gari

  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina tambua kuwa Watanzania wa leo sio wale 1995 waliokuwa wanasukuma gari la Marehemu Lyatonga Mrema

    Unadhani watu bado mambumbu? Acha maigizo ya kisiasa ================== Mgombea urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, ameapa kuendeleza mapambano dhidi ya ufisadi nchini, akisisitiza kuwa hatapumzika hadi Watanzania wote wanufaike na rasilimali za taifa, na chama hicho kipo makini...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa gari za Abiria Mbeya - Kyela wadai Maafisa wa LATRA wamekuwa kero kubwa kwao

    Usafiri wa gari za kutoka Jiji la Mbeya kuelekea Wilayani Kyela uliyumba kwa saa kadhaa jana Agosti 7, 2025 baada ya madereva wa magari ya abiria kugoma, wakilalamikia kero, usumbufu na faini kubwa zisizoendana na uhalisia na hali ya kipato chao kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini...
  3. JamiiForums Tanzania Gari ya wanafunzi/primary imewekwa Tinted

    Wakuu Katika harakati zangu wiki iliopita saa 12 asubuhi nilikutana na hii gari ya watoto wa nursery imepigwa tinted vioo vyote(hadi cha dereva) ispokua kioo cha mbele. Kwa kushamiri kwa matukio ya unyanyasaji wa kingono na ukatili dhidi ya watoto, hili linawezekanaje? Unamlaumu nani 1. Kwanini...
  4. JamiiForums Tanzania Weasel manizo wa uganda yuko hoi mke wake alimgonga na gari maksudi

    Nitarudi nasikia uganda mke wake kamgonga na gari nitakuja asubuhi kuleta taarifa kamli kutoka uganda nasikia anaweza katwa miguu mke wake ni mrwanda Haya 15:08 nimerudi tena kumalizia ufyete kutoka uganda Basi bwana, vyanzo vya kuaminika vya mitaa ya kampala vimepiga kelele...
  5. JamiiForums Tanzania Tumefika pabaya, Chawa kama Mwijaku kutembea na vimulimuli vya kwenye gari za polisi au gari za escort ina maana gani?

    Wakuu, Hii picha mmeiona? Hivi vimulimuli ambavyo naviona kwenye hili gari la Mwijaku vinamaanisha nini? Au sio vimulimuli hivi? Na hapa alikuwa nyumbani kwake huko Kigomboni. Kama nchi tunaelekea pabaya sana. Ni vyema tujulishwe hivi vimulimuli vinamaanisha nini na kwanini Mwijaku anavyo...
  6. JamiiForums Tanzania Waswahili wanatabia ya kubeza maendeleo ya watu , utasikia gari lenyewe / nyumba ya mkopo

    Waswahili huwa hawa appreciate / kupongeza hatua ya mtu ya maendeleo anayopiga utasikia tu wanakosoa nyumba/ gari yenyewe ya mkopo . ingekuwa kukopa ni rahisi kila mtu angekopa .ukiona mtu bank imemuamini kumkopesha ujue huyo anasifa za kukopesheka , anayesema hivyo yeye hata sifa ya...
  7. JamiiForums Tanzania Nataka gari ya mil5 IST,vitz iwe D fresh?? Sijui kuhusu magari ila Usijaribu kunirubuni

    Matajiri Nashida na kagari flan ivi ka kujifunzia funzia na kwendea sokoni. Location mwanza Nb: huwa napenda kujua na sababu ya kuuza
  8. JamiiForums Tanzania Gari lako linasumbua mara kwa mara?

    Umeshachoka kutumia pesa nyingi kwa mafundi wasiotoa suluhisho la kudumu? Karibu Jerry Spare Parts and Services – mahali ambapo gari lako linarejeshwa katika hali bora kwa huduma za kitaalamu, vipuri halisi, na uaminifu wa hali ya juu. Tunapatikana Mikocheni - Victoria, Dar es Salaam, pamoja na...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge wa Zamani Sumbawanga Aeshi Hilaly Adaiwa Kugonga Makusudi Gari la Sultan Seif Salehe

    Katika video inayosambaa katika mitandao ya kijamii, inadaiwa ni tukio lililofanywa na mbunge wa Sumbawanga aliyemaliza muda wake na mtia nia pia kupitia CCM, Aeshi Khalfan Hilaly, kwa kugonga makusudi gari la Sultan Seif Salehe.
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Kinachoendelea Jimbo la Uyole: Mpinzani wa Tulia avamiwa na gari yake kuharibiwa

    ENEO la Isyesye nyumbani kwa Dr Seria Masole Shonyela mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole. Wametumwa vijana wa boda boda kama thelasini na pia wamevamia nyumbani kwa akina Dr Seria na wamefanyq uharibibu kwa kuvunja vioo vya gari na kuipindua juu chini. Huyu mgombea HAKUBALIKI Mbeya Jiji ndipo...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa tunaojitafuta: Mke anaweza kutoka kijijini akaletwa Mjini, Lakini Gari… Lazima litoke Japan!

    Habari za weekend wakuu. Maneno yasiwe mengi. Kichwa cha habari kinajieleza vizuri. Unaweza kumtoa mwanamke kijijini ukamleta mjini, hatasumbua sana, maisha yataenda. Lakini, gari lazima litoke Japan. Namaanisha lazima liwe Japanese. Yaani liwe Toyota, Subaru, Nissan, Honda, et al. Achana...
  12. JamiiForums Tanzania Unapo taka kununua USAFIRI haswa GARI na PIKIPIKI hua unaepuka makosa gani?

    Dunia ya sasa usafiri binafsi ni jambo muhimu sana haswa pale unapo hitaji kuepuka msongamano na adha ya usafiri wa umma Mambo gani hua unazingatia katika kuchagua na kununua USAFIRI wako binafsi imma usafiri mpya au ulio tumika tayari hapo awali yaani (MTUMBA)
  13. M

    JamiiForums Tanzania jerry spare parts and services yaja na zawadi ya ukaguzi wa gari bila malipo kwa wateja waliowahi kupata huduma kwetu!

    Kwa wateja wetu wote waliotufikia kwa huduma ya spare parts, matengenezo au ushauri wa kitaalamu – huu ni wakati wako wa kunufaika tena bila gharama yoyote! Tunatoa ukaguzi wa gari bure kama njia ya kuthamini uaminifu wako. Ni zawadi kutoka kwetu kwenda kwako, kuhakikisha gari lako linaendelea...
  14. JamiiForums Tanzania Jerry Spare Parts and services Waja na Huduma ya Ukaguzi Bure kwa Gari Lako – Je, Umeshawahi Kuhudumiwa Nasi?

    Habari wakazi wa JamiiForums! Kama ulikuwa umewahi kufika Jerry Spare Parts and Services kwa ajili ya huduma ya spare parts, repairs au diagnosis, sasa tunayo habari njema kwako! Kwa kutambua thamani ya uaminifu wako, tumeamua kurudisha fadhila kwa staili ya kipekee. 🎁 Tunakupa nafasi ya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Nahisi ndugu yangu kaanza kuvuta bangi, Leo kataka kusimamisha gari kwa mikono, naanzaje kumshauri aache,

    Tulifikia sehemu nikamwambia apaki gari upenuni mwa barabara, nikashuka kwenda kununua makubwa. Yeye naye akashuka, sijui kupunga upepo au ku-scan anga Ghafla nageuka naiona gari inatembea yenyewe, Alienda mbele ya gari akaweka mikono akaanza kusukumana nayo, kakaza uso, mishipa imemtoka...
  16. JamiiForums Tanzania Gari aina ya TATA liliobeba mashabiki wa mpira kutoka Mwanza kwenda Dar kuisapoti Stars michuano ya CHAN lateketea kwa moto

    Gari aina ya Tata liliobeba mashabiki wa mpira kutoka Mwanza kwenda Dar kuisapoti Taifa Stars michuano ya CHAN limeketetea kwa moto baada ya kutokea hitilafu. Ajali hiyo ya moto imetokea ghafla gari kuwaka moto msafara wakati msafara ukiwa unakaribia mkoani Shinyanga.
  17. JamiiForums Tanzania Nyumba na gari ya kukodi kipindi hiki cha CHAN Zanzibar

    Kwa heshima na taadhwima wakubwa kwa wadogo napenda kuwaarifu kua endapo mtu au watu watataka nyumba za faraghq na sio hoteli kwa kipindi hiki cha CHAN kwa Zanzibar anitafute utakodishwa kwa bei rafiki kabisaa Nyumba zipo full furniture unakuja wewe na nguo zako tu Karibuni
  18. JamiiForums Tanzania Unapotembelea Gari kwa Safari Ndefu – Unabeba Spare Gani za Dharura? Hebu Tusaidiane

    Sisi kama Jerry Spare Parts and Services, tumekuwa tukihudumia madereva na wamiliki wa magari kwa miaka kadhaa sasa, hasa katika kuhakikisha wanapata spare parts original kwa ajili ya matengenezo na safari zao. Moja ya changamoto tunayokutana nayo mara nyingi ni wateja wanaorudi kutoka safari...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi Kununua Spare Part Fake? Iliathiri Gari Lako Vipi?

    Wakuu habari zenu. Napenda kuanzisha mjadala kuhusu changamoto ambayo naamini wengi wetu ambao tunamiliki magari, au tunashughulika na magari, tumeikumbana nayo angalau mara moja – kununua spare part feki. Iwe ni kwa kukosa uelewa, kwa kushawishiwa na mafundi, au kwa sababu ya bei kuwa ndogo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni gari gani inakula mafuta kidogo?

    Wakuu nahitaji usafiri,nipo nje ya mji kidogo ninahitaji gari yenye ulaji wa mafuta kidogo. zangu za dhati umbali toka home to job ni walau 22km
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…