geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Geita: Watu 6000 wavamia nyumba ya mtu ili kuchimba dhahabu

    ENEO la nyumba ya mkazi wa Kijiji cha Nyambogo Kata ya Nyakafuru Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita limevamia na watu zaidi ya 6,000 kwa ajili ya kusaka madini ya dhahabu. Makundi mbalimbali ya watu kutoka maeneo kadhaa yamefika kijijini hapo kwenye nyumba hiyo, baada ya mwanakijiji...
  2. JamiiForums Tanzania Geita: Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa Richa 4.8 latikisa

    Limepita saa hii 05:38am na kudumu kwa sek 10 hv. Sijui maeneo mengine vipi.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

    Hivi umepata kujiuliza unapopita katika mitaa mbalimbali ya mjini Dar au mji mwingine wowote Tanzania, jina la mtaa au eneo husika limetokana na nini? Kwa mfano, Kijito Nyama limetokana na nini? Au Mlalakuwa, Au Mtoni kwa Aziz Ali n.k, n.k. Labda utadhani imetokea tu ... just ipo ipo, hapana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Job Vacancy at Geita Gold Mining Ltd: Longhole Drill Operator

    ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in...
  5. JamiiForums Tanzania GEITA: Wanafunzi wa Shule ya sekondari Lwezera wajeruhiwa na Radi

    Wanafunzi wamejeruhiwa na Radi katika shule ya sekondari Lwezera Majira ya leo mchana wakati mvua ikiwa inanyesha Radi imepiga maeneo ya Lwezera mkoani Geita katika wilaya ya Geita. Radi hiyo imejeruhi wanafunzi katika shule ya sekondari Lwezera lakini hakuna kifo kilicho ripotiwa mpaka sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Kamati ya Maji Geita watiwa mbaroni kwa ubadhilifu wa pesa

    Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia viongozi watatu wa kamati ya jumuiya ya maji inayosimamia mradi wa maji wa Mharamba uliopo wilayani Geita, kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha wanazokusanya kwa wananchi kwa kuwauzia maji kwa kipindi cha miaka sita. Baada ya waziri kuvuja jumuiya hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Geita: Wanafunzi wakimbia ovyo wakiogopa chanjo, Kaimu Mkurugenzi ataka waelimishwe chanjo ni hiari

    Hii ni Tanzania pekee😂😂😂😂 ====== Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Geita Edith Mpinzile, amewaagiza wazazi, walimu na maafisa elimu kutoa elimu kwa wanafunzi kuwa chanjo ya Corona ni hiari na haitolewi kwao kufuatia vitendo vya wanafunzi kukimbia madarasani kila waonapo gari...
  8. JamiiForums Tanzania Musukuma unajisikiaje uliowachongea kuendelea kupeta kwenye teuzi?

    Miezi kadhaa nyuma Mbunge Musukuma uliibua ununuzi wa gari VXR-V8 Geita, ukaibua ujenzi wa bustani (eneo la kupumzikia), ukaponda ukaongea sana, ukawachongea mkuu wa mkoa Luhumbi na mkurugenzi Geita mji. Nimeusoma mkeka Mkurugenzi uliemchongea yupo Ilemela, Luhumbi ndio mkuu wa mkoa Mwanza...
  9. JamiiForums Tanzania Geita: Wananchi wamuua aliyemshambulia Askari

    Kijana anayekadiriwa kuwa na miaka 20-25 amefariki dunia kwa kushambuliwa na wananchi baada ya kumjeruhi kwenye taya na kidevu Askari wa Usalama Barabarani kwa kumpiga na chuma cha kupondea mawe (Moko), wakati akiwa kwenye eneo lake la kazi Mtaa wa Mwembeni, barabara ya Katoro Ushirombo...
  10. JamiiForums Tanzania Chato: Raia walalamika kupigwa na Askari wa Maliasili

    Wakazi wa Kata ya Buseresere Wilayani Chato Mkoani Geita wamemuomba Waziri wa Maliasili na Utalii kuchukua hatua kwa askari wa maliasili wanaowapiga na kuwadhalilisha wananchi nyakati za usiku na mchana wakati wakiendesha zoezi la kutafuta mkaa majumbani kwa madai ya kukomesha uchomaji mkaa...
  11. JamiiForums Tanzania Afisa elimu mkoa wa Geita afariki ghafla kikaoni

    Afisa elimu mkoa wa geita Julius Nestory amefariki ghafla kikaoni. Taarifa zitawajia punde. === Ofisa Elimu Mkoa wa Geita, Julias Nestory amefariki ghafla wakati akiwa kwenye kikao na maofisa elimu wa wilaya kilichofanyika katika Shule ya Sekondari Nyankumbu iliyopo mjini Geita. Mganga...
  12. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mkuu wa Mkoa vs Waziri : Ipi tofauti kati ya "Makambi ya RC Mtaka" na RC Geita kufukuza wanafunzi 11 na kuhamisha Walimu .

    Mods uzi una maudhui tofauti na nyuzi zilizopita japo nimezitumia kama Mfano. Nimeweka Link ya Mijadala hiyo Miwili ili kuweka kumbukumbu sawa. Kuna mada imetrend sana kwenye jamvi letu kuhusu Kauli ya RC wa Dodoma Mh Mtaka akipinga maagizo ya Waziri wa elimu Prof Ndalichako ya kutaka kuondolewa...
  13. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 11 shule iliyoungua moto Geita wafukuzwa

    Kufuatia matukio matatu ya moto katika Shule ya Sekondari Geita ndani ya siku saba na kusababisha wanafunzi watatu kujeruhiwa, maabara na darasa kuteketea kwa moto, mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule ameiagiza bodi ya shule hiyo kuwafukuza wanafunzi 11 waliobainika kuwa na makosa ya...
  14. JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari ya Wavulana Geita (GESECO) imefungwa kwa muda wa wiki mbili baada ya kuungua mara 3 ndani ya siku 7

    Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule ameifunga Shule ya Sekondari ya Wavulana Geita (GESECO) kwa muda wa wiki mbili baada ya moto kuwaka katika bweni la wavulana usiku wa kuamkia leo Julai 14, 2021. Kutokana na uamuzi huo, wanafunzi wote wametakiwa kurudi majumbani, na wanafunzi wanaosoma...
  15. JamiiForums Tanzania Head Teacher at Geita Gold International School

    ABOUT GEITA GOLD INTERNATIONAL SCHOOL (GGIS) Geita Gold International School (GGIS) is owned and maintained by Geita Gold Mining Ltd, located at Geita Region within the mine license area. The school is accredited by the Council of International Schools (CIS) and affiliated to Association of...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Miji mikubwa ya Tanzania tayari imekumbwa na wimbi la tatu la Covid-19

    Rais Samia akiwa katika ziara yake mkoa wa Morogoro maeneo ya Kibaigwa amewataka wananchi wote kuchukua tahadhari juu janga la Covid-19. Katika kufafanua jambo hili Rais Samia amesisitiza kuwa wimbi la tatu la ugonjwa huu limeshaanza kutikisa katika miji mikubwa ya taifa la Tanzania. Aidha...
  17. JamiiForums Tanzania Kutokana na changamoto za kibiashara mkoani Geita nafikiria kuhama mkoa, naomba mnishauri

    Wakuu habarini za leo!? Lengo kuu la Uzi huu ni kutaka mawazo mbadala ama ushauli kutoka kwenu. Mimi mkazi wa Geita mjini mwenye miaka 24, sjaoa na Wala Sina mtoto. Naweza kusema kwasasa mm ni mzawa wa geita mjini japo kua skuzaliwa hapa ila nimeishi tangu mwaka 2002 mpaka leo. Mwaka 2018...
  18. JamiiForums Tanzania Bukombe, Geita: Walimu waripotiwa kuzihama nyumba walizojengewa na Serikali kutokana mauzauza

    Baadhi ya walimu wilaya ya Bukombe wameripotiwa kuzihama nyumba walizojengewa na Serikali na kwenda kupanga mjini Ushirombo kutokana na kuona mauzamauza ya sungura waliovaa tai na watu waliosimama katika nyumba hizo usiku. Hayo yamebainishwa katika kikao cha baraza la madiwani. Chanzo: Clouds...
  19. JamiiForums Tanzania Geita, Chato: Mkandarasi arudia upya barabara aliyojenga chini ya Kiwango

    Taasisi ya Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Geita imemrejesha kujenga upya barabara ya Makurugusi kwenda Musasa wilayani Chato yenye urefu wa Kilometa moja na nusu kwa gharama zake baada ya mkandarasi huyo wa kampuni ya M/S Runazi General Supplies Company LTD kudaiwa kujenga barabara hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kuifahamu Bugando Secondary School iliyopo Geita

    Habarini wakuu, Naomba kuifahamu kiundani hii shule. Je, mazingira yake yapoje na je ni rafiki kwa kusoma hasa michepuo ya sayansi? Vipi kuhusu upatikanaji wa hostels kwa wanafunzi? Historia ya shule, imeanzishwa lini na perfomance-wise ikoje? Asanteni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…