ghana

Ghana ( (listen)), officially the Republic of Ghana, is a country in West Africa. It spans along the Gulf of Guinea and the Atlantic Ocean, sharing borders with the Ivory Coast in the west, Burkina Faso in the north, Togo in the east, the Gulf of Guinea and the Atlantic Ocean in the south. Ghana covers an area of 238,535 km2 (92,099 sq mi), with a population of 31 million. It is the second-most populous country in West Africa, after Nigeria; and Accra is its capital and largest city.
The first permanent state in the territory of present-day Ghana dates back to the 11th century, the Bono State. Numerous kingdoms and empires emerged over the centuries, of which the most powerful were the Kingdom of Dagbon, and the Ashanti Empire. Beginning in the 15th century, the Portuguese Empire, followed by numerous other European powers, contested the area for trading rights, until the British ultimately established control of the coast by the late 19th century. Following over a century of native resistance, what are now Ghana's borders follow the lines of what were four separate British colonial territories: Gold Coast, Ashanti, the Northern Territories and British Togoland. These were unified as an independent dominion within the Commonwealth of Nations on 6 March 1957.Ghana is a multinational state, home to a variety of ethnic, linguistic and religious groups. According to the 2010 census, the vast majority, or 71.2%, of Ghana's population was Christian, 17.6% was Muslim, and 5.2% practised traditional faiths. Ghana's diverse geography and ecology ranges from coastal savannahs to tropical rain forests. It is a unitary constitutional democracy led by a president who is both head of state and head of the government. Ghana's growing economic prosperity and democratic political system have increased its regional influence in West Africa. It is a member of the Non-Aligned Movement, the African Union, the Economic Community of West African States (ECOWAS), Group of 24 (G24) and the Commonwealth of Nations.

View More On Wikipedia.org
  1. simplemind

    JamiiForums Tanzania Je, Jerry John Rawlings Aliimarisha au Kudhoofisha Demokrasia ya Ghana?

    Jerry John Rawlings anabaki kuwa mmoja wa viongozi mashuhuri na wenye utata mkubwa katika historia ya kisasa ya Ghana. Uongozi wake ulidumu kwa zaidi ya miongo miwili — kuanzia utawala wa kijeshi hadi mfumo wa vyama vingi. Swali la kama aliimarisha au alidhoofisha demokrasia ya Ghana linaweza...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Bahubali: Mamlaka za Ghana zasitisha shughuli za michezo ya Ndondi

    Mchezo wa ndondi na shughuli zote nchini Ghana vimesitishwa kufuatia kifo cha bondia wa uzani wa kati, Ernest Akushey, maarufu kama Bahubali, aliyefariki siku 11, ikiwa ni baada ya pambano lake mjini Accra. Bahubali, mwenye umri wa miaka 32, alifariki dunia siku ya Jumanne. Ingawa chanzo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji 11 kutoka Marekani waishtaki Serikali ya Ghana kwa Kuzuiliwa kinyume cha Sheria

    Watu 11 waliorejeshwa nchini Ghana kutoka Marekani wameifungulia mashtaka serikali ya taifa hilo, kwa madai ya kuzuiliwa kinyume cha sheria. Wakili wao, Oliver-Barker Vormawor, ameiambia BBC kuwa wateja wake hawajavunja sheria yoyote ya Ghana, lakini walihifadhiwa kwenye kambi ya kijeshi bila...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu wa Ghana Aenguliwa Kufuatia Tuhuma za Matumizi Mabaya ya Fedha za Umma

    Ghana's President John Mahama has fired the country's Chief Justice Gertrude Torkornoo following a recommendation by an inquiry. She had been on suspension since April after complaints were lodged against her in petitions by three individuals. A president-appointed commission then found that...
  5. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ni kiongozi gani wa serikali ya GHANA alitakiwa mpaka muda huu awe jela?

    ina maana ile serikali ya GHANA wote waliomo mle ndani ni wote watakatifu?
  6. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Je, uteuzi wa Balozi wa Ghana mwenye asili ya Kiasia unaonesha kuwa Waafrika ni wabaguzi zaidi kuliko hata walowezi?

    UTANGULIZI: Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni Mghana mwenye asili ya Kiasia – jambo ambalo kwa baadhi ya watu limechukuliwa kama "kashfa" kwa...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ghana afutilia mbali posho za mafuta ya gari kwa viongozi wote wanaoteuliwa

    Wakuu, Rais wa Ghana, John Dramani Mahama, ameamuru kufutwa mara moja kwa posho za mafuta ya gari kwa viongozi wote wa Serikali ambao wameteuliwa kama sehemu ya kupunguza matumizi ya serikali na kuelekeza fedha za umma kwenye kuboresha sekta za afya, elimu na kwenye serikali za mitaa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Ghana kuifadhili Ukraine kutengeneza drones na Ghana kupata uzoefu wa vita vya Russia na Ukraine ili kuimarisha ulinzi wa mipaka yake

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ametangaza kuwa Ghana iko tayari kufadhili uzalishaji wa ndege zisizo na rubani (drones) za Ukraine, baada ya mazungumzo ya simu na Rais wa Ghana, John Dramani Mahama. Taarifa hiyo imetolewa kupitia mtandao wa kijamii X, kwa mujibu wa shirika la habari la...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ghana amasimamisha kazi Jaji Mkuu: Uhuru wa mahakama mashakani

    Sitaki kuandika juu ya sababu za kumsimamisha, my concern is the Idependncy of the Judiciary! Ghana president suspends chief justice in unprecedented move Rais wa Ghana, John Mahama, amemsimamisha kazi Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu – tukio la kwanza katika historia ya nchi hiyo. Uchunguzi...
  10. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Bondia wa Nigeria Gabriel Olanrewaju Amefariki Baada ya Kuanguka Wakati wa Pambano la Uzani wa juu Nchini Ghana

    Oluwasegun, bingwa wa zamani wa kitaifa na Afrika Magharibi katika daraja lake la uzani, alipoteza fahamu katika raundi ya tatu ya pambano lake la Ligi ya Ndondi ya Kulipwa ya Ghana dhidi ya bondia wa Ghana Jon Mbanugu kwenye Uwanja wa Ndondi wa Bukom mjini Accra siku ya Jumamosi Mamlaka ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Ghana Shatta Wale agomea show kwa $200,000 baada ya kugundua Diamond kalipwa $600,000 (Tsh Bilioni 1.5) na Davido $500,000 (Tsh Bilioni 1.3)

    Tumezoea kusikia wasanii wa nchi kama Kenya wakilalamika wasanii wa nje kulipwa zaidi yao lakini hawaiachi pesa iende, Huko Ghana hali imekuwa tofauti, bilionea aliita wasanii watoe burudani kwenye Birthday yake, msanii maarufu wa Ghana alipogundua wasanii wa nje wamelipwa zaidi yake alirudisha...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Nyerere kwenye mkutano wa wakuu wa nchi huru za Africa mwaka 1964. Nyerere alikuwa na bifu kali sana na Rais Kwame Nkrumah wa Ghana

    HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA UNGUJA MWALIMU JULIUS K. NYERERE KWENYE MKUTANO WA VIONGOZI WA NCHI ZA AFRIKA, MJINI CAIRO Tarehe 20 Julai, 1964 NINATAKA kuwaunga mkono katika kutoa shukurani zangu kwa Rais Nasser, serikali yake na kwa watu wa Jamhuri ya Nchi za...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Baba Levo adai Diamond amelipwa TSh. 2.7 Bilioni kutumbuiza kwenye birthday ya Bilionea Ghana

    Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amewasili Accra, Ghana, kwa ajili ya kutumbuiza kwenye sherehe ya kuzaliwa ya bilionea maarufu wa nchi hiyo, Richard Nii Armah Quaye. Kwa mujibu wa Baba Levo, Diamond amelipwa kiasi cha shilingi bilioni 2.7 za Kitanzania kwa ajili ya kutumbuiza katika...
  14. Damaso

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ghana, John Mahama ametangaza marufuku ya safari za Ndege za daraja la kwanza kwa Maafisa wa Serikali

    Rais wa Ghana, John Mahama ametangaza marufuku ya safari za Ndege za daraja la kwanza kwa Maafisa wa Serikali wakiwemo Mawaziri ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupunguza matumizi ya Serikali. Aidha Rais Mahama amesisitiza kuwa safari za dharura pekee ndizo zitakubaliwa na lazima zidhinishwe na...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Sanamu la Rais wa zamani wa Ghana Akufo Addo labomolewa, majigambo na kujitukuza zatajwa kama sababu

    Wakuu, Huko nchini Ghana sanamu ya kumbukumbu ya Rais wa zamani wa Ghana, Nana Akufo-Addo, iliyojengwa mwishoni mwa mwaka jana, imeangushwa. Wakati Akufo-Addo akizindua sanamu hilo Januari (11) katika Mkoa wa Magharibi alikumbana na mapokezi mabaya sana kwenye mitandao ya kijamii, huku wengine...
  16. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mama kutoka Ghana aliwahi kuniambia Wachaga na Wanyantuzu ndio wanajituma kama watu wa Afrika Magharibi, Wengine ni wapole sana

    Huyu mama amekaa TZ kwa miaka kama 12. Anadai watu wote wa Afrika Magharibi hasa Nigeria na Ghana ni machachari ( agressive) sio wapole wapole kwenye mambo ya msingi ya maisha. Nilimbishia ila kwa kauli ya Aliyekuwa Rais wetu JK kuwa watanzania wengine hatujitumi kama wachaga naona kama yule...
  17. Nyumba Nafuuu

    JamiiForums Tanzania List y Ramani z Nyumba Zaidi y 450 Unazoweza Jenga TZ na Makadirio Gharama Yake (Nafuu, Kawaida, Bungalow, Ghorofa, Pangisha) Tanzania, Kenya, Uganda

    List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako Piga/WhatsApp: +255-657-685-268 Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Isingekuwa CCM, Ghana na Tanzania walipaswa kuwa mababa wa siasa za kistaarabu Afrika

    Niliposikia pongezi toka kwa mgombea wa chama tawala aliyeshindwa uchaguzi mkuu wa kule Ghana akimpongeza mpinzani aliyeshinda ikanifanya nikumbuke kwamba Ghana iliwahi kuongozwa na kiongozi mashuhuri sana wa siasa za Afrika na ndio maana ya ustaarabu tunaoushushudia Ndipo zikanijia kumbukumbu...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani na kiongozi wa chama cha upinzani ashinda kiti cha Urais Ghana

    Wakuu, Katika tukio la kihistoria la uchaguzi mkuu wa Ghana, John Mahama, Rais wa zamani na kiongozi wa chama cha upinzani cha National Democratic Congress (NDC), amerejea madarakani baada ya kushinda uchaguzi uliofanyika Jumamosi, Disemba 7, 2024. Mahama aliibuka mshindi dhidi ya Makamu wa...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ghana: Wapiga Kura wa Ablekuma Magharibi wasusia Chakula cha Mbunge wao Ursula Owusu-Ekuful, siku ya uchaguzi

    Wapiga kura katika Jimbo la Ablekuma West lililopo Mkoa wa Greater Accra, Ghana, walikataa chakula kilichodaiwa kutolewa na Mbunge wao Ursula Owusu-Ekuful siku ya uchaguzi. Tukio hili limetokea leo Disemba 7 katika kituo cha kupigia kura, ambapo wapiga kura walimzomea dereva wa gari la...
Back
Top Bottom