gerezani

Gerezani is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2012 census, the ward has a total population of 7,276.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mambo yanayopeleka wengi gerezani.!

    Katika maisha ya utafutaji huwa tunapitia mambo mengi sana vikwazo,dhuluma,wivu, na mambo kadha wa kadha. Leo nitaeleza mambo mawili yanayotufanya/yatakayotufanya tujikute mwibani,ngombe au ukipenda sema gerezani. Hasira...
  2. JamiiForums Tanzania Zingatia mambo haya ukiwa gerezani

    Gerezani ni sehemu ngumu sana na isiyoelezeka kwa mambo yaliyopo kule ili kupunguza makali ya gerezani unaweza fanya haya mambo. 1-Mfungwa hachagui gereza ni kweli ila unaeza kuchagua gereza wengi wanapohukumiwa huingia gerezani hapa unaeza kutambua gereza ulilopo ni la...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mbiwe kutolewa gerezani kwa nguvu ?

    Najiuliza kwa sauti kubwa
  4. JamiiForums Tanzania Huu hapa wimbo KAIZARI, uliomtia gerezani mwanasiasa Vitalis Maembe

    https://www.tanzaniaweb.com/TanzaniaHomePage/NewsArchive/Msanii-Vitali-Maembe-Adaiwa-Kukamatwa-na-Polisi-567823
  5. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Darasa la Saba aliyefanya mtihani akiwa Mahabusu afaulu kwa kupata Daraja B

    Licha ya kushikiliwa gerezani kwa tuhuma zinazomkabili, Kunde Gambija Kilulu (15) alikuwa miongoni mwa zaidi ya watahiniwa milioni 1.1 waliofanya mitihani ya darasa la saba na hatimaye kufaulu kwa daraja B. Wakati wanafunzi wenzake wakifanya mitihani hiyo wakiwa katika mazingira ya kawaida...
  6. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya binti kwa baba yake yalisaidia kumtoa baba gerezani

    Ilitokea huko Ufaransa, wakati wa utawala wa Louis XIV, huyu baba alihukumiwa kufia gerezani kwa njaa kosa lake aliiba mkate. Mtoto wake akiyekua ananyonyesha alikwenda kumtembelea baba yake kila siku. Akifika anampa baba yake maziwa yake anyonye. Baada ya miezi minne walishangaa kumuona mzee...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nyakati zaja, tutakapoamua kumwona Mbowe gerezani hadi uwe na kibali maalum

    WAAFRIKA wamezaliwa na roho ya ajabu sana, wamezaliwa na roho yakuumizwa na mafanikio yako Hadi kufikia mahali kutumia fedha au madaraka kukukandamiza. Kitendo cha viongozi wa dini kusimama na kutamka adharani kwamba Mbowe yupo mahabusu kinyume Cha sheria kwa kesi za kubumba kinawaumiza Sana...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna wanachama wa Upinzani 400 gerezani halafu mnasema kuna utulivu?

    Nasikitishwa sana na wanaosema eti Tanzania kuna amani na utulivu wakati wanachama wa chama wa CHADEMA takribani 400 na zaidi wako gerezani kwa kesi mbali mbali za kubambikizia za mauaji na uhujumu uchumi, huo utulivu unatokana na nini? Haikutosha mmeamua kumtupia kesi ya Ugaidi mwenyekiti wao...
  9. JamiiForums Tanzania Unamsaidia vipi kisaikolojia Mwanasiasa aliye au anayetarajia kwenda jela muda mrefu ili asiathirike na kukata tamaa ya Maisha?

    Hapa nilipo nchini Somalia katika Mji maarufu wa Hargeisa kuna Mwanasiasa Mmoja maarufu aitwae Mahmoud Salim kaenda Jela miaka mingi tu ila kuna mwingine nae pia ni maarufu na Kipenzi cha wengi aitwae Tariq Masoud muda wowote anaenda Jela. Bahati nzuri wote hawa ni Marafiki zangu wakubwa Mimi...
  10. JamiiForums Tanzania Nenda Sabaya lakini bila wewe haya yasingewezekana kutokea wilaya ya Hai

    Ni kweli chadema na wapinzani wengi wameshangilia sana kifungo cha Lengai Ole Sabaya cha miaka 30 jela lakini ukweli ambao hausemwi ni kwamba wana CCM wengi wamehuzunishwa na kuchukizwa mno na kifungo cha Sabaya. Kwenye macho ya wazalendo wa nchi hii, Sabaya ni mzalendo wa kweli aliyejitoa...
  11. JamiiForums Tanzania Algeria: Mdogo wa Rais Abdelaziz Bouteflika ahukumiwa kifungo cha miaka 2 gerezani

    Said Bouteflika ambaye ni mdogo wa Abdelaziz Bouteflika aliyekuwa Rais wa Taifa hilo kuanzia mwaka 1999 hadi 2019 amehukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani kwa kukwamisha Sheria kuchukua mkondo wake. Amehukumiwa pamoja na Waziri wa zamani wa Sheria, Tayeb Louh na Mfanyabiashara Ali Haddad...
  12. JamiiForums Tanzania Gwiji la mauaji ya kimbari Theoneste Bagosora afariki gerezani

    Kanali katika jeshi la zamani la Rwanda aliyepatikana na hatia kutokana na nafasi yake katika mauaji ya kimbali ya mwaka 1994 ambapo watu zaidi ya 800,000 waliuawa, amefariki gerezani nchini Mali ambako alikuwa akitumikia kifungo. Théoneste Bagosora, mwenye umri wa miaka 80, alikuwa afisa wa...
  13. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Gerezani alipogombea Ubunge nchini Canada

    MTOTO WA GEREZANI ANAGOMBEA UBUNGE CANADA Originally a native of Tanzania, I immigrated to Canada settling in Ottawa where I graduated from Ridgemont High School, followed by attending the SUNY (State University of New York) Oneonta University in New York. One of my core beliefs is the...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa Shutuma Kubwa walizonazo sioni akina Sabaya na Mbowe wakikwepa kuyaanza Maisha yao mapya na rasmi Gerezani

    Anaanza Kuhukumiwa kwenda Jela mwana CCM Sabaya kisha anafuatia mwana CHADEMA Mbowe na Mzani unakaa sawa. Ushauri wangu wa bure tu kwa Familia za Wahusika waanze Kujiandaa Kisaikolojia na kupeana zamu kwenda Gerezani. Hukumu za hawa Wawili zitaionyesha Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania ya Bi...
  15. JamiiForums Tanzania Ayubu Sikagonamo wa CHADEMA atimiza siku 378 gerezani bila kuhukumiwa

    Huyu ni kijana aliyechangia kwa kiasi kikubwa sana kusambaratishwa kwa ccm huko Tunduma , alikuwa diwani wa Tunduma Mkoa wa Songwe , alishakamatwa mara kadhaa na kuachiwa kama wakamatwavyo viongozi wengi wa Chadema. Ili kumkomoa akatengenezewa kesi ya Uhujumu uchumi , yaani diwani na Mkulima wa...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Rais Hakainde Hichilema amuapisha askari aliyemtendea wema akiwa gerezani kuwa naibu kamishna wa Magereza

    Njia ya Mungu ni fumbo RAIS HAKAINDE HICHILEMA AMUAPISHA ASKARI ALIYEMTENDEA WEMA AKIWA GEREZANI KUWA NAIBU KAMISHNA WA MAGEREZA. KUNA SOMO LA KUJIFUNZA Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ameteua Bwana Kuyomba Bwalya kuwa Naibu Kamishna Jenerali wa magereza "Zambia Correction Service"...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge ataka wafungwa waende gerezani na magodoro

    Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Songwe Neema Gerald, amesema kuwa ili kuipunguzia serikali mzigo wa kununua magodoro kwa ajili ya wafungwa na mahabusu gerezani, basi ione haja ya wafungwa hao kuwa wanaenda na magodoro yao. Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Songwe Neema Gerald Mbunge huyo ametoa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini daladala hazifiki Kituo cha BRT na Daladala Gerezani?

    Habari zenu Ndugu, Naomba ufafanuzi kidogo maana kuna jambo linasababisha kero na foleni kubwa ndani ya Kariakoo. Hivi haya madaladala yenye route kama Masaki---Gerezani kwanini yanaishia kariakoo na hayafiki kabisa gerezani? Je, kuna mpango wa kuyahamishia kituo cha Gerezani? Kituo hicho...
  19. JamiiForums Tanzania John Mnyika, ni bora muwe gerezani wote au Katiba Mpya?

    Siwezi kusema sana na wewe kama mtendaji mkuu wa Chama tikasikia kesi ya Ugaidi kama alivyo kwa mwenyekiti wako. Mwambie yupo ndani wewe hujashtakiwa na mtu. Wakati mnahangaika na mashtaka yake lazima muendelezo suala la madai ya Katiba Mpya. Naamini kusudi zima la kumkamata Mbowe ni kufifisha...
  20. JamiiForums Tanzania Wito: CHADEMA chagueni Mwenyekiti mwingine, Mbowe kutoka ni ishu ya miaka

    Leo nimemsikiliza mzee mmoja mstaafu kutoka Kitengo cha Kupambana na Ugaidi Tanzania. Nimeshtuka sana pale aliponiambia kuwa ili mtu akamatwe kwa kosa la ugaidi lazima Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi atoe amri baada ya kujiridhisha na ushahidi wa mshukiwa. Amenihakikishia kuwa trials za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…