gari

  1. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gari limeibiwa Mbeya

    Habari wanajamii . Naomba kutoa taarifa na kuomba msaada kwa yeyote atakaye liona gari husika anitaarifu. Gari Hilo limeibiwa jijini Mbeya na fundi makenika aitwaye Ibrahim Mwakyusa. Ameiba gari katika mazingira ya kulitengeneza. Mwizi wa gari ni Ibrahim Mwakyusa mwenye namba 0752895006...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Nissan Fuga licha ya muonekano wake mzuri lakini ni gari adimu sana mitaani... Shida ni nini wataalamu?

    Kichwa cha habari chajitosheleza... 1. Bei sio kali sana 2. Muonekano ni luxury sana 3. Space ndani ya kutosha Ila wamiliki ni wachache sana shida ni nini?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Process ni zipi ili kusajili gari ya biashara pale airport (JKNIA)?

    Process ni zipi ili kusajili gari ya biashara pale airport (JKNIA)?
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bima ya Gari ni Muhimu

    .
  5. W

    JamiiForums Tanzania Gereji za kichina janja janja sana, gari ukiipeleka wanaifowadi gereji bubu au kuita mafundi wa huko, wanachoweza na usimamizi na spare nyingi.

    Watu wengi wamekuwa wakiamini ukipeleka gari kwa mhina ni yeye anatengeneza lakini kinachoendelea nyuma ya pazia hali nitofauri kabisa. Gari ukiipeleka kwa mchina, ataikagua kagua ukiwepo, utapewa bili, n.k. mida ya usiku gari inavutwa kupelekwa gereji bubu au watamwita fundi wa gereji bubu...
  6. the big fish

    JamiiForums Tanzania KWANINI GARI NYINGI ZINAZOTOKA JAPAN ZINAKUJA NA ILE NAVIGATION MONITOR LAKINI INAKUWA NA RAMANI ZA JAPANI NA HUKU BONGO NAONA KAMA HAZIZINGATII

    Kwema wanajamii forum, Moja kwa moja kwenye mada kwanini hizi gari zinatoka japan nyingi kama sio zote zinakuja na ile screen inakuwa na ramani za miji na navigations za japan kwa huku Bongo watu wengi hawazitumii na zinakuwepo tu kama pambo au kwa hapa bongo hakuna fundi wa kuwepa shapefiles za...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani Bora kuagiza Gari nje ya nchi? Japan, UK, Singapore etc

    Nimeona kampuni kadhaa zinatoa huduma ya kuagiza Magari used nje ya nchi. Ipi ni Bora kwa uaminifu ,huduma na ufanisi wa kutuma pesa, Kati ya hizi; 1. Be forward, 2. SBT Japan, 3. Enhance Auto.
  8. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Kitambi kikifikia level fulani nunua gari lako sio unakaa kwenye daladala kama una jiko la mkaa miguuni

    Kitambi kikifikia level fulani nunua gari lako sio unakaa kwenye daladala kama una jiko la mkaa miguuni.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Usijiroge kununua gari isiyo brand ya Toyota kama unaishi mikoani, maji utayaita Mma !

    Uwe mkoani halafu uige watu wa kwenye majiji ununue mazda cx5. Range Rover, Ford, Volks-Wagen na gari nyingezo nje ya Toyota, jiandae maumivu !! Wenzako ukiwaona wapo mikoani na wana push hizo brand mara nyingi huwa zinaenda kufanyiwa matengenezo na service Dsm na kwa mbali kidogo Mwanza na...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Gari linaweza kukunyima amani, Ni tatizo gani lilikufanya ushinde sana magerejini na kuingia gharama mara kwa mara ?

    Mkisikia magari yanaweza kosesha amani mtu muyasikiage tu ombeeni yasiwakute 😂 Uliwahi kuteswa na tatizo gani kwenye gari lililokufanya upoteze muda na pesa kwa mafundi, magarejini, spea, n.k. Na muhimu zaidi uliwezaje kulitatua baadaya kuhangaika sana ?
  11. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Uhalisia ni kwamba,humiliki chochote hapo ulipo,ile gari Yako uliyonunua hivi karibuni siyo Yako,nyumba nzuri uliyojenga siyo yakwako humiliki kitu

    Umiliki na Usajili wa Mali Wapenzi wageni, mabibi na mabwana, leo tunakusanyika kujadili mada muhimu inayohusiana na umiliki na usajili wa mali. Katika ulimwengu wa kisasa, neno "usajili" limekuwa na maana pana, na linaweza kuhusishwa na masuala mengi, ikiwemo usajili wa magari, nyumba, na hata...
  12. Livanga

    JamiiForums Tanzania Je napotaka kuagiza gari ni sawa kupata ushauri wa Fundi? Nini kifanyike kushawishi mafundi kuongeza ujuzi zaidi?

    Kutokana na uzoefu na kwa kuzingatia changamoto tunazopitia sasa kadri muda unavyogea tutakuwa tuna uhaba mkubwa wa mafundi wajuzi wa kutatua matatizo ya magari kwa ufasaha ni kutokana na ukweli kwamba mafundi wengi hawana tabia ya kupenda kuongeza ujuzi wao na wanaamini kile wanachokijua...
  13. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kuna Hii Ajari Imetokea Ila Kuna Ukimya, Gari ya Nani Hii?

  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania RC Homera wa Mbeya amejiuzia gari la Serikali kinyemela?

    Utata gari la RC MKUU mmoja wa mikoa nchini (majina yanahifadhiwa kwa sasa), anadaiwa kuingia katika kashifa ya kununua gari la Serikali (Shangingi), alililokuwa akilitumia awali, Raia Mwema imebaini. Uchunguzi wa Gazeti hili, umebaini kuwa Mkuu huyo anadaiwa kutumia madaraka yake kufanikisha...
  15. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Gari jipya la umeme litakalotengenezwa Tanzania bei yake itaanzia usd 800 bei ya kiwandani kabla ya kodi

    Nikiwa Rais wa Tanzania kutaanzishwa mchakato mkubwa wa kuzalisha gari la umeme Tanzania Features za magari ya umeme yatakayozalishiwa Tanzania yatakayozalishiwa Tanzania life expectancy ya bodi ya gari miaka 40 life expectancy ya battery miaka 15 Life expectancy ya motor miaka 20 Battery...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ulipaji wa gharama za kuagiza gari toka nje ya nchi

    Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada na kutoa ufafanuzi yakinifu kuhusiana na ulipaji wa gharama za kuagiza gari Toka nje ya nchi. ULIPAJI wa gharama za uagizaji wa gari Toka nje ya nchi huwa upo wa aina mbili. Aina ya kwanza ni kulipa kiasi chote Kwa pamoja yaani full...
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Gari la milioni arobaini la masafa marefu

    Ushauri wako tafadhali! Linahitajika gari la masafa marefu linalomudu safari za mashambani. Route zake ni kama vile: 1. Mwanza - Arusha 2. Arusha - Njombe 3. Njombe - Mtwara 4. Mtwara - KASULU 5. Kasulu - Mwanza 6. N.k. Kama nilivyoandika, safari nyingi nibza mashambani, kwa hiyo ni muhimu...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Fundi wa umeme wa gari

    Naomba kuuliza fundi mzuri wa mifumo ya umeme wa gari, nina crown ambayo inanyonya battery, nimeweka battery mpya na bado imeisha charge.
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Muumini wa Askofu Gwajima akifanya maombi ndani ya gari la Polisi

    Miongoni mwa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Kanisa la Gwajima) akifanya maombi ndani ya gari la polisi baada ya kukamatwa na kuwekwa humo ikidaiwa sababu ni kuandamana na kukataa kutekeleza amri ya Jeshi la Polisi iliyowataka kutawanyika na kuacha kuendelea kufanya ibada pembeni ya...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Fundi nilimpa elf 10 ya mafuta, kaenda kununua ya kuchakachua kubana hela, gari haiwaki inabidi nisafishe tenki zima, Mafundi njaa zitawaua !

    Vijana wetu kuna muda mnajishusha tunawapa chance kuwaamini lakini mambo wanayofanya yanatukatisha tamaa ya kuendelea kuwaamini. Gari ilikuwa na matatizo, nikaenda mtaani kutafuta fundi aje kuliangalia. Gari iligoma kuwaka kwajili ya matengenezo tukaona mafuta hayatoshi kuliwasha. Nikampa...
Back
Top Bottom