geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mwaka 2004 nilikatwa mapanga na vibaka mkoani Geita nikisotea kazi Mgodini mpaka leo sijatoboa nauza Kangala tu

    Baada ya kumaliza kidato sikupata chuo. Migodi mikubwa ndio ilikuwa imeanza kufunguliwa nchini. Mimi nikaona isiwe tabu nikaenda Kakola mkoani Kahama kusotea kazi. Kazi zilikuwa ngumu sana kupatikana. Kama huna konection unasotea huku ukiishi kwa kuvunja magoti wanaotinga. Nilivyooona Mambo...
  2. Wenyeviti wa TANU Mwanza na Kijijini Nyamazugo Geita

    WENYEVITI CHAMA CHA TANU MWANZA NA KIJIJINI NYAMAZUGO GEITA NA HISTORIA YA KADI YA TANU Chairman wa TANU wa kwanza Mwanza nakumbuka jina lake Hussein Jumbe. Kijijini Nyamazugo Geita kadi za TANU zilikuwa zikipatikana kwa Mzee wa Kimanyema jina lake Saadallah. Hii ilikuwa katika miaka ya...
  3. R

    Je, waliomuua Alphonce Mawazo mkoani Geita wataachiwa huru kwenye rufaa?

    Nimeona kesi nyingi za rufaa zinazohusu mauaji watuhumiwa wanaachiwa huru katika hatua ya rufaa. Hali hii inaonyesha upo udhaifu mkubwa kwenye upelelezi, au uendeshaji wa mashtaka au utoaji hukumu. Katika hali hii inayoendelea upo uwezekano wauaji wenye nguvu ya fedha au siasa wakaachiwa wote...
  4. B

    Joseph Kasheku Musukuma alalamikia Wananchi wa Geita Vijijini kumpigia makofi Tundu Lissu

    Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema. Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Musukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita. Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja...
  5. Operesheni 255 yaendelea kutikisa Geita Vijijini, Dkt. Musukuma akalia kuti kavu

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameingia kwenye Jimbo la Geita Vijijini na kuwasha moto mkubwa wa Katiba Mpya, wananchi wamepata wasaa wa kupiga kura hadharani ya kuukataa Mkataba wa kitumwa wa Bandari na DP World. Kabla ya kura hiyo, Wananchi wa Jimbo hilo walilalamika kwamba, ukiacha...
  6. R

    Mbowe aendesha zoezi la kupiga kura ya wazi juu ya hoja ya Bandari akiwa Nyehunge Geita

    Baada ya zoezi Hilo la kupiga kura ya WAZI, Matokeo ni kuwa, Wananchi wote wameazimia Kwa pamoja kuwa Bandari zetu haziuzwi, hazikodishwi Wala kugawiwa Bure. Pia wananchi wameweka mikono kichwani na kupiga ukunga/nduru na kulia uwi! Hii ni Ishara kuwa, wananchi wanachukizwa na jaribio lenye...
  7. U

    Operesheni +255 CHADEMA & Rejesha bandari zetu: Kesho tarehe 2/8/2023 Tundu Lissu ndani ya Chato, Geita...

    Leo mzee wa kuwachapa za uso na za kichwa tu, Tundu Lissu - Makamu Mwenyekiti CHADEMA (Taifa) leo tumefungia siku katika mji mdogo wa Mbogwe. Kesho J'tano tarehe 2/8/2023 operesheni inaingia Wilaya Chato mkoani Geita na Tundu Lissu atahutubia mkutano mkubwa katika mji wa Chato na ratiba...
  8. Waziri Ummy Mwalimu, tunaomba MDH wasiondoke mkoa wa Geita

    Wasalaam ndugu wana Jukwaa, Kwanza nianze bandiko langu kwa kumpongeza Mhe. Waziri wa afya kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya ndani ya hii Wizara kubwa na muhimu sana kwa Watanzania. Hongera sana mheshimiwa Waziri Ummy. Wewe ni jembe haswa kwa maoni yangu na ni askari wa mwavuli wa Mheshimiwa...
  9. Wizara ya Madini imepongezwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kutoa elimu kwa wananchi

    MADINI YAPONGEZWA KWA KUTOA ELIMU NA KAMPUNI YA GGML #GGML wapongeza Mkaa mbadala wa STAMICO #GGML Kinara uchangiaji huduma kwa jamii Wizara ya Madini imepongezwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kutoa elimu kwa wananchi na wadau wanaotembelea banda la Wizara, taasisi zake...
  10. J

    SoC03 Promoting Accountability and Good Governance in the Gold Mining Sector in Geita, Tanzania

    Abstract: Accountability and good governance are crucial factors in the gold mining sector in Geita, Tanzania. This sector significantly contributes to the country's economy while providing employment opportunities to a large number of people. However, in order to drive positive change and...
  11. Geita: Mkoa "tajiiri" usiokuwa tajiri

    Sipajui sana Geita, lakini napafahamu, alau kidogo. Habari zake zimevuma ndani na nje ya Tanzania, hasa kwa shughuli za "uvunaji" dhahabu! Hivi karibuni, nimesimuliwa kuwa baada ya Mzungu mmoja huko ughaibuni kukutana na dhahabu iliyodaiwa kuwa ilichimbwa na kampuni ya Geita Gold Mine (GGM)...
  12. Aliyevamia Kanisa la RC Geita na kuharibu mali za Tsh. Milioni 48 alikuwa na akili timamu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imeelezwa kuwa mshtakiwa Elpidius Edward anayedaiwa kuvamia Kanisa Kuu la Kiaskofu jimbo Katoliki Geita na kufanya uharibifu uliosabisha hasara ya Sh48.2 milioni hana tatizo la afya ya akili. Akitoa ushahidi mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Johari...
  13. Walimu Geita: Kichinjio cha Msukuma tunacho sisi

    Walimu wengi vijana ndani ya jimbo la uchaguzi la mbunge Msukuma wameapa kufa naye kwenye uchaguzi mkuu ujao na kamwe watamwonyesha wao ni wasomi ndiyo maana wanasimamia uchaguzi umhusuyo. "....yeye si bingwa wa kututukana sisi wenye degree na kututweza kwamba hatuna lolote basi asubiri usio na...
  14. Vijana kufanya Maandamano kupinga Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na kampuni ya DP World ya Dubai

    Kimeumana! Nimezipata za chini ya kapeti ya kwamba kuna uwezekano mkubwa wa vijana wa Dsm na wa Dodoma kuingia barabarani weekend hii au Jumatano ijayo kupinga issue ya DP World. Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Vijaaanaa vijana vijana tuko tayari...
  15. R

    Mkoa wa Geita naufananisha na mji wa Gotham kwa matukio

    Kila uchwao huu mkoa una matukio. Kulikoni wasukuma wa Geita? Mbona wasukuma wa Kahama hakuna shida na ndiyo kuna machimbo. Husikii matukio. Wasukuma wa Kahama wamestaarabika hawana shida. Tatizo nini kwa wasukuma wa Geita? Inakua kama Mbeya ya zamani kule Mbozi.
  16. Kuishi Geita na Mara ni hatari kwa usalama wako na mali zako

    Hiii mikoa ni kama imelaaniwa kila kukicha utasikia Mauaji Geita Mauaji Mara imekua kama wimbo sasa. Kuna muda nafikiria kwanini tusiifute hii mikoa tuifanye misitu watu waneuliwa, watu wamevamiwa biashara zao. Polisi wapo ila wapo busy kula rushwa na kuchora ramani na majambazi. Kuishi Mara na...
  17. Operator 2- Equipment at Geita Gold Mining Ltd (GGML) May, 2023

    ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in...
  18. Watuhumiwa Mauaji ya Daktari Isack na Milembe Suleiman, Afisa Ugavi GGM Wakamatwa, Mmoja Ajinyonga

    Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watatu wa mauaji ya aliyekuwa mfanyakazi wa mgodi wa GGM Geita Milembe Selemani yaliyotokea Aprili 26,2023 katika mtaa wa Mwatulole mkoani Geita pamoja na watu watatu waliofanya mauji ya aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kerende Dk. Isack...
  19. B

    Chongolo awasili Geita kuzindua vitega uchumi vya CCM

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo leo tarehe 15 Mei, 2023 amewasili wilayani Bukombe mkoa wa Geita kwa ziara ya siku moja na kuzindua majengo mbalimbali ya Chama Cha Mapinduzi ikiwemo ukumbi wa mikutano, nyumba ya kupumzika wageni (Rest House) na mgahawa (Restaurant)...
  20. Wananchi wa Geita walalamikiwa kupiga simu Zimamoto mara kwa mara kuwasalimia Askari

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Geita, limewalalamikia wananchi wa Mkoa huo wanaotumia muda mwingi kupiga simu ya bure ya Jeshi hilo kwa lengo la kuwasalimia Askari waliopo zamu pamoja na kuulizia uwepo wa maji ya kutosha na utayari wao, ambapo limebainisha kuwa hali hiyo inazuia wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…