigania haki za watanzania kama wewe. Safari ya mapambano ni ndefu na ngumu...
Back
Top Bottom