Habari wakuu
Kama kicha cha habari kinavojieleza,,,nimeplani mwezi wa kumi msimu wa kilimo kwa kanda ya ziwa, kwenda mkoa wa GEITA, hasa geita vijijini, kijiji cha BUTUNDWE
Lengo ni kwa ajiri ya kupambana na uchumi kwenye nyanja ya Kilimo cha maharage na mahindi
Nime plan kukaa kwa miezi mitatu kwa kuanzia paka project itakapo simama vizuri ila ruti zitakua nyingi tu
Napenda kujua A,B,C za icho kijiji , jinsi ya kuishi na wana kijiji,,naskia kanda ya ziwa uchawi ni mwingi nawezaje ku survive,, japo uchawi upo kila sehemu,,,
Sehemu yangu ya kurelax itakua katoro kila ijumaa paka jumapili.maana ni dk kadhaa tu kutoka butundwe kwenda katoro
Wanaojua huko nijuzeni
Nawasilisha